Search results

  1. T

    Magazeti ya Marekani yamemponda Macron kwa kutaka kuwaingiza chaka la Dubu

    Kama Russia ingeamua kufanya kama ilichofanya Israel Kwa Palestina naamini na wewe unajua Leo kusingekuwa na nchi ya Ukraine
  2. T

    Miradi ya Hayati Magufuli inavyowakosesha amani wapinzani. Hata baada ya kifo chake Bado kivuli chake kinawatesa

    Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme katika bwawa la JNHPP umewashwa na kuwashwa huko tatizo la umeme litapungua Kwa 85% ,hii...
  3. T

    Ajira portal

    Sio lazima Leo kama Jana hawakutoa Kwa sababu wanazozijua wao na Leo ni kama Jana kwao
  4. T

    Kama mnataka Waziri wa Kilimo ajiuzulu kwa uhaba wa sukari, basi na wa Nishati ajiuzulu kwa suala la umeme

    Serikali jukumu lake ni kuregulate mifumo mbalimbali katika nchi na sio kuzalisha hivyo suala lolote linaloenda sambamba na uzalishaki Serikali au Waziri Kwa ifahamu wangu mdogo hatakiwi kulaumiwa. Sometimes ,Serikali pia inabidi iwe mzalishaji badala ya regulator na lengo kubwa ni kusaidia...
  5. T

    Ajira portal

    Unadhani Ajiraportal imeanza kusumbua Leo mpaka watoe taarifa Kwa Leo na sio Jana na juzi?
  6. T

    Mzee Kikwete akishinda ataungana na Spika Dkt. Tulia na Mbowe kuongoza Taasisi kubwa duniani

    JK ndio mtu pekee kwenye nchi hii ambaye hajawahi na hajui kushindwa na jambo ambalo analipigania
  7. T

    Mshikaji wangu anatembea na ex wangu

    Ukikua utaacha utoto
  8. T

    Tetesi: Ni kweli Jakaya Kikwete anagombea uenyekiti wa kamisheni ya AU?

    The greatest politician alive ,mwache agombee maana ndio mtu mwenye ushawishi mkubwa sana Afrika
  9. T

    Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia

    Katibu wa Rais ni bonge la cheo, bila huyo jamaa appointment na Rais hutoboi. Ninatamani sana siku moja Mama anione,nimsaidie kwenye utumishi
  10. T

    Nimemuacha baada ya kutaka kumuua paka mwenye mimba!

    Huwezi kumuacha mtu Kwa sababu ya hayawani ambaye hujui chanzo wala asili yake. Pengine alikuwa anakusaidia kuiondoa tatizo kubwa sana huko mbeleni bila wewe kujua na pengine unafuga jini au pepo hatari bila wewe kujua. Na hapa nikipima uwezo wako wa kufikiri na huyo mwanamke naona huyo...
  11. T

    Rais Samia amjibu Mbowe kwamba umaarufu wa Lowasa uliibeba CHADEMA

    Wazigua hawapendi ujinga na kudanganywa
  12. T

    Rais Samia amjibu Mbowe kwamba umaarufu wa Lowasa uliibeba CHADEMA

    Lowassa kama angepitishwa na CCM upinzani ungepata asilimia zaidi 10 ningeamini upinzani umekomaa sana.
  13. T

    Rais Samia amjibu Mbowe kwamba umaarufu wa Lowasa uliibeba CHADEMA

    Mimi ni shahidi wa ushawishi wa Lowassa ,na nikiri kusema ushawishi wa Lowassa haukuwa wa kawaida hata kidogo. Nilikuwepo kwenye kampeni za Lowassa 2025 handeni, kwanza handeni hakuna upinzani kabisa ila Ile nyomi aliyojaza Lowassa 2015 ilikuwa balaa. Yule ni jabali
  14. T

    Rais Samia amjibu Mbowe kwamba umaarufu wa Lowasa uliibeba CHADEMA

    Tukio Moja kubwa lililompa amani na furaha Hayati Magufuli ni Lowassa kurudi CCM maana ushawishi wa Lowassa ungeendelea kuibeba sana CHADEMA. Lile tukio la kumpokea Lowassa nililiona tabasamu halisi kabisa la Hayati Magufuli. Mungu awalaze mahali pema, hakika walikuwa ni mashujaa wasisahaulika...
  15. T

    Hili la ENL nimefaidi sana, Ahsanteni vijana wa zamani hizo

    Ni muda wa kusheherekea maisha yake
  16. T

    Mbowe Aisahihisha Historia ya Lowasa katika Mazishi huko Monduli

    " Pilato akaandika Yesu Mnazeleti mfalme wa Wayahudi, wakamuuliza Kwa nini umeandika hivyo? Pilato akajibu nilichoandika nimekwishaandika" Tafakari ya hayo maneno ni kwamba mtu mkubwa anaposema na kutenda historia umeandika na kutenda alichoandika hivyo basi Alichosema Rais Samia ndio...
  17. T

    Msiba wa Lowassa ni gunia la misumari kwa Kikwete

    Watoto wengi wa 2000 wanakua wanakutana na stori ya Lowassa kumuweka Kikwete madarakani halafu Sasa walivyo wepesi wa kubeba Kila stori wanaamini ni kweli.
  18. T

    Msiba wa Lowassa ni gunia la misumari kwa Kikwete

    Zirudie akili zako na hapa nitakuelekeza kwa mifano maana Biblia inatufundisha kutumia mifano. Kwa mfano, umegombana na mtu aliyekuwa rafiki yako sana na ukawaambia watoto wako kwamba Fulani nimegombana naye msimuamini sana. Miaka ikasonga, mkaombana msamaha na uliyogombana naye mkayamaliza...
  19. T

    Msiba wa Lowassa ni gunia la misumari kwa Kikwete

    Tuachane na ubishi turudi kwenye uhalisia na turudi 2005 ,ushawishi ule wa JK ulitengenezwa na Lowassa ? Najua hii ni stori ya kijiweni ambayo mpaka kesho inasemwa hivyo
Back
Top Bottom