Search results

  1. L

    Tetesi: Serikali imeondoa Posho za Safari Mpya kimyakimya?

    Ni Bora kwamba wameliona hili mapema. Ifikie sehemu hela za Serikali zisitumike hovyohovyo. Tuwe wazalendo jamani. Hivi kweli 250k, 220k watu wanaenda safari siku 10 , mamilioni. Wakati miundombinu yetu bado ikiwa duni kiasi hiki. Mimi pia ni mnufaika wa nyongeza tena kwa asilimia 120 lakini...
  2. L

    Januari Makamba: Wanaohoji kuchelewa Mradi wa JNHPP ni upuuzi tu

    Kama anahisi anaonewa ajiuzulu tu. Kwa nini ukubali kuuliwa kama huna maslahi ya binafsi na huo Mradi? Pumb..vu
  3. L

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mimi nipo kaka! Sema nimekuwa M-charismatic kila nikianza kutype ya nyuma hofu inatanda nafuta! Lkn nipo ndugu yangu
  4. L

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Ngoja waje watasema umetumwa na Job kumsema Mama. Wengine watasema ameshafariki hawezi kurudi, utafikiri umeandika ili afufuke! Wengine watasema kazikwe nae, utafikiri umewaambia unataka kufa! Ukweli haupigwi rungu. JPM alikuwa Kiongozi shupavu, Mzalendo na mwenye maono kuliko....!
  5. L

    Kipi kitatokea endapo nitamuoa mpenzi wa rafiki yangu?

    Basi huyo dada amwambie huyo rafiki yako kuwa anakupenda sana, na kwamba atafanya njia zozote zile akupate! Baada ya muda mwambie msela wako, kuwa Shemeji anakusumbua sana, na kwa heshima yake unashindwa kuacha kumskiliza, lkn unashindwa kufanya anachotaka! Then, umblame kwa kumuacha na...
  6. L

    Nimekubali yaishe, kumtongoza tu kaomba laki

    Akipendacho/akitakacho binti/mwanamke sisi tunampatia/mnunulia ili ikifika mida ya miti asije akasumbua, (Harmonze, 2022)
  7. L

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Do you feel it? Ooooh, a lot beibe!!! Hahahah nyooo, alotiiiiiii[emoji1787]. Wanawake bn!
  8. L

    Sisi wenye 'Testasterone' nyingi tunaonekana wahuni, mtusamehe bure

    nyanyantole njoo huku Kuna wenye testasteron nyingi huku
  9. L

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hapa Sabasaba kumenoga aiseee. Watoto ni wakali balaa. Mmoja kanasa tumepata nae chakula Cha mchana, saa 11 tukafanye yetu. Cha kushangaza, nimepata hofu ya ndoa. Duuh nafsi inapambana, dk zinakaribia! Tuombeane tu jmn!
  10. L

    Harmonize kabadili dini kisa Kajala

    Wataachana tu! Tuko hapa. Kama Mimi niliachana na NYAMBULI!Tuko hapa
  11. L

    Dilemma: Nipiganie Damu Yangu ili Ndoa Zetu Zitikisike au Ninusuru Ndoa Zetu lakini Damu Yangu Ipotee?

    Pole kaka. Inabidi tuwe wapole. Jamaa kashauri tujione kama Sperm donor. Ila Mtoto anauma sana wee acha tu
  12. L

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Njooo inbox unisimulie kwa kifupi, afu mi niandike then nikutumie inbox upost! Tufurahie Masihara yako Hellen Jr
  13. L

    Dilemma: Nipiganie Damu Yangu ili Ndoa Zetu Zitikisike au Ninusuru Ndoa Zetu lakini Damu Yangu Ipotee?

    Ahsante sana Tekeri, nimeupokea ushauri. [emoji120] Barikiwa sana!
  14. L

    Dilemma: Nipiganie Damu Yangu ili Ndoa Zetu Zitikisike au Ninusuru Ndoa Zetu lakini Damu Yangu Ipotee?

    Aiseee, likiwa kwa mwingine liko pembeni Kiongozi. Wee unasema tu kirahisi
  15. L

    Dilemma: Nipiganie Damu Yangu ili Ndoa Zetu Zitikisike au Ninusuru Ndoa Zetu lakini Damu Yangu Ipotee?

    Sawa Mkuu Juandeglo, kwa sasa niko innocent sana tu, sema hilo kosa ndo linaleta dosari katika moyo wangu. Tuombeane tu ndugu yangu.
Back
Top Bottom