Search results

  1. Midnight

    Tuache usanii wa kuvaa barakoa

    Mabeberu hawa hawa mbuzi au? Ila Wazungu wanapitia mengi sana, Sasa mtu ukaitwe dume la mbuzi ni hatari kwa kweli 😆😆
  2. Midnight

    Je, ni Wakati Muafaka Simba SC Kuipotezea Michuano ya CAF Super League?

    Sawa. Lakini kumbuka alikuwa nyumbani!! Wewe Kama mjua mpira utakuwa umenielewa. Kuna tofauti kati ya kuwa nyumbani na ugenini.
  3. Midnight

    Je, ni Wakati Muafaka Simba SC Kuipotezea Michuano ya CAF Super League?

    Kwani juzi hukuona jinsi Al Ahly akitandikwa nyumbani kwake? Acha umanara wewe, mpira ni kuzidi na kuzidiwa wakati mwingine.
  4. Midnight

    Wahanga wenzangu, njoeni tuilaumu Serikali

    Njoo hapa Magogoni tuilaumu moja kwa moja, yaani live bila chenga mkuu.
  5. Midnight

    Polisi hawawezi kutafautisha kati ya Watanzania na Wahamiaji haramu?

    Upo sahihi. Nilimkuta mchaga mmoja hivi, aisee yupo na wakorea na anaongea kikorea usiombe..
  6. Midnight

    Kama unadhani mkeo au mumeo ndiye msiri wako, unajidanganya!

    Waaminifu ni malaika tu, tena na wenyewe walimsaliti Mungu. Issue ya uaminifu hapa Duniani na mbunguni imekuwa changamoto kweli kweli.
  7. Midnight

    Kilio chetu kwa Rais Samia: Tunaomba PayPal iruhusiwe nchini Tanzania

    Nilikisa pesa zangu za malipo toka USA sababu ya njia mbovu zamalipo hapa nyumbani. Hatuwezi kusema tunapiga hatua au tumepiga hatua Kama hata huduma huzi muhimu bado ni kizingiti hapa nchini. Au tunahujumiwa? Nini kazi ya wataalamu wa masuala ya uchumi? na kwa hali hii tutawafikia wakenya...
  8. Midnight

    Siri niliyoipata katika kufunga siku 21 kila mwanzo wa mwaka

    Kuna kitu nimejifunza hapa.
  9. Midnight

    Arusha: Aliyeua na kuondoka na kichwa cha mlinzi ni mlinzi mwenzake

    Aisee wizi huo mtaani wanakuua dakika moja tu. Ni heri ukavute bange kituo cha polisi kuliko kuiba kuku za mwananchi aliyepigika na msoto wa mitozo.
  10. Midnight

    Matumizi makubwa ya 'energy drinks' hasa kwa vijana, wanafahamu madhara yake?

    Mkuu umetukosea heshima kabisa sisi mabingwa watetezi na wawakilishi pekee waliosalia kimataifa.
  11. Midnight

    Ndugu yangu anafanya na kuongea mambo ambayo hayaeleweki

    Haya Mambo ya kuchanganyikiwa huwa yanaanza kidogo kidogo Kama hivi. Leo wakati naingia officen nikawa nasikia mtu anaongea ndani kwa sauti, nikasema ngoja nisikilize umbea Kama kutakuwa na issue ya kusagiana kunguni hapo job, aisee kumbe jamaa yangu wa Karibu kavulugwa na ameamua kuongea...
  12. Midnight

    Napendekeza rushwa ziongezeke zaidi

    Jambo baya ni kufa tu, kubakwa sio issue, maana na wewe unawaua waliokubaka then unatoa rushwa unaachiwa, inakuwa alie liwa kaua, ngoma droo iyoo
  13. Midnight

    Napendekeza rushwa ziongezeke zaidi

    Umesema kweli mkuu
  14. Midnight

    Napendekeza rushwa ziongezeke zaidi

    Na isiwe kama ulivyonena. Lakini ikitokea kwa yeyote yule ni sawa tu, maana mambo hayo mbona yanatokea kila siku.
  15. Midnight

    Napendekeza rushwa ziongezeke zaidi

    Upo sahihi mkuu kuto kuunga mkono hoja yangu. Lakini nashukuru pia unatambua umuhimu wa rushwa katika kufanikisha mipango ya mtanzania. Na kuhusu mwarobaini wa kupunguza rushwa hiyo tusahau.
  16. Midnight

    Napendekeza rushwa ziongezeke zaidi

    Nature ya watanzania ni ubinafsi na roho mbaya. Nasema uongo ndugu zangu? Kati ya watanzania 10, nane au tisa kabisa wamejawa na wivu, chuki, rohombaya na vijicho. Sasa jitu lenye roho mbaya litaruhusu upate kazi kweli? au upate- connection ya kupiga pesa? Sasa hapo ndipo ninapouona umuhimu...
  17. Midnight

    Tujuzane kuhusu gharama za utalii wa ndani

    Sasa nimejua umuhimu wao. Inabidi sisi watanzania tuwe tunaanda bajeti kwaajiri ya ma tour guider.
  18. Midnight

    Tujuzane kuhusu gharama za utalii wa ndani

    Lakini Kama mimi ni mtanzania na eneo ninalotembelea nalijua vyema kupitia elimu ya shuleni, mitandaoni na simulizi mbali mbali, hapo kunakuwa na umuhimu gani wa kuweka bajeti ya mwongozaji? Sasa unakuta unalazimishwa kuwa na mwongozaji eneo hilo unalolifahamu vyema miaka yote.
Back
Top Bottom