Kama leo tungekua tunacheza na Barca au Bayern, jamaa wangecheza mpira wa kueleweka. Ni wazi kuwa jamaa walibweteka baada tu ya kuona kuwa tunacheza na Monaco, kwenye vichwa vyao walikua wanajua piga ua lazima washinde! Inawezekana kusonga mbele japo itakua ngumu sana if am being honest and...
Baada ya kuona fight yake ya usiku wa kuamkia leo dhidi ya Devon Alexander na ile iliyopita dhidi ya Luis Colazo, naamini kama Amir Khan atapewa chance anaweza kuishangaza dunia kwa kuwa mtu wa kwanza kumchapa Floyd Mayweather. Maywether inaonekana sasa anaitaka fight ya Pacquiao lakini sidhani...
Ingekua amri yangu ningezipiga marufuku kabisa. Zisitumike kibiashara, mtu akiwa na pikipiki iwe yake mwenyewe, unatumia at your own risk. So far kuna watu wangu wa karibu wasiopungua watano ambao wametangulia mbele ya haka kwa sababu tu ya bodaboda.
Mi sioni kama ni big deal kivile! Kosa la kwanza, ni muhimu kujua sheria zilizopo au kanuni za jeshi zinasemaje. Wengi hapa hatujui tunarush tu kucomment na kuwajudge hawa binadamu wenzetu. Ukiangalia picha utaona kuwa wametafuta sehemu ambayo ni faragha kabisa, its not like wanafanyia kando ya...
Nyani asante kwa kupost hii kitu hapa, I swear to god nilipoiona mara ya kwanza kwa Michuzi nilishindwa kuimaliza! I was cringing! Yani haya mambo ya kijijini kabisa bado watu wanayo huko US! Kujishebedua huku hata Dar hakuna ndo maana unaona hata JK mwenyewe anaonekana kushtuka, not sure kama...
Kama mzigo ni wako, i expect utakua unajua tarehe zake kwa hiyo hapa mi sidanganyiki asee, tarehe zipo kwenye diary kabisa! Pia mzigo wa siku zote unaweeza kuutafuna tu hata kama unavuja, haina noma as long as unajua hauna magonjwa ya ajabu ajabu na huna kinyaa cha kuogelea kwenye damu chafu!
Bora hiyo mara mia, mia nilijua story yako itaishia kwenye majanga ambayo mara nyingi yemenikuta, kila kitu inekwenda sawa, umeshaingia gharama, ukiusasambua mzigo ukifika kwenye kufuli unatia mkono unakutana na ji pad la always limetunaaa kaa kigodoro!!!
Kuepuka gharama za kupima mara mbilimbili na kuokoa muda, kama umepiga kavu sehemu na una wasiwasi unatakiwa usubiri miezi mitatu ndo ukipima mara moja tu utapata majibu ya ukweli.
Mi naona kama huu ni urasimu tu na inachangia kuongeza bei ya bidhaa zilizopo na kumpunguzia mteja choice. Tuchukulie maziwa ya Aptamil, cow & gate au SMA ambayo pengine ni maziwa ya watoto bora kabisa duniani na yanatumika sana kwenye nchi zilizoendelea, utawezaje kusema si salama kwa matumizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.