Search results

  1. M

    Natafuta Mchumba/Mume

    It will be a nice couple and wiil be called abroaders, but don't for gate the criterias , one of them is "you must be engineer"
  2. M

    Natafuta Mchumba/Mume

  3. M

    Mke wangu ana gubu sana

    Nimesikitika kuwa uliacha kwenda kufanya mazoezi kwasababu mkeo alikukataza, bro wewe ndo baba wafamilia una uwamuzi wa mwili wako mkeo na watoto wenu hata kama unampenda vipi usikubali akutoe kwenye mstari, na anakusoma vile unakubali anyokwambia Siku atakuzua kufanya vya muhimu zaidi ya hivyo...
  4. M

    Kitabu cha Afrika Magufuli and Change chaingia Tanzania

    AMEACHA KIELELEZO CHA MSIMAMO IMARA USIOYUMBISHWA IM IMARA.
  5. M

    Kitabu cha Afrika Magufuli and Change chaingia Tanzania

    1: kukataa lockdown wakati wa kori ona na kupelekea uzalishaji kuendelea na kupiga hatua kiuchumi 2: Kusaka na kuachisha kazi wenye vyeti feki na kuruhusu vijana wenye vyeti halali wanaosota mtaani kushika nafasi jambo ambalo viongozi wengine hawakuwa wamefanya 3 : Kujenga bwawa LA nyerere...
  6. M

    Kitabu cha Afrika Magufuli and Change chaingia Tanzania

    Kumbe Na hatutamsahau, ni aina ya kiongozi anayehitajika kwa bara la Africa kwa ajili ya maendeleo ya haraka
  7. M

    Kitabu cha Afrika Magufuli and Change chaingia Tanzania

    Vizuri sana, mbegu imefukiwa ardhini na inaota na itazaa matunda mengi sana. Naiona Africa yenye akili sasa
  8. M

    Standard two syllabus

    Naahukuru mkuu
  9. M

    Mchumba anahitajika

    Habari wanakundi, Mimi ni binti wa miaka 29, naishi dar. Mimi ni wakawaida kabisa, Mrefu kiasi, Maji ya kunde, Mkristo(SDA) Sijasoma sana, Asili yangu ni kanda ya ziwa, NATAMANI NIKUTANE NA HUYU MWANAUME. 1. Anayemcha Mungu na awe Mkristo 2. Asiwe Mme wa mtu, 3. Awe na umri kuanzia...
  10. M

    Standard two syllabus

    Habari, Naomba mwenye syllabus ya class two English medium anisaidie kwa kuipakia hapa, najaribu kuipakua mtandaoni inagoma.
  11. M

    Ndoa nyingi za watu wa bara hazidumu ukilinganisha na ndoa nyingi za watu wa pwani

    Pwani hakuna kesi za ukatili kwa sababu mwanamke anapoona dalili za ukatili anadai talaka haraka tena kwa mda mfupi tu anasepa. Wanawake wengi wa bara wanafanyiwa ukatili kwa sababu kudai talaka sio destuli yao. Wao wanachojua ni kuvumilia tu, mwishowe yanawakuta hayo. Kwahiyo ndoa zinazodumu...
  12. M

    Ndoa nyingi za watu wa bara hazidumu ukilinganisha na ndoa nyingi za watu wa pwani

    Pwani hakuna kesi za ukatili kwa sababu mwanamke anapooana dalili za ukatili anadai talaka haraka tena kwa mda mfupi tu anasepa. Wanawake wengi was bara wanafanyiwa ukatili kwa sababu kudai talaka sio destuli yao. Wao wanachojua ni kuvumilia tu, mwishowe yanawakuta hayo. Kwahiyo ndoa...
  13. M

    Mbappe kanitekea demu wangu

    Hakuna mwanamke atakae Iona hii picha akabakia salama Vila kuwaza ushenzi, labda mtoto. Mbappe umetutia majaribuni
  14. M

    Sababu mbili kwanini bado upo single

    Nzuri sana hii, ndo nagundua kua sababu za kuwa single ni mbili tu, kujichukia sana au kujipenda sana. Ukweli usiopingika.
  15. M

    Tatizo ni hiki kizazi cha sasa au kuna sehemu wanaume tunakosea?

    Ukweli ni kwamba bado hajakupenda ndo maana anaandaa njia za kukupiga vizinga. Mwanamke akikupenda hakuombi hela angalau baadae sana tena kwa shida kweli. Endelea kupiga sound bro.
  16. M

    Tangu ninaishi na huyu mchumba sijawahi kula chakula chake

    Tatizo la kisaikolojia yalishawahikukuta au ulisikia au kushuhudia kwa mwingine sasa unajihami.
Back
Top Bottom