Search results

  1. NAJYUZ

    Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Msipende ku judge kitu kutokana na Imani ya mtu. Godfather wa Mihadarati duniani kote na ambaye hajawahi kutokea, Pablo Emmilio Escobar Gavilla alikua Roman Catholic mzuri tu,na alikua anasali sala zote ikiwemo 'Baba yetu uliye mbinguni' but at a same time alikua muuwaji na Godfather wa madawa...
  2. NAJYUZ

    Yanga kutotumia dressing room leo

    Hongereni sana yanga kwa ku avoid 442. Tungejikanyaga kuingia kwenye dressing room tungelegea kama jwaneng.
  3. NAJYUZ

    Aliyekuambia Kesho kuna 'Droo' nani? Kudadaeki Kesho linakufa Jitu kwa Mkapa na tusikiambiane tu hapa JF sawa?

    Sema Genta bwana una hekaya kibao kumbe empty. Umewaaminisha makolo wenzio kua mtashinda derby kumbe ulikua unawajaza tu.
  4. NAJYUZ

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Leo tutakesha kwa muhasibu sio.
  5. NAJYUZ

    Yanga kutotumia dressing room leo

    Hizi mechi zinakua chini ya bodi ya ligi tofauti na zile za mashindano ya CAF. Ndio maana hata viingilio vinapangwa na bodi ya ligi.
  6. NAJYUZ

    Yanga kutotumia dressing room leo

    Update; Yanga yapewa eneo lingine kwaajil ya kubadili baada ya dressing room rasmi kuwa kwenye hali ambayo si nzuri kwa matumizi (hewa nzito).
  7. NAJYUZ

    Yanga kutotumia dressing room leo

    Bwana gani mzee?[emoji23]
  8. NAJYUZ

    Yanga kutotumia dressing room leo

    Coordinator wa mchezo.
  9. NAJYUZ

    Yanga kutotumia dressing room leo

    Uongozi wa Yanga uliwasilisha taarifa kwa coordinator kuwa vyumba vina harufu kali, Hivyo ni hatari kwa wachezaji.
  10. NAJYUZ

    Yanga kutotumia dressing room leo

    [emoji599] BREAKING NEWS: Taarifa zinaeleza kuwa klabu ya Yanga haita tumia dressing room za uwanja wa Mkapa baada ya kuikuta kwenye hali mbaya, ripoti zimefika kwa mratibu wa mchezo (coordinator) ambae mpaka sasa ameidhinisha klabu hiyo kutotumia vyumba hivyo. Taarifa zaid itafuata Source...
  11. NAJYUZ

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Mambo kwa ground ni different sio.?[emoji23]
  12. NAJYUZ

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Dah!! Mwanangu andaa nauli ya kimbinyiko tu. Hapa masijala ya wazi ni uhakika.
  13. NAJYUZ

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Nasikia ofisi ya Mkaguzi (Naot) nao wanakula sana keki ya taifa hususani kipindi cha ukaguzi kikianza. Mwenye a,b,c na d atupe mawili matatu. Cc:@Mwifwa.
  14. NAJYUZ

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wana Tehama njooni mtupe A,B,C na D katika huo mfumo mpya wa usahili ili nasi tupate moja, mbili tatu.
  15. NAJYUZ

    FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

    Hongereni sana watani zangu simba,Hakika mmevuja jasho jingi.
  16. NAJYUZ

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Suala la likizo halibadiliki kama ilivyo kwa watumishi wengine. Nahisi kwa mwaka kuna siku 30 za likizo. Suala la oda hili halikwepeki mkuu. Ikitokea kuna dharura na unahitajika ASAP basi utaitwa na likizo yako utaacha na kwenda kwenye majukumu.
  17. NAJYUZ

    FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    Our slaughterhouse awaits for us to humiliate sundown. All the best Young Africans,The club above All.
  18. NAJYUZ

    FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    Hongereni mwakarobo mmekufa kiume.
  19. NAJYUZ

    FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    Simba yafa kiume[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Back
Top Bottom