Search results

  1. M

    Singida:Shamba la eka 1 linahitajika

    Hi Jf members,ninahitaji kununua shamba la eka moja tu nje ya mji wa singida.Eneo hilo liwe linafikika mfano eneo la Mwembe mmoja n.k.Asanteni
  2. M

    Singida: Shamba la eka moja linahitajika

    Hi Jf members,ninatafuta shamba la heka moja tu lililopo nje ya mji wa singida,liwe eneo linaloweza kufikika kwa urahisi mfano eneo la Mwembe mmoja na Mandewa.
  3. M

    NAPE: Umasikini nchini unasababishwa na watumishi wa umma

    Hivi mfanyakazi anafanya kazi za boss wake au anajitungia?tatizo la nchi hii wanasiasa hukaa na kuropoka bila kushauriwa...hiv mfanyakaz gani afanye kazi siku 30 kwa moyo kwa ujira wa sh.laki 2.5 huku mwanasiasa anajipangia sh.laki 3 kwa siku...huyo huyo mwanasiasa alikimbia umande??wanasiasa...
  4. M

    Mishahara Mwezi Agosti

    wewe utakuwa mjumbe wa bunge la katiba tu kwani naona huu uzi umekuudhi sana...mishahara hadi leo tarehe 31/08/2012 haijalipwa labda wew unayelipwa sh.laki 3 kwa siku ndo maana unasema ni porojo.Kwa kweli inasikitisha hakuna kiongozi yeyote ambaye ametolea ufafanuzi juu ya mishahara ya mwezi...
  5. M

    Hivi Mgao umeanza tena kimyakimya?

    Tabia ya kukatika katika kwa UMEME hapa moshi bila taarifa inatia shaka,hivyo tunaomba wanachi wa moshi tupewe maelezo ni kwa nini umeme unakatika ovyo?Je, yule Profesa wa nishati,yupo hapa nchini?Si aliahidi hakutokuwa na mgao?Je ameshindwa au?Kwa mfano kuanzia saa tatu asubuhi hadi sasa bado...
  6. M

    PICHA: Watoto halaiki waandamana kudai POSHO ZAO (Mwenge)

    My poor Tanzania...nani aliyekuroga..yaani viongozi wanatoa ahadi hewa hata kwa watoto?wanapanda mbegu ngoja watavuna...walichopanda...
  7. M

    UVCCM mwendo wa kuchapana kama CUF enzi hizo... Sasa ni Mara

    Leo saa tisa kamili nimeangalia ITV katika kipindi cha habari za SAA na kuona hali ya hatari kabisa MSOMA mara, nimeshitushwa kuona watu wakipigana kana kwambwa hakuna SERIKALI?. UVCCM Msoma wametwangana kweli kweli na uchugazi umeahirishwa...kwa kweli inasikitisha na kama ingekuwa hali hiyo...
  8. M

    UVCCM mwendo wa kuchapana kama CUF enzi hizo... Sasa ni Mara

    ​Leo saa tisa kamili nimeangalia ITV katika kipindi cha habari za SAA na kuona hali ya hatari kabisa MSOMA mara, nimeshitushwa kuona watu wakipigana kana kwambwa hakuna SERIKALI?. UVCCM Msoma wametwangana kweli kweli na uchugazi umeahirishwa...kwa kweli inasikitisha na kama ingekuwa hali...
  9. M

    "CHADEMA Wamechakachua Picha"!

    Tatizo wana CCM wengi hudhani uongo unazidi ukweli na kwa sababu habari za umbea huaminika kuliko kitu halisi....Picha hiyo ni kweli kabisa,mimi sina chama cho chochote ila huwa napenda kusikiliza sera za vyama tofauti,hivo nilishuhudia umati huo hapo Morogoro. Amini usiamini hiyo picha ni ya...
  10. M

    CHADEMA Kutingisha Morogoro

    Hali inaonyesha kuwa vijana wengi na wazeee hasa wale waliokuwa vyama vya CCM na CUF wamehama vyama hivyo na kukiunga mkono CDM. Mfano mmoja wapo ni pale Tawi moja wapo lililokuwa na washabiki wa chama cha CUF karibu na BUSH BAR...SUA ROAD limebadilika na kuwa CDM.kama upo morogoro pita hapo...
  11. M

    Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda

    Daaa...jamani hapa MOSHI maeneo mengi umeme umezimwa na TANESCO, Sijui kama ni matengenezo au ni kutukosesha uhondo wa mkutuano wa CDM Jangwani through ITV au ni nin jamani?daaa...nasikitika...sana nchi yangu....
  12. M

    Huyu ndiye atakayemuondoa bungeni Nimrod Mkono2015...

    Magesaaaaaaaa! kweli umemua bro.komaaa kaka,mwanzo mzuri ila jiandae kwa vita kali kwani sidhani kama atauachia kirahisi rahisi. Ushauri: weka mikakati rahisi na sahihi....!
  13. M

    Wabunge wa CCM wameingia mitini

    Tujuzeni jamani wenzenu naona ving'amuzi vimegoma kuonyesha,ila inasikitisha sana kuona nchi hii inaenda mlama namna hii
  14. M

    Kero ya mafuta ya petrol Moshi mjini

    Hapa moshi mjini, nimezunguka vituo vya GAPCO, NGILOI Petrol station, BP Petroleum nimekosa PETROL,nimekuta kibandiko kwenye shell husika kikisomeka hivi " NO PETROL" hali ni mbaya kabisa. Tatizo ni kubwa,hivo katika kuulizia kwa nini hakuna mafuta,si mhudumu yeyote aliyekuwa tayari kusema...
  15. M

    Ukomo wa serikali ya tz kukopa ili isifilisike unakaribia mwisho.....imefahamika..

    Mh! ngoja tuwemo,mwisho utaonekana sooon!
  16. M

    Ngurumo: Watashinda kwa sifa za kijinga?

    Kweli nimekubali, Bro.ngurumo, ni ngurumo ,hivi watawala wetu hawayasikii haya au wanaziba masikio kwa pamba tuu kazi ni kucheka cheka tuu?napita nitarudi...
  17. M

    Yanayojiri mkutano wa NCCR - Disemba 17, 2011

    leteni habari kamili jamani? tunawangojea
  18. M

    Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

    watu wale wale,cjui kama kuna mpya hapo, kwani wengi walikuwa nje ya system kwa muda na cha moto wamekiona mfano ni Dr.Kamala aliyekuwa anashinda pale Moro,nje ya nyumba ya kulala wageni inaitwa VANILA.je wataanza wataanza na lipi kuwakilisha au kutafuta posho?Kwani wengi walipigwa chini ubunge...
  19. M

    Vita kati ya Seif na Hamad Rashid yaibukia Manzese

    Nangojea kuona mwisho wa haya yote,kwani CUF naona inahitaji kufufuka kama Lazaro lakini nani wa kuifufua?mi sijaona
Back
Top Bottom