Search results

  1. kibaWaKitaa

    ALIKIBA JELOUS

    Pata nafasi ya kuskiliza wimbo mpya wa @alikiba Ft @Mayorkun kutoka Nigeria Jina la wimbo...jelous
  2. kibaWaKitaa

    Alikiba alamba dili nene

    Atapost tu .As long as ni suala la kua balozi
  3. kibaWaKitaa

    Alikiba alamba dili nene

    Msanii wa muziki wa bongo fleva "Ali saleh kiba" maarufu km kingKiba au alikiba amepata ubalozi wa kampuni ya uzalishaji wa vinwaji vya energy drink vinavyofaamika kama "HORSE POWER ENERGY " kutoka Australia.Ifaamike kua kampuni io ni moja kati ya wadhamini rasmi wa timu ya ligi kuu ya England...
  4. kibaWaKitaa

    Diamond Platnumz arekodi ngoma na Wiz Khalifa

    Huogopi kumuita dogo?ht hushtuki yaan!
  5. kibaWaKitaa

    Alikiba ni msanii mwenye taste unique

    [emoji23][emoji23]nmejikuta nacheka sana...anyways tumsamehe
  6. kibaWaKitaa

    Chekutua

    Ule ni ubunifu tu ...usisahau hii ni sanaa
  7. kibaWaKitaa

    Chekutua

    [emoji23][emoji23]watu wanaimba jaman
  8. kibaWaKitaa

    Chekutua

  9. kibaWaKitaa

    Chekutua

    Je, umepata nafasi ya kuskiliza? "cheketua ya Barnaba akimshirikisha Alikiba...?km bado hujachelewa ...ila naeza sema ni moja kati ya kati za bora za mziki kwa mwaka huu...melodies beats na kila kitu kipo mahali pake.
  10. kibaWaKitaa

    Kwa Mujibu wa sheria, nisipo kwenda JKT what will happen?

    Nan kakwambia anaogopa!?..mkiulizwa maswl km huna jibu nyamaza tu
  11. kibaWaKitaa

    Wimbo wako pendwa kutoka kwa Alikiba ni upi?!

    Alisemaga atatoa lkn
  12. kibaWaKitaa

    Neno moja kwa hawa watu

    Hujui uandikalo..x
  13. kibaWaKitaa

    Neno moja kwa hawa watu

    [emoji23]"nipeni likes...wakwanza hapa..tupia likes za kenyan's..."ckuiz ukiingia yutub huez kosa hayo maneno kwny comments..binafsi siwasemi kwa ubaya waomba likes ila bado cwaelew yaan hili suala haliniingii akilini ..likes za nn!?anyways...neno moja kwa hawa...
  14. kibaWaKitaa

    Kwani nini kimempata Mkojani?

    Sawa mkuu
  15. kibaWaKitaa

    Kwani nini kimempata Mkojani?

    Madebe mkali sana
  16. kibaWaKitaa

    Kwani nini kimempata Mkojani?

    [emoji23]anasema..."ng'ooooombe hamnijuiiii"
  17. kibaWaKitaa

    Kwani nini kimempata Mkojani?

    Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa vichekesho vya mchekeshaji namba moja kwa sasa (Mkojani) utagundua flow yake ya utoaji wa kazi imeshuka mno. Mkojani alikua anatoa muvi moja au mbili ndani ya wiki moja na zote zikawa kali...lkn tang tuanze kumuona ona OnTop...maInterview kibao na deals kapata...
Back
Top Bottom