Search results

  1. B

    Maajabu: Baba ajamiiana na mtoto wake wa miaka 9 mbele ya mama wa Mtoto

    Ukistaajabu ya Mussa hayo ndio ya Firauni, haina haja ya kushangaa, dunia ndiko inakoelekea
  2. B

    REVEALED: CHADEMA Yapanga Kupenyeza Mamluki ACT - Wazalendo!

    Kwa kweli mfa maji haishi kutapatapa, hivi kwani bado wanadhani watanzania ni wajinga kiasi hicho, kijana tu aache kazi zake akakizomee chama na kukipiga mawe bila sababu, watu si lazima wajue kuwa ni mpango, au wanataka kufanya mambo yasio na busara kama ya lowasa kusingizia wanafunzi...
  3. B

    Serikali inawachochea Gwajima na Pengo ili kuwagawa Wakristo

    Mi nadhani ni wasaa wa sisi kubadilika watu tunasoma kwa faida gani, kama tutaendelea kutawaliwa kwa kisingizio ukoloni mambo leo tunatofauti gani na bibi yangu alie kijijini haijui hata hiyo "Devide and Rule" tubadilike, hawa kina Gwajima mpaka kusimama katika majukwaa na kukusanya umati wa...
  4. B

    Wenyeji wa Kigoma-ujiji walivyo!

    Wenyeji wa Kigoma-Ujiji ni wakarimu na wasio na makuuu pia neno Tanganyika limetokana na samaki wawili wapatikano katika ziwa Tanganyika ambao ni Tanga na Nyika huyu nyika hupiga shoti mtu anapo mkamata akiwa hai au hata ukitumia kitu chenye unyenyevu au chuma mithili ya kisu lazima urushwe na...
Back
Top Bottom