Search results

  1. K

    Wema Sepetu aonesha alama ya Freemason liveeee!

    Hivi wabongo freemason mmeijua mwaka jana nini.? Kila celeb w kibongo sasa hvi mnasema ni masonic, hvi mnajua kwamba freemason sio kama mnavyoichukulia nyie., its not that simple.. Kuna hadhi ya watu na vigezo vya kuingia freemason.. Kwanzia pesa uliyonayo na power uliyozaliw nayo kumanipulate...
  2. K

    Msanii "Sam Wa Ukweli " UMEJIAIBISHA

    Public figure ni a well-known or notable person; labda kama kwenye hiyo maana sam wa ukweli haingii
  3. K

    Msanii "Sam Wa Ukweli " UMEJIAIBISHA

    Umeona eeh? Kwangu nadhani itakuwa funga mwaka
  4. K

    Msanii "Sam Wa Ukweli " UMEJIAIBISHA

    Atakuwa kapendelewa hiyo.,
  5. K

    Msanii "Sam Wa Ukweli " UMEJIAIBISHA

    hahaaha.. hivi jamaa elimu ni level gani..?
  6. K

    Msanii "Sam Wa Ukweli " UMEJIAIBISHA

    nahisi hapo bado umempendelea., sijui hata aitwe jina gani ndo litamfaa
  7. K

    Msanii "Sam Wa Ukweli " UMEJIAIBISHA

    Kuna mambo mengine huwa tunayachukulia poa ila yana umuhimu sana wa kuyazingatia. wasanii wetu inabidi wajipange tena sana., Jana ndani ya HotMix show ya EATV walikuwa na msanii anayeitwa sam wa ukweli, ambapo "according to him" ilikuwa ni birthday yake hiyo jana., alipoulizwa kazaliwa mwaka...
  8. K

    Faiza wa 5 select EATV naye ni walewale

    true kabisa.. nadhani wengi wanafanya kwa sababu hiyo., maana mbali ya hapo hainiingii akilini kwa nini mtu adanganye umri., kwa wale wanaojiongezea nadhani ni kwa sababu wanataka fanya mambo yasiyokubalika na jamii kwa umri wao,
  9. K

    DANCE MIA MIA: Ni Vichekesho

    its a nice show, sema tu ipo mwanzoni... competition yoyote ikiwa mwanzoni inaboa hadi mchujo upite., mf. Tusker pro. fame au Bongo star search, inaboaga mwanzoni but after mchujo wakibaki wanaoweza ndipo unapoanza kuona uzuri wake.. so never judge a competition show ikiwa stage za mwanzoni...
  10. K

    Wema Sepetu, bora usingejichubua

    Inasikitisha jomba., sijui nani kawadanganya
  11. K

    Wema Sepetu, bora usingejichubua

    Angalia alivyojikomaza na hiyo rangi., ma stretch marks na hizo alama sijui ni makovu., mvuto umemuishia kabisa
  12. K

    Wema Sepetu, bora usingejichubua

    Huyo nadhani ndio mwalimu wao., utasikitika ukiziona picha zake za send off na harusi yake., she looked soo ugly yani., sababu ya mkorogo nadhani make up zilimgomea
  13. K

    Wema Sepetu, bora usingejichubua

    Tehe tehe.. Hiyo lazima itakuwa supplied by maimartha...
  14. K

    Wema Sepetu, bora usingejichubua

    Kweli huu ni ugonjwa... Sidhani kama mtu na akili zake anaweza fanya hiki kitu
  15. K

    Wema Sepetu, bora usingejichubua

    Soooo saaaad
  16. K

    Wema Sepetu, bora usingejichubua

    baelezee...!
  17. K

    Wema Sepetu, bora usingejichubua

    Yani mimi mara ya kwanza nilimuona very civilized and educated., but unachokisema sa hvi nimekiamini.. Celebs wengi cku hizi ni uncivilized
  18. K

    Wema Sepetu, bora usingejichubua

    Kweli kabisa
  19. K

    Wema Sepetu, bora usingejichubua

    I wonder what happened to keeping it real. Madada zetu siku hizi wanasikitisha sana. Nilikuwa nampenda sana Wema hasa kutokana na uzuri na mvuto wake. Wema alikuwa ana rangi nzuri sana kipindi cha nyuma kabla hajaanza kujichubua., sijui nani amemdanganya weupe ndio dili. Ukiangalia picha zake...
Back
Top Bottom