Search results

  1. I

    Yanasemwa mengi juu ya ajira za Sensa, nami niseme machache

    Kuna Mambo matano mtumishi wa umma ukiyafanyia mchezo yanaathiri moja kwa moja utumishi wako na yapo kwenye sheria ambayo ni mitihani ya Taifa,Sensa,uchaguzi mkuu,mwenge na msafara wa Rais
  2. I

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Wenye ajira watashiriki tumejifunza kwenye Anwani za makazi baadhi ya watu wa mtaani they don't care
  3. I

    Najuta kuhamia kwangu Kerege

    Yaani hapo kerege unaona mbali Mimi nipo kibaha kwa mfipa na kutoka hapo kwa mfipa mpaka kwangu 6km ,natoka kwangu Asubuhi na kipikipiki changu nakuja hadi morogoro road naiacha hapo sheli napanda daladala naenda town nikirudi naichukua narudi home kwenye hewa safi
  4. I

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Hahahaha bado sijastaafu mkuu ,nilikuwa namaanisha kwa hawa ambao hata kutuma maombi hawawezi wasijisumbue kwenye usahili hawatoboi
  5. I

    Kumlipa Clinical Officer laki 6 sio haki hata kidogo

    Yaani ukikutana nao wanajitambulisha kwa Dr la kumbe wanakula mia sita
  6. I

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Mtaalam tunayemtegemea kufanya kazi ya sensa kwa kutumia Kishikwambi ameenda stationary akalipa 10000 ili asadiwe kufanya application, nawangoja wa hivi waje kwenye interview watajua hawajui
  7. I

    Kumlipa Clinical Officer laki 6 sio haki hata kidogo

    Kumbe CO ana salary ndogo hivyo laaa pole yao
  8. I

    Kazi za Sensa: Fomu Na. 1 inakusanywa wapi kati ya ofisi hizi?

    Ni lazima acha ofisi ya kata ,kuna baadhi ya watu wanadharau kamati ya sensa ya kata ndio itaanza mchakato wa kuwapata watu sahihi na watutumia hiyo copy
  9. I

    Top 10 Best secondary schools of all time in Tanzania

    Anachosema ni kweli kipindi hicho private walikuwa wanachukua waliofeli ,ila kama umesoma kuanzia 2000 Mambo yalikuwa yameshabadilika
  10. I

    Ajira za utendaji wa kata

    Sio mpya mkuu ni wa siku nyingi kazi yangu ya kwanza ni WEO na niliingia 2014 na tulipitia sekretariet ya ajira katika utumishi wa umma wakati huo ikiwa pale maktaba ya Taifa ,kwa mtu anayetaka kuomba nafasi hizo anicheki nina kiuzoefu kidogo
  11. I

    Kazi za usalama (TISS) mpaka utoe hela?

    Unaomba kazi za USALAMA unazijua au unavutiwa na suti
  12. I

    TAMISEMI, kwa ubunifu huu nadhani mtatenda haki

    Kazi ambazo hazina usaili unakosaje,?
  13. I

    Naomba makisio ya gharama ya ramani hii

    Ukiangalia maoni ya humu ndani ,unaweza kuwa muoga wa kuanza kujenga
  14. I

    Cement ya Nyati 42.5 bei Gani kwa jumla?

    Ameweka wazi anataka bei ya dar labda ana mradi upo dar
Back
Top Bottom