Search results

  1. M

    Wasiojulikana Mikononi mwa Dkt. Christopher na Kilawa

    Wakuu .. Tukubaliane tu bila kupepesa macho. Ukweli mchungu hii Miamba miwili Dr@Christopher Cylilo na Kaka mkubwa kilawa Shindo wameishi maisha ya sekeseke Sana kipindi Cha Awamu ya 5. Huwa kila nikikumbuka Hawa jamaa walivyopambana na wasiojulikana wanaojulikana huwa nacheka Sana...
  2. M

    CCM ya Baba na Mama kumbukeni hili

    Wakuu, Tusameheane tu nimekulia nyumba ambayo baba, Mama, Bibi na Babu wote kwa ujumla na rejareja ni CCM. Ukweli mchungu CCM HAIJADHAMIRIA kutuletea maendeleo ya kweli watu wa kusini, ukiangalia nguvu inayotumika awamu hii kuwekeza Kanda Kanda ya ziwa na kaskazini ni dhahiri mmetuona watu wa...
  3. M

    Friji used linahitajika...

    Wakuu, FRIJI liwe na sifa zifuatazo Used kubwa 1.5 au 2 size Lisiwe chakavu Lisiwe na hitilafu yoyote Linaweza kuwa Aina ya Boss and the like but the Boss much prefered.. Uwe tayari kunisafirishia Malipo baada ya makubaliano. Inbox Ahsante..
  4. M

    NMB acheni kutuibia wakulima wa korosho

    Wakuu,, Nina Hasira kwa kiwango Cha PGO huwezi amini. NMB nyie Ni wachamungu wezi na Kama wezi wengine tu ...licha ya kuwa na wateja wengi. Ipo hivi kwenye mabango ya malipo ya korosho huwa mnapunguza pesa kiwizi Sana huwa mnashirikiana na makatibu au mmeamua kujiongeza KUTUIBIA WAKULIMA. Mfano...
Back
Top Bottom