Search results

  1. T

    Usajili wa chama cha siasa cha National Economical Reformation Socialist Party -NERP

    Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
  2. T

    Kwanini bunge linakosa utashi katika kuidhinisha vipaumbele vya serikali

    Yaani kilimo ambacho kimiajiri wananchi asilimia 85% kimetengewa billion 751 wakati wizara ujenzi na uchukuzi imetengewa TRILION 03 sasa hapa kuna nini? Utakuwa umeondoa umaskini wa hiyo population ya 85% kivipi hapo?
  3. T

    The regime that does not care of its citizens

    BBC has just notified the World that unknown number of Tanzanian are stranded in Ukraine as the result of on going with Russian unfortunately no any statement made by the Government on how to evacuate and bring them back . As far as i know life a single person matters a lot .
  4. T

    Tatizo la kukosa uzalendo katika nchi hii bado linatafuna Taifa

    Hili Tatizo la kukosa uzalendo katika nchi hii bado linatafuna Taifa siyo kwa watumishi wa umma tuu hata wa sekta binafsi. Nampongeza PM kwakuingilia kati issue ya Wizara ya Fedha .Nafkiri Elimu ya uzalendo ianzie kufundishwa primary school mpaka vyuo vikuu...sprit ya kizalendo huenda...
  5. T

    Tafsiri ya Kiongozi Bora

    Kiongozi bora ni yupi? Ni yule anaweza kuliunganisha Taifa bila kujali, dini, kabila, rangi, ukanda, itikadi n.k. Ni yule anaweza kuzimamia Rasilimali za Taifa kuwanufaisha wananchi wa Taifa husika. Mwenye kuheshimu utawala wa sheria na haki za binadamu. Hatuhitaji viongozi ambao ni madadali...
Back
Top Bottom