Who are you?
What is your calling?
What's real matters in your life?
What do you want the next generation to remember from you?
Shukrani kwa ku-share jambo hili mkuu.
THINK AND GROW RICH by Napolean Hill, kitabu hiki kimenisaidia sana katika kuhakikisha naendelea kusonga mbele kwa Jambo ninalolifanya yaan kutokukata tamaa.
Pia kimenisaidia kuwa na jicho la tatu la kuona mambo mbalimbali, hususani katika kusimamia ndoto na malengo niliyojiwekea bila...
Nimejiwekea lengo la kusoma kitabu kimoja kila mwezi, nimeshamaliza THINK AND GROW RICH kwenye timetable kinachofuata ni hiki THE RICHEST MAN IN BABYLON.
Shukrani sana kwa kushare kitabu hiki.
Taikon wa fasihi naikubali sana kazi yako. Huwa nikiona uzi wako lazima nimpe simu mdogo wangu nae apitie madini yako maana yeye hana smartphone.
Hongera sana mkuu kwa kumulika nyanja mbalimbali za maisha.
Elimu elimu elimu!
Bado Kuna shida kwenye elimu yetu, wasomi wapo wengi lakini bado hatuendani na matakwa ya ulimwengu huu.
Ulimwengu wa Leo unahitaji watu wanaotumia ubongo wao vizuri sambamba na elimu zao kwa kubuni, kuanzisha miradi , kuchimba na kutafuta ukweli kwenye changamoto...
Leo ikiwa ni mwaka mmoja umepita tangu Rais wa awamu ya tano Hayati John Pombe Magufuli afariki, nimekaa chini muda fulani nikatafakari siku hii ya kumbukizi ya kifo chake, Kuna somo nimelichukua kupitia kwake. Kwa kulinganisha kipindi akiwa hai na baada ya kutuacha, somo hilo ni kutokuogopa...
Yaani baba Rais mstaafu, mtoto anakuwa Rais tena, hivi kweli watanzania milioni sitini wote hao hakuna wakuchukua nafasi hiyo?!!!.
Kweli Kama ambavyo maji hutiririka kutoka nchi kavu kuelekea baharini kwenye maji mengi, basi na uongozi wa Tanzania upo hivyo.
Shukrani sana kwa ushauri mzuri, bado naendelea kuweka mipango mizuri, maana Mimi nimepitia mabegani mwa mzee wangu, basi na Mimi ninalo jukumu la kufanya hivyo kwa wale wanaonifuata.
Maisha ya pembeni mwa mji matamu sana yaani, nakumbuka baada ya kumaliza chuo nilikuwa nakaa mjini kwenye nyumba ya mzee wakati huo sina ramani yoyote, ukiamka asubuhi unakuwa bored sana hususani kwa wale tunaopenda kujishughulisha.
Bahati nzuri mzee alinunua eka mbili pembeni huko, basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.