Wengi Wanaanzaga Hivyo Nidhamu Nyingi Lakini Baadae Wanakujaga Kubadilikaga.. Sijui Wanafeli Wapi.. Lakini Huyu Uwezo Upo.. Nimebahatika Kutazama Video Clip Yake Nimeona Ana Kitu Ndani Yake.. Sasa Cha MSingi Asiwe Mzembe Tu..
Darassa CMG Anasema Miongoni Mwa Wasanii Wapya Ambao Wapo Kwenye Label Yake Na Hana Mashaka Na Uwezo Wake Ni Huyu Hapa.. Anasema Kua Bila Shaka Anaweza Kua Mrithi Wa Young Killer Au Kumzidi Kabisa Young Killer Kutokana Na Uwezo Wa Utunzi Wake.
Je? Maono Ya Darassa Yanaweza Kua Sahihi? Hebu...
Mzee Watu Wanaongelea Hip Hop Ujue.. Tofautisha Kati Ya HIP HOP Na Mziki Wa Rap! Ukiijua Hiyo Yofauti Hiwezi Kuwapinga Wakina One The incredible Bro.. Wale Ndo Ma Geneous Sasa.. Amini Nakwambia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.