Search results

  1. NAJYUZ

    Yanga kutotumia dressing room leo

    [emoji599] BREAKING NEWS: Taarifa zinaeleza kuwa klabu ya Yanga haita tumia dressing room za uwanja wa Mkapa baada ya kuikuta kwenye hali mbaya, ripoti zimefika kwa mratibu wa mchezo (coordinator) ambae mpaka sasa ameidhinisha klabu hiyo kutotumia vyumba hivyo. Taarifa zaid itafuata Source...
  2. NAJYUZ

    Unamkumbuka Lumola? Mgombea Ubunge (CHADEMA) Bukene

    Na Thadei Ole Mushi. Mwaka 2020 kupitia hapa hapa Social Media nilimpata Mdogo wangu wa Hiyari anayeitwa LUMOLA Steven Kahumbi. Ilikuwaje? Huyu Dogo amezaliwa Tumbo Moja na Mbunge wa Nzega Dr. Hamisi A. Kigwangalla . Dogo yeye akiwa Chadema na Hamis yeye akiwa mwana CCM mwandamizi. Kutokana...
  3. NAJYUZ

    Kwenu viongozi wa Simba SC

    Siku zote ambazo simba imekua ikipoteza mechi au ikifanya vibaya baadhi ya mashabiki na viongozi 'huwaga' wanatoa madai ya kujuhumiwa. Walianza kumsimamisha Said Tully kwa madai hayo hayo ya hujuma then wakamrudisha tena kundini, pia wakarudi kwa haji manara kwa madai ya kua anatumiwa na GSM...
  4. NAJYUZ

    Yanga bingwa wa ASFC 20/21

    Mzuuka jf. Mpaka Sasa 'kitamaduni za kiafrika' yanga ameshamaliza mechi yake dhidi ya mtani wake simba,haikua rahisi kuicheza hii mechi kwani Simba walikuja kivingine kupitia yule mtaalamu wao wa kirangi ambaye amebobea katika vitabu. Kwa taarifa ambazo nimezipata hivi punde ambazo sio lasmi...
Back
Top Bottom