Search results

  1. wickerman

    Swali la kizushi: Hivi ni mimi tu au kwenye simu hakuna emoji ya mtu alievaa headphones?

    Nimeamua ku-skip google kidogo maana ni kitu sikutegemea. Nimeshindwa kupata emoji iliyovaa headphones. Nikashtuka kidogo. Naomba kuuliza kwa wenzangu kama nyie kwenu ipo? Uzi Tayari.
  2. wickerman

    Unasubiria kila kitu kikae sawa? Utasubiria sana

    Kama kuna kitu kinaturudisha watu wengi nyuma ni kusubiria mpaka vitu vyote vikae sawa ndio tuanze kufanya kitu fulan. Ngoja hiki kiwe hivi ndio nifanye hivi zimekuwa nyingi sana. Siri ni kuanza tu, kwa namna yoyote, iwe kwa ukubwa au udogo, ila anza leo. Kidogo kidogo utafikia unapohitaji...
  3. wickerman

    Changamoto za Foreign Exchange

    Habari Wakuu, Binafsi kwenye swala la kubadilisha fedha za kigeni lilikua lina nichanganyaga kujua Zile Rates zina ku-affect vp. Sell rate inatumika muda gani na Buy Rate inatumika muda gani. Ila baadae nilielewa. Wewe huwa unapataga changamoto gani unapotaka kubadilisha fedha za kigeni kwenye...
  4. wickerman

    [SURVEY] Exchange Rates na Fedha za Kigeni

    Habari Wakuu, Binafsi kwenye swala la kubadilisha fedha za kigeni lilikua lina nichanganyaga kujua Zile Rates zina ku-affect vp. Sell rate inatumika muda gani na Buy Rate inatumika muda gani. Ila baadae nilielewa. Wewe huwa unapataga changamoto gani unapotaka kubadilisha fedha za kigeni kwenye...
  5. wickerman

    Pesa binafsi, usimamizi wa pesa, biashara na utajiri

    Nimesoma hii makala sehemu moja huko kwenye intaneti nikasema sio mbaya kama nikiitafsiri ili iweze kueleweka kwa wote, pia nimebadilisha baadhi ya mifano kuendana na mazingira yetu, maana imenigusa kwa namna fulani. Nimeambatanisha PDF ya nakala zote mbili ya kiingereza na kiswahili...
  6. wickerman

    HASHSEARCH | Shellscript ya kutafuta decrypted MD5 hashes (mostly passwords)

    Niaje wadau, Ni muda sana sijapost kitu humu ndani, mambo mengi. Leo ningependa kuwasilisha shell script niliyotengeneza kunisaidia kutafuta decrypted hashes, sana sana za MD5. Script hii naelewa kwamba siyo kwa matumizi ya wote, kwamba wengi wanaweza hata wasielewe faida au inatumika kwa...
  7. wickerman

    REST & Android APIs for Tanzanian developers

    Niaje wakuu, Ni muda mrefu sijapost kitu humu. Leo nakuja na swala moja tu ambalo Kwa developers ni muhimu. Je kuna APIs zozote specifically kwa Tanzania? Mfano, tuna news network nyingi sana Mwananchi, Citizen, Nipashe n.k. Swali ni je kuna Interface zozote in place ambazo zinaweza kusaidia...
  8. wickerman

    Unlock modem za Tigo 4G (E3372h-153)!

    UNLOCK MODEM ZA 4G TIGO: Kama una modem ya 4G ya tigo (E3372h-153) ambayo hujaifanyia ANY modifications, nafanyia network unlock ili iweze tumika kwa mitandao yote!. Plus network unlock code pia nakupatia(Just incase). NOTE: For now, Hii ni kwa walio DSM tu (mpaka nitakapo shusha Tech Guide ya...
  9. wickerman

    DOCUMENTARY: HIdden Colours (Historia ya Mtu Mweusi)!

    By Tariq Nasheed.. kwa wasiojua, hidden colors ni documentary inayoelezea historia ya mtu mweusi (black man) like never before. Mimi nimeiangalia na kwa kweli ni documentary ambayo ni thought provoking sana! Inaelezea jinsi na kwa kiasi gani 'whites' wanafanya kwa makusudi kuficha na kufuta...
  10. wickerman

    Kutengeneza Application yangu ya wireless tethering for PC!

