Search results

  1. S

    TAKUKURU Tanga mnaendeshaje kesi na mtumishi ambae bado ameshikilia ofisi? RAS achunguzwe

    Ninawasalimu wanajukwaa nimatumaini kumekucha salama na mnaendelea na majukumu. Kuna wakati niliandika uzi kuelezea namna ambavyo aliyekua mkurugenzi Tanga jiji alishiriki kuwatuliza Takukuru wasimzonge dada mmoja hivi ambae alifanya ubadhirifu wa mchana kweupe na akawa haogopi. Tena ili...
  2. S

    Kinana ukiingia Tanga mtafute Bhoke Nyarobi, Afisa Elimu aliyenyanyaswa akaacha kazi

    Katika mapokezi ya makamu mwenyekiti wa CCM bara ndugu Abrahaman Omari Kinana jana, amesema amepewa maelekezo na mwenyekiti wake aanze kupitia baadhi ya mikoa ikiwemo mkoa wa Tanga. Kinana utakapo karibia Tanga fanya liwezekanalo hata kwa dakika chache uonane na aliyekua afisa elimu taaluma...
  3. S

    TAKUKURU Tanga, vipi kesi inapomaliza zaidi ya mwaka?

    Ipo kesi moja mkuu wa shule alichukua fedha, vifaa na alishirikiana na mkurugenzi wa Jiji na afisa elimu katika wizi huo. Mkuu wa shule alianzia wizi kwenye utangazaji wa zabuni na anamiliki mihuri feki na TAKUKURU wanajua. Walioshiriki kubeba vifaa vya serikali wametoa ushahidi. Wizi...
  4. S

    Rais Samia, Ummy Mwalimu sio mtu wa haki; haendani na wewe

    Kama ambavyo imeonekana Mh. Rais amekua akihubiri watu kutendewa haki,ameonekana kuwa kivutio kwa makundi yote ya kijamii. Amekubalika hata na wanasiasa wa upinzani na sasa ajenda yao imebakiatu kuwa ni katiba mpya. Mh. Rais amemuweka waziri wa TAMISEMI ambaye ni mzugaji hamaanishi juu ya yale...
  5. S

    Hongera Nape, suala la kukaimu muda mrefu ni tatizo

    Katika mchango wake bungeni mh. Nape Nnauye ameshauri itungwe sheria inayoweka ukomo wa kukaimu. Jambo hili nikweli bora litungiwe sheria ili kuboresha mazingira ya utendaji kazi,uwajibikaji na kuondoa viashiria vya rushwa. Madhara yake yanaonekana Tanga Jiji kwani wapo watumishi waliopewa...
  6. S

    Rais Samia, unda tume huru ya kuchunguza madhila wanayopitia wananchi wa Tanga

    Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu amekua akizunguka maeneo mbalimbali akisisitiza ukusanyaji wa mapato na matumizi sahihi ya fedha hizo, amewataka viongozi waliopo chini ya wizara yake kuzingatia taratibu zote katika utumishi wa umma. Mbaya zaidi alipokua ziarani Tanga alimtolea mfano Martin...
  7. S

    NSSF Tanga badilikeni, wahudumu mnaonesha chuki kwa wateja

    Nimefika pale kuulizia huduma fulani lakini hakuna wahudumu wa kutosha (dirishani yupo mhudumu mmoja tu) foleni ni ndefu mno. Chumba kimejaa wateja lakini wahudumu wanajipitishatu na visuruali vyao, majibu yao ya hovyo. Watumishi wa hiyo ofisi wanachukulia wateja kama ombaomba. Hamjui kama kuna...
  8. S

    RAS Tanga soma hiyo, hii tabia ya kuifanya Tanga kama 'shamba la bibi' waache

    Ninakudokeza bosi kwamba viongozi wa hapo Tanga wakihamishwa kutoka huko walikotoka walikuja na watu wao (lugha ya sasa niseme chawa wao) Aliyekua RAS hapo alitokea Pangani na alikuja na kijana mmoja hivi anayeitwa Gibson ikawa yeye ndio ameshika hatamu ndani ya ofisi hiyo. Wengine wakimvisha...
  9. S

    RC Adam Malima, kuwa kama Anna Mghwira na sio kama Martin Shigela

    Mh. Adam Malima nakupa hongera kwa majukumu ya siku hata siku nikiamini kwamba ushakaribia Tanga na umeanza majukumu yako. Ninakuasa uwe kama Mh. Anna Mgwira au zaidi yake kwa kutenda haki na kukaripia viongozi wasio kua na utu wala uadilifu kama Sabaya. Mh Mgwira alikemea hadharani vitendo...
  10. S

    Kwa TANESCO sawa, kwanini sio kwa BASATA na TCRA?

