hiv jaman choo cha kukaa unakunyaje..?..pia unachambaje...kama sio kuondoka na mavi..matakoni....mtu toka utotoni tumezoeshwa kutengwa kwenye miguu...then vyoo vua mafiga..alafu leo hii choo cha kukaa....yaaa lazima uondoke na kinyesi maana ukitaka kuchamba ..unakaaje hapo kama si kuchafua choo...
Mkuu nakushauri upande super feo ndio mabasi ya kuaminika kwa safari za songea dar
pia upande yale mabasi yanayopitia Lindi ..Masasi...Tunduru...utafika mapema ...na hutochoka...
yap...ilisha nitomea hiyo nilipo gundua nilimsuprise nilioa mwanamke mwingine ambaye alikua kila nikimuhutaji...
aisee uzi mzuri sana ..kuna hii kitu wanaiita compound interest hua inafaida sana hasa ukiwekeza mzigo wa tutosha ..maana kuna jamaa mmoja aliuza nyumba yake kama mil200 now kila mwez interent inaongezeka ..so kwa mwez anakula kama mil 9
[emoji2] [emoji2] [emoji2] hayo mataputapu ya TBC na kila kitu ni kibaya japokua investment iliyofanyika ni kubwa ..sijui tatizo ni nn...chanel inajiongeza yenye sauti..mara ina mwangwi..mara picha zinakua za kufifia hovyo kabisa....bila kusahaui clouds na chanel ten wajitathmini...
Ukilinganisha na machanel mangine ambazo ni kongwe hapa tanzania hakuna kama tv-e kwa vitu kama
-graphics zuri..kiasi kwamba hata video mbaya utaiona kali.
- sound ipo vizuri sana ..yaan kama unaangakia super sport vile
Mtoa mada pole sana..wakati wanaume wengine sikia ile harufu ya asili ya kipochi manyoya mate yanajaa mdomoni maka mtu aliye oba ukwanju au embe mbichi...kwa jinsi anayo itamani kuila..
kinacho nishangaza unakua kama mchezo wa draft..mtu hukai mahala ukatekeleza mipango mizuri ..mara unaondolewa analetwa mwingine..sasa sijui hajiamini katika teuzi zake..mmmh haya yeye ndio mwamuz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.