Search results

  1. Doreen27

    Afisa Muuguzi II natafuta kazi ni nipo Dar es Salaam

    Habari za wakati huu wanajamii? Mimi ni muuguzi, jinsia Ke, umri miaka 28, naishi Mbezi beach Dar es Salaam, nina leseni ya uuguzi, nina uzoefu wa kazi hii ya uuguzi wa mwaka mmoja. Naomba connection ya kazi kwenye hospitali, au kwenye mashirika ya Afya ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali...
  2. Doreen27

    Naomba kazi, nina shahada ya Uuguzi napatikana Mbezi Beach

    Pm yako umefunga mkuu siwezi kukutext pm
  3. Doreen27

    Naomba kazi, nina shahada ya Uuguzi napatikana Mbezi Beach

    Bado sijapata naombeni kazi jamani, Hata kama malipo ni 7,000 kwa siku nafanya tu, msingi nipate mahitaji jamani please naombeni kazi ilimradi tu iwe halali sio lazima iwe niliyosomea kwa sasa, Nakuahidi hautajuta kufanya kazi na mimi,
  4. Doreen27

    Naomba kazi, nina shahada ya Uuguzi napatikana Mbezi Beach

    Watu mnadhani kujitolea bure ni sifa, sasa nijitolee bure nitaishije?, try to think outside the box ndugu, mpaka kuja kuomba kazi nje ya fani yangu ni wazi kuwa I need some cash ili niweze kujikimu kwa maisha yangu ya kila siku for the time being. Kujitolea nitajitolea baada ya kupata kazi ya...
  5. Doreen27

    Naomba kazi, nina shahada ya Uuguzi napatikana Mbezi Beach

    Habari wanajamii? Mimi ni S jinsia Ke, umri miaka 28, elimu yangu ni shahada ya Uuguzi bado sijapata leseni ila nategemea kuipata mwezi wa 7 mwaka huu, Naomba kazi yoyote kwa sasa inayoweza kuniingizia kipato muda huo nikisubiria leseni na ajira, Nina uzoefu huu; 1) Naweza kukutafutia...
  6. Doreen27

    Naomba kazi ya uzoefu huu;-

    Habari wanajamvi? Mimi ni jinsia Ke, umri miaka 28, Elimu shahada, sekta ya afya, fani ya Uuguzi, bado sijapata leseni hivyo imekuwa ngumu kwangu kupata nafasi kwenye hospitali kwa kujishkisha muda huo nikiwa nasubiria kupata leseni yangu ambayo uwezekano wa kuipata ni mwezi wa 7 mwaka huu. Kwa...
  7. Doreen27

    Uzi maalum wa kupata connection za ajira na machimbo mengine

    Habari za humu wanajamvi, Jamani mimi ni mwana dada miaka 27 nipo Dar mbezi beach naomba connection ya kazi yoyote ile halali isipokuwa kuhudumia mgahawani ama grocery, Kazi yoyote ile halali isiyo na athari kiafya nipo tayari kufanya, Elimu yangu ni bachelor level moja ya fani za Afya. DM me...
Back
Top Bottom