Search results

  1. Ethan Cruz

    weka bet yako sasa linki iyo hapo mazee

    https://pmbet.co.tz/en/auth/signup/A360 haya wazee waku =AZVhCAkhYGr-G7Gq3EJwE2cfggfi3Tv14lxVtg3JkipZDSBJVqaRl15hFBoNU29oZepGUxnTu6qCET0b9Uocn2FII0IAvqmL08CJUIC0oIH2bTCTD7mYkAvjm6Jc5i0jCXUc9OBItxcdyPEImB9H9WL_AdwWcXI4VJXu45YSXok16w&tn=*NK-R']#BETI /...
  2. Ethan Cruz

    Zijue aina tano za mahusiano ya kimapenzi

    Wanasaikolojia mbalimbali wamejaribu kuelezea aina za mahusiano ya kimapenz ambayo wapenzi wawili wanaweza kuwa wanayapitia katika kipindi flani cha mahusiano yao. Lakini kabla hatujaangalia hizi aina lazima tujue kuna vitu vitatu vinavounda na kudetermine ni aina gani ya mahusiano ya kimapenz...
  3. Ethan Cruz

    Zitambue hasara za kuzama chumvini kwa mwanamke

    Tafiti zimeonyesha kuwa,mdomo wa binadamu ki bacteriologia (bacteriologically) ni mchafu maradufu kuliko sehemu ya uke(vagina). Ni vema kufahamu kuwa,katika hali ya afya,binadamu wote tunaishi navimelea(microorganisms) katika sehemu nmbalimbali za miili yetu, wakiwa na lengo la kutulinda...
  4. Ethan Cruz

    Mkasa mfupi, mzito wa mapenzi

    Mimi ni msichana mwenye miaka 17 nipo form three (kidato cha tatu) katika shule moja hapa mjini. Nimekuja huku leo ili kuomba ushauri mimi ninasoma shule ya day na ninaishi kwa dada yangu ambae ameolewa,Tatizo ni kwamba dada yangu huwa anaingia kazini usiku hivyo kuniacha mimi na mumewe nyumbani...
  5. Ethan Cruz

    Kwa wanaume: Mbinu za kuzuia kufika mapema on top

    1. Mazoezi: Kufanya mazoezi, mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwa hiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea afya njema na kukupa mzunguko mzuri wa damu. Kama una mwili wenye afya basi inaweza kukusaidia kwa namna ya kifikra...
  6. Ethan Cruz

    Haya ni ya kweli?

    Haya ni ya kweli? 1. Sio wanaume wote wanaopenda michepuko 2. Sio wanawake wote wana mwanaume zaidi ya mmoja 3. Kuna wanawake hawana Boyfriend kabisa 4. Kuna wanaume hawana muda kabisa na wanawake. 5. Kuna wanawake bado ni bikira hata kati ya umri wa miaka 18-30. Bikira zipo. 6. Kuna baadhi ya...
  7. Ethan Cruz

    Dalili zinazoonesha umepungukiwa nguvu za kiume

    Ukienda Safari Moja Mwili unachoka alafu unahisi usingizi Sehemu za Siri Zinasinyaa taratibu baada ya goli moja. Mwili unahisi ganzi pamoja na sehemu za siri. Hamu inakata ghafla Mara baada ya kutoa Manii, ule uchangamfu unapotea kabisa. Nyeti zinasimama Vizuri Lakini ukitaka kuingiza kwa...
  8. Ethan Cruz

    Yajue madhara ya kujichua kwa wanawake na wanaume

    Naamka nanyi leo Wewe jichue. Sio wanaume au wanawake sahivi kila mtu anajichua kutumia mikono na vidole, wewe endelea kujichua maana ni sehemu ya kujifurahisha kwako ongera sana. Kadili unavyojichua kuna mishipa ya kupitisha mikojo (urethra) huanza kulengea hivyo matokeo yake utaanza kuwa...
  9. Ethan Cruz

    Kuna mapenzi ya dhati dunia ya sasa?

    MUNGU ni mwema! Jumatatu nyingine tunakutana . Kama mada inavyojieleza hapo juu, kuna mapenzi ya dhati kwenye dunia ya sasa? Najua jibu la swali hilo kila mtu analo kutokana na mapito yake. Wengi wamejikuta kwenye maumivu makali ya mapenzi kutokana na jinsi watu wanavyoishi na kuyachukulia...
  10. Ethan Cruz

    Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!”

    Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!” kwangu hiyo si shida shida inakuja kuwa unataka ushahidi wa nini? ili ugundue nini yani (1) Umemchoka unataka kumuacha lakini huna ushahidi unataa ukishajua umuambie...
  11. Ethan Cruz

    Mapenzi ya kweli yapo?

