Search results

  1. kibaWaKitaa

    ALIKIBA JELOUS

    Pata nafasi ya kuskiliza wimbo mpya wa @alikiba Ft @Mayorkun kutoka Nigeria Jina la wimbo...jelous
  2. kibaWaKitaa

    Alikiba alamba dili nene

    Msanii wa muziki wa bongo fleva "Ali saleh kiba" maarufu km kingKiba au alikiba amepata ubalozi wa kampuni ya uzalishaji wa vinwaji vya energy drink vinavyofaamika kama "HORSE POWER ENERGY " kutoka Australia.Ifaamike kua kampuni io ni moja kati ya wadhamini rasmi wa timu ya ligi kuu ya England...
  3. kibaWaKitaa

    Chekutua

    Je, umepata nafasi ya kuskiliza? "cheketua ya Barnaba akimshirikisha Alikiba...?km bado hujachelewa ...ila naeza sema ni moja kati ya kati za bora za mziki kwa mwaka huu...melodies beats na kila kitu kipo mahali pake.
  4. kibaWaKitaa

    Neno moja kwa hawa watu

    [emoji23]"nipeni likes...wakwanza hapa..tupia likes za kenyan's..."ckuiz ukiingia yutub huez kosa hayo maneno kwny comments..binafsi siwasemi kwa ubaya waomba likes ila bado cwaelew yaan hili suala haliniingii akilini ..likes za nn!?anyways...neno moja kwa hawa...
  5. kibaWaKitaa

    Kwani nini kimempata Mkojani?

    Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa vichekesho vya mchekeshaji namba moja kwa sasa (Mkojani) utagundua flow yake ya utoaji wa kazi imeshuka mno. Mkojani alikua anatoa muvi moja au mbili ndani ya wiki moja na zote zikawa kali...lkn tang tuanze kumuona ona OnTop...maInterview kibao na deals kapata...
  6. kibaWaKitaa

    Wimbo wako pendwa kutoka kwa Alikiba ni upi?!

    Tukianza na mm km mimi wimbo wangu pendwa kutoka kwa mfalme huyu wa bongo fleva ni "MBIO". Kwanini mbio?ni wimbo ambao uandishi wake naupa 100%...melodies99.9%...beat..99.8%...mm co mtaalam sana ila naeza sema utunzi wake umejitoshelezaa.! Wewe je ni upi wimbo wako pendwa na kwanini!?
Back
Top Bottom