Search results

  1. ndenjii handsome

    Ni kweli wanawake wapo wengi kuliko wanaume?

    Wanaume hebu kwanza tujadili hili jambo Leo hiyi ukiomba mahusiano na mwanamke, awe mdogo au mtu mzima, Likija suala la kufanya nae sex lazima hapo ajione u special wa mwanamke kana kwamba kile kitendo ni cha mtu mmoja,au ni vile mwanaume pekee ndio anayejisikia utamu Watu wanasema wanawake ni...
  2. ndenjii handsome

    Tumia mbinu hii ya asili kujua mtu huyu ni ndugu yako wa ukoo mmoja

    Kwa wale ambao unamashaka na mtoto unazani labda umebambikwa Au umeenda ugenini unakuta jamaa anadai kuwa umefanana na mmoja kati ya wanandugu wa huyo jamaa Ishu ni hivi wala usipate shida ya kwenda DNA au ya kupiga simu kwa ndugu zako kuuliza Cha kufanya kwanza angalia meno yako na yake %...
  3. ndenjii handsome

    Rasmi natangaza kujitoa kuishabikia timu ya Yanga

    Mbuzi na simba hatuwezi kaa zizi moja baada ya kuona hili [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Hatimaye nimejitoa naombeni kujua kadi ya uanachama wanairudisha wapi.
  4. ndenjii handsome

    Viongozi wa Tanzania mnaishi nchi gani ambapo hamuathiriwi na gharama za maisha?

    Kati ya vitu ninavyoshindwa kuelewa ni kama hili suala. Naombeni kwanza mniambie mimi mwananchi wetu sehem gani au ni mkoa gani ambao mmejitenga wenyewe Maana haiwezekani wananchi wenu gharama ya maisha inapanda kiasi hiki alafu mnakuja mnajitokeza mnatoa majibu mepesi kwa vitu ambavyo...
  5. ndenjii handsome

    Enyi Wadada kwa mtindo huu ni bora nihamie chaputa

    Wakuu naona mpooo Nimerudi baada ya kimya kingi Kiufupi baadhi yenu wanawake wa kitanzania mnatukatisha tamaa waoaji Juzi kati nimepita mtaa fulani hivi nipo na gari yangu yenye bei kubwa kupita zote duniani na ipo moja ndio naendesha mimi Katika pitapita yangu naenda mitaa fulani hivi...
  6. ndenjii handsome

    Ndugu wananchi Mkiona panauma jiteteeni wenyewe

    Mkiitegemea serikali kwenye kila jambo matokeo yake ndio haya mtaililia na lisipatikane jibu Zaidi mtaletewa siasa mpaka kwenye uhai wenu hao mnao wategemea hawana uchungu na nyinyi Kwa sababu kila kitu wanapata tena kwa wakati tusidanganyane kwenye karne hiyi hakuna kiongozi mwenye uchungu...
  7. ndenjii handsome

    Serikali fungueni mipaka wakulima wauze wenyewe mahindi, NFRA inawanufaisha wachache

    Baada ya kusikia serikali imetoa bilioni 50 kwa ajili ya manunuzi ya mahindi. Nikaona huu ndio wakati muafaka wa kuuza nikajaza howo zangu tatu mzigo kupeleka kwenye kitengo. Dah nilichokutana nacho tajiri atabaki kuwa tajiri nae maskini atazidi kuwa maskini hasa kwenye nchi zetu za Kiafrika...
  8. ndenjii handsome

    Aliegongwa na gari na kufa hapo hapo na kuzikwa apiga simu kwa mkewe

    Dah dunia hiyi inamambo Ni majila ya asubuhi ya tarehe 5/9/2021 natoka zangu hotelini naelekea bus stand kwaajili ya kukata tiketi kuelekea sehemu Nikiwa njiani nimesimama kungoja bodaboda mara lori linatoka spidi Kwa mbele yangu namuona mzee mmoja akiwa na pikiki akiwa barabarani nyuma yake...
  9. ndenjii handsome

    Serikali imeongeza bilion 60 kwa ajili ya ununuzi wa mahindi

    Baada ya wakulima kuilalamikia serikali na mbunge wa viti maalumu wa CHADEMA kuibua hoja bungeni (hatuwataji covid19 kumbe bado wana msaada kwa wananchi wabunge wa CCM waliunyuti kama haiwausu) Na wabunge kuijadili Ndipo serikal imeamua kuongeza bilion 60 Je hiyo hela inakidhi manunuzi kwa...
  10. ndenjii handsome

    Kabla ya kuleta hizi tozo Serikali pesa ilikuwa inatoa wapi?

