Search results

  1. N

    Kitambo sijakuwepo jukwaani. Nmewamiss sana

    Kitambo sijakuwepo jukwaani. Nmewamiss sana nikisema nianze kutaja mmoja mmoja sitamaliza. Hivi mnajua ushauri wenu uliniamsha usingizini nikaachana na yale mahusiano sugu. 2024 ni mwaka mzuri sana najisikia huru nina amani kupita maelezo. Niseme asante kwenu[emoji7]
  2. N

    Mrejesho: Njia zipi unaweza kuzitumia kuondoa sonona?

    Habari za asubuh wapendwa JF, Nitumie fursa hii kuwashukuru sana kwa moyo wenu mliouonyesha kwangu. Sio kwamba tatizo limeisha moja kwa moja ila mmeweza kusimama na angalau sasa naweza kutoka nje na nikacheka na watu as if nothing is there which kwangu ni hatua. Mmenionyesha upendo mkubwa sana...
  3. N

    Njia zipi unaweza kuzitumia kuondoa sonona?

    Aisee unajua tunasikiaga watu wanajiua tunawaona wajinga sana ila ukweli labda sababu hayajatufikia. Tuombeane aisee hivi depression inaweza kutoka kwa njia zipi. Unajaribu kulala havilaliki, washa TV huelewi unachoangalia, unaweka mziki unaona kama kelele. Yani vururu vururu nimelia wee usiku...
  4. N

    Hali ya hewa leo Dar

    Jamani asubuh kulikua jua. Ila huwezi amin ilipofika sa 8 wingu zito mara mvua hii hapa. Hata TMA hawajatupa tahadhari kuna kiubaridi haswaa. Jamani vaeni masweta na miguun tupia tusoksi mana tiles zinatia ubarid. Koroga kahawa au chai ya tangawizi kaa nayo pembeni kama una mzgo wa series huu...
  5. N

    Kuzaa na mtu hakukupi haki ya kufanya naye ngono kila utakapo!

    Habari zenu wanajukwaa, Kumekuwa na trend ya kudharau sana single mothers wakidai kuwa lazima aliwe na aliyemzalisha. Hii ni dhana potofu na nafikiri inatengenezwa na hawa waliozaa na wanawake hawa. Mimi ni single mother niliolewa kabisa tukashindwana tukaachana na mwenzangu kashaoa na ana...
  6. N

    Nimeanza mwaka nikiwa single

    Nimeanza mwaka nikiwa single. Niliamua kuachana nae rasmi usiku wa mwaka mpya baada ya kuvumilia mwaka mzima. Jamani upweke nyie ni noma😞😞. Mbaya zaidi sijakaa vizuri nikaibiwa simu, natumia kitochi siwezi peruse mtandaoni tena zaidi ninapokua kazini.Upweke unazidi kuongezeka! Sihitaji...
  7. N

    Mafuta ya alizeti

    Hello wapendwa, Kutokana na changamoto za hapa na pale nmeamua kujihusisha na biashara ya kuuza mafuta ya alizeti. Hali ni ngumu jamani unaweza tamani kujiuza. Ila nimeona kuliko nifikie huko ni bora nitafute rikizi. Nauza elf 30 dumu la lita 5. Ni mazuri kabisa. Mwenye uhitaji anipm nakuletea...
  8. N

    Mrejesho: Je, nikimuacha nitakuwa nakosea?

    Habari wadau, naandika huku nacheka jamani ah, okay niende straight kwenye mada tajwa ila kabla sijasema deep naomba niwashukuru wote mlionishauri haswa wale mlioniPM na wengine mmeenda mbali zaidi kuwasiliana na mimi kwenye simu.Mmenisaidia sana! Basi baada ya ushauri niliamua kufanya...
  9. N

    Hii Tigo leo jamani! Appointment zitafeli

    Imagine ndo umepanga kuonana na mtu leo jamani. Masimu hayaendi, sms usiseme, miamala haisogei yani tafrani. Utajuta yani na ndio usikute uliomba ka emergency kazini kwa siku ya leo, mambo si ndo yashaharibika nyie. Yani nimewaza ningekua na appointment sijui ingekuaje yaini
  10. N

    Haka kanyimbo si kakusikiliza ukiwa umepitia break up. Wimbo mtamu huu nyie kha

    Intro: Nviiri the Storyteller (Ohh, mmh) Ohh What a waste Oh, Lord The Storyteller, ayy Verse 1: Nviiri the Storyteller What a waste Baby tumejiseti, we on the highway Tukafunga breki, tukaanza bishana Asking, “Who is Diana? Vipi mnajuana?” I swear tumeji-betray, baby tumejiseti ‘Cause love...
  11. N

    Ride or die

    Yea Ace Hood See mama, all I want you to do is hold it down for me I want you to be my ride or die While I go get this money, I promise I'm get us out the hood baby Even though I'm in the streets You know exactly what I do When I chase this paper You ain't gotta wait for me to bring it back...
  12. N

    Je, nikimuacha nitakuwa nakosea?

    Habari wadau, ama kweli yakikufika huna namna utazungumza tu. Mwenzenu yamenifika shingoni na sijui kama nikichukua maamuzi ya kumuacha nitakua nakosea au lah. Nikiri katika mahusiano yote niliyopitia sijawahi kuwa na mwanaume anayenifanya nijisikie furaha kama huyu kaka.Uhusiano wetu una mwaka...
Back
Top Bottom