Search results

  1. M

    Nilichojifunza leo katika Ibada ya Ijumaa Kuu

    Na je kipo kipengele Cha kumuombea shetani amaamini Mungu.....??
  2. M

    Waislamu mnijibu tafadhali

    Na ndio msimamo wa ahl sunna...
  3. M

    Kuacha kazi kumbe kazi!!

    Utakuwa jamaa wa pale kwa Pm
  4. M

    Watanzania tutumie unga wa muhogo badala ya ngano

    Etiii sumu prussic ....ajabu kwamba sisi watu wa huku South tunakula sumu????
  5. M

    FUTARI akipika mwanamke ambaye haujamuoa na mnaishi pamoja ni dhambi, ila FUTARI ya mitaani ni halali bila kujali amepika nani

    Wakristo bhana yaaan Kuna Muda marafiki zangu huwa wafuata op kabsa na Bible yao....kuhubir kivingine na matendo kivingine...
  6. M

    FUTARI akipika mwanamke ambaye haujamuoa na mnaishi pamoja ni dhambi, ila FUTARI ya mitaani ni halali bila kujali amepika nani

    Wewe kwenye Bible upo emptyhead ..unasema Yesu Ni mungu...Mara Yesu Ni mwana wa mungu.??? Hapo bado kwa jina la baba la mwana na roho ...hapa napo Pana Miungu wangap.???
  7. M

    FUTARI akipika mwanamke ambaye haujamuoa na mnaishi pamoja ni dhambi, ila FUTARI ya mitaani ni halali bila kujali amepika nani

    Wewe jamaa Ni shallow Sana halafu ni mkristo uchwara ....Yesu Ni mungu au mwana wa mungu...???? Km Ni mwana wa baba yake yupo wapi
  8. M

    FUTARI akipika mwanamke ambaye haujamuoa na mnaishi pamoja ni dhambi, ila FUTARI ya mitaani ni halali bila kujali amepika nani

    Ilibidi atuambie Yesu alibatizwa na Nani...na ukristo aliupokea kutoka wapi....uone mapovu ya wakristo yalivyo ya kijani
  9. M

    Watumishi wasiongezewe mshahara ili akili ziwakae sawa waelewe serikali yao kiundani.

    Ukweli mchungu Profesa Assad alishasema wazi 60%ya watumishi Ni vilaza....kijana akipata kicheo kiduchu hugeuka muumini wa Majungu na unafiki ....alienda kukopa hajui pesa atafanyia nn
  10. M

    Kitu gani umebeba kwenye wallet chenye kuonyesha utambulisho wako?

    Kwa kauli hii Ni wazi mshana hujaacha kilinge
  11. M

    Elon Musk aweka mezani $43.4B kuinunua Twitter

    Dah ila watu mna macho ya mwewe
  12. M

    Watumishi wasiongezewe mshahara ili akili ziwakae sawa waelewe serikali yao kiundani.

    Usimtisheeee. Mimi mtumishi ila naunga mkono hoja...
Back
Top Bottom