    Hebu tufikirie kwa kina hili swala haiwezekani kwa nchi ya watu maskini kama Tanzania kuwawekea wananchi wako hizi tozo Kwanini tuendelee kumkandamiza mwananchi tozo kwa kizingizio cha kusema hela inaelekezwa kwenye miladi hii miladi mnayosemea mwanzon pesa mlikuwa mnatoa wapi? Maana...
  11. ndenjii handsome

    Bado nalia na serikali kuhusu mbolea

    Najaribu kuwakumbusha tena mamlaka husika kwenye vitu vya msingi tuweke siasa kando Na tujalibu kuwaangalia hawa wananchi Kiukweli bei ya mbolea sio rafiki kwa mtanzania wa kipato cha chini Na ukiangalia soko la mazao lenyewe bado lipo chini sana hususani zao la mahindi Nazani mnajua...
  12. ndenjii handsome

    Ombi: Serikali irudishe kodi ya kichwa

    Kila mmoja kwa nafasi yake inabidi awajibike kuichangia hii nchi tupate maendeleo Najua tayari kuna kodi nyingine ila hizi zilizopo sidhani kama zinatosha kuleta maendeleo kama wananchi tunavyotarajia sababu sio wote wanatoa. Nadhani ukiletwa utaratibu mzuri wa hii kodi Serikali yetu itapata...
  13. ndenjii handsome

    Ukitaka kupata hela yangu bora uje na njia ya kunitapeli kuliko kuniomba

    Kuna jamaa yangu alikuja kuniomba shilingi 50000 nikamuuliza una shida nayo ipi kiufupi hakuwa na jibu la maana maelezo yalikuwa mengi sio siri nikamwambia sina kumbe hela ipo ila hakunishawishi kumpatia. Alafu kuna mwingine alikuja kwangu ana kiwanja anauza tukaenda kukicheki akanionyesha kila...
  14. ndenjii handsome

    Nimetokea kumpenda shemeji, nashindwa kujizuia

    Wakuu nimeoa mimi na nina watoto kabisa na ndoa nimefunga. Ila sasa huyu mkewangu ana mdogo wake sio kisu kivile e ila tokea nimuone kwa mara ya kwanza. Nimejikuta nampenda kias kwamba na shindwa kujizuia kuna muda mpaka nikahama hapa home na kwenda kupanga mkoa mwingine ili kudhibiti hisia...
  15. ndenjii handsome

    Ombi: Serikali iangalie vizuri bei za mbolea zilizoongezeka hivi karibuni

    Husika na kichwa cha mada hapo juu Serikali yangu pendwa ya Tanzania na wahusika wa hili mimi kama mwananchi na mkulima wa nchi hii Tunaomba muangalie vizuri kwenye suala hili la mbolea kiukweli mbolea ipo juu sana na sio rafiki kwa mkulima huyu wa chini Na ukizingatia mazao yenyewe soko lake...
  16. ndenjii handsome

    Sitosahau penzi la mwanamke tuliyekutana Malawi

    Habari wakuu! Leo nimemkumbuka mpenzi wangu tuliekutana mazingira tatanish kidogo. Nakumbuka mwaka2013 tulipata tenda nchini Malawi nilikutana na mtoto mmoja hivi kisura ni mzuri kaumbika yeye alikuwa mfanyakazi wa hotel. Yule manz kiukwel alikuwa fund kiufupi alikuwa inabana yaan ile kuingiza...
  17. ndenjii handsome

    Nimeota ndoto simba imeshinda

    Mimi ni shabiki wa yanga ila hiyi ndoto nimeiota jana usiku kuamkia leo Ngoja tuone
  18. ndenjii handsome

    Fahamu kwamba yanayovuma sana kwenye mitandao ya kijamii hayana ukweli

    Nimekuwa mfuatiliaji sana wa mambo kwa uhalisia wake kwa kipindi kirefu nilichogundua zile taarifa muhimu zinapotolewa kwenye hatua moja na kupelekwa hatua nyingine zimekuwa na chumvi nyingi na sijui wahusika wanafanya haya kwa maana gani. Siku moja nikiwa mkoa fulani likatokea tukio moja hivi...
  19. ndenjii handsome

    Tatizo sio viongozi wetu, tatizo lipo kwa wananchi wenyewe

    Pleas wait..... ........... Sent from my ndenjii using JamiiForums mobile app
  20. ndenjii handsome

    Mjomba wangu ametumiwa majambazi na mke wake

    Tusiache kutoa ushauri pale panapoitajika. Kuna anko wangu mmoja nilimpa ushauri kuhusu mwenendo wa mke wake kwa siku hiyo nilionekana mpuuzi leo, yamemkuta mke wake kamtumia watu wampore pesa na kumvunja miguu. Leo analia kama mtoto nakusema anko bora ningekusikiliza. Na anataka msaada wangu...
Back
Top Bottom