Search results

  1. Banjuka

    Duniani kuna mabara mangapi?

    Africa European Asia North America South Amerca Australia Antactica Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
  2. Banjuka

    Mwenyekiti Wafanyabiashara Kariakoo Aomba Msaada Kuwakamata Waliofunga Maduka

    Huyo fala atafute kazi ya kufanya, unakamata watu wamevunja sheria gani? Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
  3. Banjuka

    Kwamba Tumefikia Mahala Mfanyabishara Anabembelezwa Kulipa Kodi?

    Nafikiri kama mfanyabiashara ameshakadiriwa na mamlaka ya mapato,hakuna sababu ya kuwatumia task force kufuatilia tena kwa sababu hizi kodi zinalipwa kwa awamu nne katika kipindi cha mwaka mmoja, sheria ya kodi iweke wazi kama mtu ameshakadiriwa basi watumishi wa TRA wasiwasumbue na kukamata...
  4. Banjuka

    Niko kwenye basi lina mende balaa sheria zinasemaje

    Hayo ni matokeo ya kupanda ngara ngara. Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
  5. Banjuka

    Uturuki: Uchaguzi mkuu kurudiwa Mei 28, 2023 baada ya kukosekana mshindi wa moja kwa moja

    Hawa wapinzani walivyo wa ajabu, wanaweza wakaaungana na rais anaemaliza muda wake na kuendeleza hali ya ukandamizaji ambao raia walio wengi wanameukataa utawala wa Erdogan, Wapinzani wakiunganisha nguvu zao wote wana uwezo wa kuchukua serikali kwa 53%. Sent from my SM-A013G using JamiiForums...
  6. Banjuka

    Kama ilivyokuwa kwa Membe kutokudhuria pia Bashiru, mke wa Magufuli na wengine wengi hawajahudhuria

    Wangehudhuria angefufuka? Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
  7. Banjuka

    USHAURI:Kama namna naweza kuzuia na hali hii

    Unapofanya uamuzi kuhusu maisha yako, usitarajie sana maoni ya watu wengine kuhusu hilo jambo lako, maana mwishowe watakudisapoint tu. Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
  8. Banjuka

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Apumzike kwa Amani.
  9. Banjuka

    Tunajua zinalewesha kwanini tunakunywa (pombe)?

    Kila wakati huwa najaribu kuacha kabisa kunywa pombe, maana nikinywa kichwa hakiachi kuniuma asubuhi yaani ni hali ambayo napenda kuaicha lakini kila mara nairudia hiyo hali.
  10. Banjuka

    Baba ahukumiwa miaka 40 jela kwa kuzaa na binti yake

    Binti ana miaka 27, Baba yake ana miaka 40, ina maana huyo mzee alipata mtoto akiwa na miaka 13? Labda siyo mtoto wake wa kumzaa.
  11. Banjuka

    Mahakama yaridhia kunyongwa aliyemuua Dereva Bodaboda

    Sasa mtu ameuawa halafu kesho unapatikana na vifaa vyake kwanini usijibu kesi. Maana kwa vyovyote mrufani anajuwa nini kilifanyika.
  12. Banjuka

    Bosi TRA anavyoitafuna nchi

    Mfumo wa nchi unatakiwa kufumuliwa wote tukianzia na katiba mpya, vinginevyo yataendelea kutokea haya haya kila siku.
  13. Banjuka

    Kichwa cha uume kimevimba kama ngumi ya mtoto mchanga

    Kwani uume husimama kuelekea wapi?
  14. Banjuka

    Nimemvumilia sana mke wangu kwa tabia zake mbovu, mama yake kanipa makavu kwamba bila kipigo siwezi kuheshimika, haya mawazo yake ni sawa?

    Ndio tatizo la baadhi yao, atakuheshimu mkiwa kwenye mahusiano ya awali, mkishaingia ndani hiyo heshima utaitafuta kwa tochi.
  15. Banjuka

    Namuogopa mpenzi wangu nikisikia sauti yake

    Kuna jambo ambalo ulilifanya ukijuwa kwamba siyo sawa lakini ukalifanya bila yeye kujuwa hivyo unapomsikia unapata huna nguvu ya nafsi kwa sababu kuna jambo umelificha.
  16. Banjuka

    Mwenye kujua dawa ya kumfanya mtu ajiamini

    Chunguza matendo yako kila sekunde kama ni mazuri au kinyume chake, kitendo cha kutenda ubaya iwe kwa maneno,mawazo na kwa vitendo kinampa shetani nafasi ya kukunyima uhuru binafsi mbele za watu. Hivyo kila mara unapojaribu kuelezea jambo vizuri shetani anakukumbusha ubaya uliowai kufanya...
  17. Banjuka

    Mwanza: Ajikata Nyeti na Kuzitupa Kwa Madai ya Kusumbuliwa na Ugonjwa

    Sasa mahakamani anaenda kufata nini? Amemkosea nani?
Back
Top Bottom