Search results

  1. M

    Mchumba anahitajika

    Habari wanakundi, Mimi ni binti wa miaka 29, naishi dar. Mimi ni wakawaida kabisa, Mrefu kiasi, Maji ya kunde, Mkristo(SDA) Sijasoma sana, Asili yangu ni kanda ya ziwa, NATAMANI NIKUTANE NA HUYU MWANAUME. 1. Anayemcha Mungu na awe Mkristo 2. Asiwe Mme wa mtu, 3. Awe na umri kuanzia...
  2. M

    Standard two syllabus

    Habari, Naomba mwenye syllabus ya class two English medium anisaidie kwa kuipakia hapa, najaribu kuipakua mtandaoni inagoma.
  3. M

    Kwa mabinti waaminifu mlioko chuoni na mnaoelekea chuoni

    Natumai mko salama, Leo nawiwa kuwaandikia haya enyi mabinti wenye nia ya kuutunza usichana wenu hata kama uko chuo au unatarajia kuingia huko. Fanya yafuatayo kama hutaki uasherati chuoni. 1. Hakikisha una marafiki wa kike na wakiume kwa vyovyote lazima wawe na tabia kama zako au ziendane...
  4. M

    SoC02 Kwanini Tanzania ina rasilimali nyingi lakini uchumi wake sio imara?

    Tanzania ni moja ya nchi zilizopo mashariki mwa bara la Africa. Na ndani yake huishi Watanzania na asilimia ndogo ya watu kutoka nchi zingine duniani. Tanzania sasa angalau haipo katika nchi maskini duniani, sasa ni nchi ya uchumi wa kati. Nchi hii imebarikiwa sana, ina rasilimali nyingi ambazo...
  5. M

    Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Habari wakuu, naomba kwa anayeweza kujua hili tatizo anisaidie. Nataka kufanya application ya hizi nafasi za ualimu zilizotangazwa, nakutana na changamoto moja, kila nikijaribu Ku log in naaambiwa unauthorized user, nikafili nakosea password. Nikataka kubadili password ikashindikana, coz ili...
  6. M

    Natafuta shule nijitolee kufundisha

    Habari ndugu zangu, Mimi ni mhitimu wa shahada ya elimu,natafuta shule yoyoyte , msingi au sekondari dar er salaam, nijitolee kufundisha. Msingi ni masomo yote. Sekondari ni geography, General studies au civics. Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom