Search results

  1. Kitrack

    Toyota Raum 2005 inachelewa kuchanganya.

    habari za majukumu, hii gari yangu nimebadili oil pump,nimesafisha nozzle,service nafanya kwa wakati,lakini gari imekuwa nzito sana ukianza kuondoka,au ukifunga breki na kuanza kuondoka gari haikimbii hadi baada ya distance ndefu ndio inakubali. Huwa inakuwa kama inashtuka hivi ikianza...
  2. Kitrack

    Funza ndani ya korosho

    Habari za Asubuhi wadau,naomba mnijuze kuhusu hili suala. Juzi nimenunua pakti la korosho pale Kisutu sokoni zikiwa fresh zikinukia vizuri, nikaanza kula kidogo. Kwa kuwa nilinunua kilo nzima nikaja nazo hadi nyumbani, usiku watu wakala. Asubuhi siku ya pili nataka kupata kifungua...
  3. Kitrack

    Msaada kuhusu diabetic complications kwa mtoto wa mwaka 1 na miezi 4

    Wanajamvi habari za saa hizi, Nina mwanangu aliyekuwa na afya nzuri tangu amezaliwa,hajawahi kusumbuliwa na ugonjwa wowote mkubwa zaidi ya mafua ya sikumbili tatu basi.Alikuwa ni mchangamfu na michezo mingi sana kiasi kwamba alipenda pia kula sana. Wiki iliyopita alianza kunyong'onyea na kuwa...
  4. Kitrack

    Ssra

    Wadau tuliofanya writting interview ya SSRA post za accountant vp michakato inaendaje?au watu tayari wapomzigoni?
Back
Top Bottom