    Hongera Mh. Kalemani kwa kuwawajibisha watumishi ambao aidha wamehisika kusababisha usumbufu au vyovyote vile. Pia Mh. Kalemani amekua muungwana kwa kuwaomba radhi Watanzania kwa usumbufu uliojitokeza. Wakati huohuo waziri mkuu ameenda mbali zaidi kwa kutoa maagizo kwamba wakae pembeni wapishe...
  11. S

    Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU afande Hamduni anza na Tanga

    Afande Hamduni hongera sana kwa kuaminiwa. Takukuru Tanga inakila sababu ya kumulikwa kwani inaungana na wanaotuhumiwa. Wapo watumishi wasio waadilifu pale zikitolewa taarifa za rushwa wanawapa taarifa wale waliotuhumiwa. Takukuru Tanga wananunulika kwa uwazi kwani mlalamikaji anawekwa...
  12. S

    TAMISEMI elezeni kwa uwazi hatua za kufuata ili kuwalalamikia Wakurugenzi

    Ninaomba kujua kwa uwazi hatua sahihi za kufuata pindi ninapotaka kufikisha malalamiko yangu dhidi ya Wakurugenzi na Wakuu wengine wa idara ambao wanafanya ofisi za umma kama kampuni zao. Waziri Ummy Mwalimu aliwasimamisha kazi Wakurugenzi baadhi kwa kauli kwamba wananchi walifikisha malalamiko...
  13. S

    Serikali mmechonga vinyago msiviogope. Viongozi wa Kiroho sio jukumu lao

    Kupitia vyanzo mbalimbali vya habari imeripotiwa kwamba jana tarehe 09/052021 Mh. Kasim Majaliwa Waziri Mkuu wa JMT alikua wilayani Lushoto kwenye kusimikwa kwa askofu Msafiri Mbilu wa KKKT usharika wa kaskazini mashariki. Jambo ambalo amewasisitizia viongozi wa dini nikuqaasa vijana wawe...
  14. S

    Sijaona Mzee mwenye mkongojo Mlimani City kwenye Mkutano wa rais Samia

    Wanajukwaa wasioelewa mkongojo ni fimbo au kifaa chochote anachotumia mtu(mara nyingi wazee)kuwasaidia wakati wa kutembea. Lengo nikusaidia mtumiaji atembee bila shida yoyote. Katika mkutano uliofanyika leo Mlimani City kati ya wazee wa Daresalaam na Mh. Rais mama yetu Samia Suluhu...
  15. S

    Tanga na siasa za kujipendekeza

    Kule Kigoma kuna kampeni zinaendelea katika majimbo mawili likiwemo jimbo la Buhigwe. Ajabu ya siasa za nchi hii eti watumishi wanatoka kwenda kufanya kampeni huko Kigoma. Eti wametoka watu kazini wakapige kampeni mfano mkuu mmoja wa shule katika jiji la Tanga (jina lake na shule yake kwapani...
  16. S

    TAMISEMI iingilie kati suala la ajira mpya za Walimu. Kinachoendelea ni undugu, rushwa na udanganyifu

    Ndani ya siku hizi mbili imesemekana eti walimu waliokuwa wanajitolea katika shule mbalimbali za Serikali ndio watapewa kipaumbele kwenye ajira. Hivyo majina ya watu hao yametumwa Tamisemi. Ukweli halisi ni kwamba walimu waliojitolea kwa mwaka mzima hawafiki hata 1% ya waajiriwa mia sita wa...
  17. S

    Baada ya uteuzi wa Katibu Mkuu wa CCM sasa Tanga itatulia hongera Rais Samia

    Kulikua na tetesi kwamba RC wa Tanga Martin Shigela angekua katibu mkuu wa CCM ili kuziba nafasi ya Bashiru Kakurwa. Baada ya tetesi hizo inasemekana chamani hapo Tanga ilikua ni pokopoko na nong'onong'o na vijiweni kwa jamaa au washikaji wa mtajwa wakaanza kutembea vifua mbele na mabega juu...
  18. S

    Hongera Asia Mayaga kwa kulisemea hili la ukaguzi wa udhalilishaji kwenye migodi ya madini

    Imeibuliwa hoja bungeni kwamba watu wanakaguliwa huko Mirerani kwa kuvuliwa nguo. Wanalundikwa kwenye chumba kimoja watu wa rika tofauti wakiwa wamevuliwa nguo eti kisa ni ukaguzi wa madini ya tanzanite. Akiongea kwa ukali na masikitiko mbunge wa viti Maalum Asia Mayaga amesema haivumiliki na...
  19. S

    Mhimili uishio kwa imani

    Wanajukwaa habari zenu. Sitaandika sana, ninajitahidi kufupisha mada yangu. Kwamuda sasa imekuepo tabia kwa baadhi ya viongozi wetu wa dini kuonekana kila kwenye matukio ya kitaifa kama vile Dodoma, Dar es Salaam nk. Jambo hili naona sio jema sana hasa kwa viongozi hao wa kiroho. Wanaweza...
  20. S

    Mtazamo wangu dhidi ya TAKUKURU

    Takukuru ni chombo cha kumulika na kuwaangza watoaji, wala rushwa na hata wanaoishabikia. Inaonekana kwamba aidha kuna Takukuru ambao wanafanya kazi sana au wengine hawaonekani kufanya kazi kutokana na maeneo kwakua labda hakuna vitendo vya rushwa au hao takukuru wenyewe ni wala rushwa...
Back
Top Bottom