Search results

  1. samaki wa mbao

    Mateso na unyanyasaji wa wafanyakazi kiwanda cha Fujian Mkuranga (Kisemvule)

    Amani na upendo kwenu nyote! Kwanza nikiri wazi Mimi nimefanyakazi ktk kiwanda hiki katika vitengo mbalimbali jikoni, nondo na skrepa toka 2018 Hadi 2021 oktoba nikaacha kazi, jamaa na rafiki zangu wanaendelea kutaabika na kupata mateso mpaka sasa. Katika kiwanda hiki Kuna MATESO NA...
  2. samaki wa mbao

    Msaada kuhusu kuchagua chuo/kozi

    Salamu kwenu wakuu, Kuna kijana amepata D ya physics, C ya biology na Chemistry na math kapata F, jumla ana Division 2. Je, huyu course za Afya vyuo vya serikali au binafsi anaweza kukubaliwa? Asanteni
  3. samaki wa mbao

    Msaada kwa aliyeweza kuapply NACTE mwaka huu 2021

    Habari wakuu!! Hadi Sasa nimejaribu Sana kuapply NACTE lakini nimeshindwa, Naomba msaada kwa yeyote anaweza kunisaidia au amefanikiwa kumaliza kuapply NACTE!! Mpaka Sasa nimejisajili na password na username wamenipa, tatizo kwenye kuchagua chuo, kila niki-log in ili nichague chuo inafeli...
  4. samaki wa mbao

    Wapinzani amkeni sasa

    Tanzania itajengwa na wazalendo, Natumaini ndugu zangu mnaendelea vema na majukumu yenu. Kwa Sasa Vyama vya upinzani Tz inabidi watumie huu muda kujikita ktk mizizi kabisa kwa wananchi. CCM Sasa wapo ktk malumbano na Tahamaki kubwa hasa baada ya Kifo Cha JPM. Hii Ni nafasi adhimu Sasa...
Back
Top Bottom