    Wakuu niaje, Ni muda mrefu sasa toka nimepost kitu muhimu na useful pia; Well sina jipya sana bali nilikua tu natoa tu kama habari ya project ambayo nimejipa kama challenge kwangu mimi mwenyewe na pia kusikia nyie mnasemaje au mna maoni gani, Ishu ni kutengeneza application ya wireless tethering...
  11. wickerman

    Jinsi Ya kupata Software zote za Autodesk Bure!

    Angalia Tutorial yangu kuhusu jinsi ya kupata Product yoyote ya Autodesk including : 3ds Max, Maya, AutoCAD, Revit na nyenginezo! Kama hauzifahamu au huna kazi nazo please pita tu kistaarabu huna haja ya kuanza ku comment mambo yasiyo eleweka... Nimeweka Picha ya Baadhi ya programs nilizowai...
  12. wickerman

    Most economical Tigo bundles and Packs?

    Wakuu niaje, long time sijapost chochote maana niko busy vibaya mno though huwa napita pita siku moja moja... Nina swala moja tu leo ambalo ningependa ushauri wenu kwa faida ya kila mtu... Ishu ni kwamba, wewe kama mtumiaj wa tigo je ni kifurush gani unaona ni more economical? Hapa tutoe...
  13. wickerman

    Je! Kuna athari gani ya kutumia simu (Feki) clone/copy?

    Wakuu habari, Siku hizi kuna simu nyingi sana ambazo ni clone ya simu original, nyingi ikiwa ni za samsung... Juzi kati niliona moja ambayo ni ya samsung galaxy note 3, nilishangazwa kuona jinsi gani perfomance yake haikuwa mbaya sana na pia jinsi ilivyokuwa kwa sababu kwa macho ya juu juu...
  14. wickerman

    Je! unataka kujifunza 3d animation & cg?

    Kwa wale wanaotaka kwa hamu kujifunza 3d animation na CGi kwa ujumla, nikitengeneza tutorial DVDs kwa lugha ya kiswahili, mko tayar kulipia ( maana wabongo tunapenda vya bure ) and what do you think should be the price range,?... Nasikiliza maoni yenu. Personally niko fresh kwenye hayo mambo...
  15. wickerman

    Check Out 3D Animation yangu Mpya

    Nimeifanyia Kazi for kitu kama Wiki moja na Nusu... Nashukuru Mungu nimeimaliza... check it out and tell me what you think! cc : Magembe R. Malima Nyasiro Good Guy #StayCreative
  16. wickerman

    Laptop for sale 500k ( ram 8 gb) !!!

    specifications za hyo machine ni : Operating System: Windows 8.1 Pro 64-bit System Manufacturer: SAMSUNG ELECTRONICS CO., LTD. Processor: Intel(R) Core(TM) i3-2310MMemory: 8.2 gb RAM Graphics Memory : 1.7 gb
  17. wickerman

    My ebay buying experience... (with images)

    So sometime back nilipost kwenye jukwaa la "Matangazo Madogo" kuwa nilikua nahitaji kama kuna mtu mwenye miwani za 3D za Anaglyph ( Red & Cyan ) aweze kuniuzia... Lakini kwakwel sio hapa tu bali hata FB sikuweza kupata mtu mwenye nazo, au kama walikuepo basi walipiga kimya... Kwa miezi ya juzi...
  18. wickerman

    JailBreak Your iOS 7.X

    Wakuu za asubuhi!, Mimi leo nimefanikiwa Ku Jailbreak Ipad yangu yenye iOS 7.0.4, nikaona bora niwajuze nyinyi pia jinsi ya kufanikisha,: Kwanza kabisa kuwa safe make sure una itunes(latest) kwenye computer yako, fanya backup ya Device yako kuwa safe, nenda kwenye device yako na utoe passcode...
  19. wickerman

    Internet Surveys

    Wakuu, nahitaj msaada kwa yeyote anafahamu jinsi ya kubypass these ANNOYING! surveys, plz kama kuna trick yeyote, msaada tafadhal;
  20. wickerman

    Change USER-AGENT ya program

    Wakuu, baadaa ya kutafuta sana mtandaoni bila mafanikio mazuri nimeona bora niulize huku... Katika web browsers kuna plugins zinazo wezesha kubadilisha user-agent yani kama Google Chrome, ionekane kama internet explorer katika requests zake au browser yeyote nyingine... Swali langu nikua, hakuna...
Back
Top Bottom