Search results

  1. Banjuka

    Ushauri: Ninunue nyumba au kiwanja?

    Salaam Jamiiforums, Naombeni msaada wa mawazo, niko na njia mbili ila sijui niifate ipi? Nimeitiwa mahali kuna kiwanja kinauzwa milioni 20, wakati huo huo nikaitiwa sehemu nyumba inauzwa milion 35. Je, niache kununua kiwanja ninunue nyumba? Naombeni msaada wa mawazo.
  2. Banjuka

    Napata wapi vyuo vya kujifunza 'professional music' Tanzania?

    Nawasalimu nyote. Nitapata wapi vyuo vinavyofundisha music wa kuimba by professional hapa nyumbani Tanzania?
  3. Banjuka

    Natafuta eneo kubwa la ardhi Babati Mjini

    Habari za leo wakuu? Natafuta eneo kubwa la ardhi (Babati Manyara)mjini liwe karibu na barabara ya lami umeme na maji viwepo karibu na eneo. Bajeti yangu milioni tano keshi.
  4. Banjuka

    Ulimwengu utakuwa mahali salama kuishi kama tutalinda na kutetea haki ya kuishi kwa viumbe vyote

    Moja kwa moja niende kwenye mada kulinga na kichwa cha habari kinavyojinasibu! Kwa hakika kuna mahali Dunia haipo sawa na haitatokea kuwa sawa kama hatulindi na kutetea Uhai. Uhai ni pumzi ya Mungu mwenyeenzi aliyeviumba, Hivyo tuungane kwa pamoja kutetea uhai wa wanyama wafugwao na wale wa...
  5. Banjuka

    Nyumba za kupanga NHC zinapatikanaje?

    Habari za mida hii jamii. Hivi shirika la nyumba la Taifa huwa wanatumia utaratibu gani kuwapangia maraia, hatua zipi mpangaji hufuata kupata hizo nyumba?
  6. Banjuka

    Nataka kujiunga na Upadre ila kuna ufafanuzi ambao sijaupata

    Habari za wakati huu wanajamii. Moja kwa moja kwenye swali langu la msingi. Nahitaji kujiunga na Updare wa Kanisa Katoliki, ila kuna baadhi ya maswali sijaweza kupata ufafanuzi wake. 1. Ni umri gani unakuwa mwisho wa kujiunga na upadre? 2. Je, ni elimu kiwango gani kinakubalika ili kuendelea...
  7. Banjuka

    Chumba kama hiki kinahitaji shilingi ngapi kukamilika?

    Habari za leo wakuu. Hivi wakuu Chumba kama kinachoonekana kwenye picha kinahitaji shilingi ngapi kukamilika.kiwanja kipo. Karibuni kwa michango yenu Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
  8. Banjuka

    Wajuzi, nini tafsiri ya ndoto kama hii?

    Nmeota nimeshikilia vipande vya ulimi nyingi kama kumi hivi kwenye tisheti langu halafu ziko hai kiasi fulani. Wajuzi wa ndoto nakuombeni tafsiri.
Back
Top Bottom