    Kabla hatujajiuliza kama mapenzi ya kweli yapo inatupasa tujiulize na kufahamu neno "PENZI LA KWELI" ni nini? picha ambayo huwajia wengi vichwani mwao wanaposikia neno hili penzi la kweli huona kuwa ni watu wawili kupendana hata ikafikia hatua ya mmoja kugharamika roho yake kwa ajili ya faida ya...
  12. Ethan Cruz

    Kumpenda mke wako inamaanisha nini?

    1. Mpe muda wako. Usimfanye aombe muda wako. Tengeneza muda kwa ajili yake. Tengeneza wakati ambao mtakuwa mkifurahi na kupiga story pamoja. Usiwe bize Jumatatu mpaka Jumapili. Wanawake hupenda sana kusikilizwa na waume zao. 2. Msifie pale anavyofanya jitihada ya kuwa na muonekano mzuri. Pale...
  13. Ethan Cruz

    Mambo ya kuzingati wakati unamnunulia msichana zawadi

    MAMBO YA KUZINGATI WAKATI UNAMNUNULIA MSICHANA ZAWADI 1. Vyema ufahamu aina gani ya zawadi msichana hupendelea. Yaani inafaa ujue interest za msichana wako. 2. Zawadi utakayompatia isiwe chakula au kinywaji atakachokimaliza na isibaki kumbukumbu ya kudumu kuwa uliwahi kumpa zawadi. Jiahidi...
  14. Ethan Cruz

    Tabia za wanawake na sifa zao

    Hivi ni kwly? Inasemekana wadada wanatabia tofauti katika mapenzi kulingana maumbo ya miili yao (1): WASICHANA wafupi wanaongoza kwa WIVU wa MAPENZI na kuwajali wapenzi wao'' (2):WASICHANA warefu huwa hawawajali WAPENZI wao na hawaogopi MAHUSIANO kuvunjika pia hawajui kupetpet (3):WASICHANA...
  15. Ethan Cruz

    Hatua 6 za kumzuzua Mwanamke

    1. Pokea pongezi Wanaume wengi wanatabia ya kukataa kupokea pongezi kutoka kwa mwanamke. Balada ya wewe kuguna ama kutojiskia huru wakati mwanamke anakupongeza, mbona usitumie nafasi hii kutumia maneno ya utamu kama ile 'asante, 'nashukuru' nk. Kupokea pongezi kutoka kwa mwanamke ni kama vile...
  16. Ethan Cruz

    FUNGUKA: ‘Nacheza Mechi Za Majuu Pekee’

    KWA wengi suala la mahusiano ya pembeni katika ndoa haliruhusiwi kamwe. Lakini licha ya haya, kuna baadhi ya wanaume ambao bado wana mwanya wa kurambaramba vya nje. Daniel ni mmoja wao. Inapowadia katika masuala ya kusakata mechi za nje, yeye ni gwiji. Dume hili haliitwi gwiji tu bila sababu...
  17. Ethan Cruz

    Ni jambo/kitu gani ulichofanya kitambo ambacho ungetamani usingekifanya?

    Hivi nijambo gani haswa mybe ulifanya kimakosa au hukudhamiria. Kufanya af latley unajuta dah JAMBO hiLI bora hata nisingefanya 🤔 AU Ni kitu gani ushawahi kufanya, lakini hautafanya tena? :cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool:
  18. Ethan Cruz

    Sababu 6 kwanini hupaswi ku-date Mwanamke asiyependa gharama

    Kuwa na mwanamke asiyependa gharama ni ndoto ya kila Mwanaume katika sanaa ya kudeti. Kwa kawaida wanawake aina hii hawana drama wala stress lakini je ni muhimu kweli kuwa nao? Hebu jiweke katika hii hali: uko na mwanamke ambaye ukifika nyumbani tu ashakuandalia kila kitu, hakuulizi kwa nini...
  19. Ethan Cruz

    Vitu vya kufanya na kuepuka unapomtumia meseji Mwanamke

    Katika ulimwengu wa sasa mawasiliano kupitia jumbe fupi unazidi kutumika kiasi cha kuwa mazungumzo baina ya watu yamegeuzwa kuwa meseji fupifupi. Kupewa namba kutoka kwa mwanamke ni nusu ya muelekeo wako wa kuuteka moyo wake. Lakini je wakati wa kumtext mwanamke je unatumia mbinu ipasayo...
  20. Ethan Cruz

    Sababu 10 za Wewe kuwa Mpweke/Single na kukumbwa na misukosuko ya mahusiano

    Wakati ambapo unadeti mwanaume kuna ile tabia ya ghafla inayokuja ambayo unajaribu kumkosoa kila kitu ambacho unakiona si sawa kwake ili uweze kuendelea na shani yako ya kumtafuta mwanaume alie sawa aka Mr. Right. Lakini iwapo utakuwa ukiendelea kumtafuta mr Right zaidi na zaidi labda...
Back
Top Bottom