Search results

  1. chivala

    Kituo cha television ITV Tanzania, kweli ni Super Brand

    Wakuu, Nayasema haya, siyo kwa upendeleo bali ni ukweli mtupu hata ninyi mnaweza kuwa mashuhuda jinsi ITV inavyoripoti kutoka Mahakamani kwenye kesi ya Mheshimiwa Mbowe na wenzake. Kwenye taarifa zake za habari, ITV huweka wazi taarifa na mambo mbalimbali bila woga wala upendeleo. Hii...
  2. chivala

    Mashine ya kuranda mbao toka marekani inauzwa

    Aina ya J E T.* Haijatumika* Seize 20" PLANER* Dukani sh: 18,000,000* Nauza sh: 10,000,000* MAONGEZI YAPO* Location Dar*
  3. chivala

    Israel:Watoro 2 wa mwisho wa Gilboa prison wakamatwa tena

    Maafisa wa jeshi la Israel wanasema kuwa wamewakamata tena wafungwa wa 2 wa kipalestina waliowahi kutoroka kwenye jela yenye ulinzi mkali ya Gilboa baada, ya utafutaji wa siku 14, kukamtwa tena kwa wafungwa hawa, kunakamilisha idadi yote ya wafungwa 6 kuingia mikononi mwa maafisa wajeshi la...
  4. chivala

    Israel: Wafungwa wanne kati ya 6 waliotoroka wakamatwa tena

    Maafisa wa usalama wa Israel wasibitisha kuwakamata wafungwa wa 4 kati ya 6 hatari wa wanamgambo wa kipalestina waliotoroka kwenye gereza lenye ulinzi mkali la Gilboa.
  5. chivala

    Kabul Airport waambulia ndege na magari mabovu

    Siku ya kuondoka jeshi la Marekani kwenye uwanja wa ndege wa Kabul, taliban waliingia kwa mbwembwe na furaha ikawajia, baada ya kuona ndege za kivita na helicopters aina Hawks na Magari ya Hunvee yalioaachwa na jeshi la Marekani, kumbe Wamarekani waliharibu kila kitu ambae sio rahisi...
  6. chivala

    Picha na majina ya wanajeshi 13 walouawa Kabul Airport juzi

    Leo ni siku ya mwisho ya kuondoka mwanajeshi wa mwisho wa marekani nchini Afghanistan wakiwa wameuliwa wanajeshi 13 kwenye harakati za kuhamisha Raia wakigeni na wakimbizi wa Afghanistan.
  7. chivala

    Sakata la Hamza, Mwalimu Makengeza atoa pendekezo

    Wakuu kuhusu sakata la muuwaji Hamza kwa uchungu mengi yanasemwa, basi Mwalimu Richard Mabala Makengeza naye kasema yake ili kuepuka uzao wakihalifu sawa na wa Hamza, kapendekeza kwenye hospitali za wazazi kuwepo na watabiri. zaidi Soma chini..
  8. chivala

    Kwa mujibu wa TBC kama taarifa hii ni kweli, wa Denmark wanatudanganya

    Juzi nikiwa nasikiliza taarifa ya habari ya tbc msomaji aligusia suala la Denmark kufunga ubalozi wake hapa Tanzania 2024, msomaji alienda mbali kwa kusema: sababu za kufunga ubalozi inatokana kuwa wao hufungua balozi kwenye nchi zisizokua na amani, kwa hivyo wanafunga ubalozi wao tz kwa vile ni...
  9. chivala

    Taliban waanza kuingia mjini Kabul

    Hali ya wasiwasi imeanza kutanda duniani kote baada ya waasi wa Afghanistan wenye MSIMAMO mkali wa kiislam kutwaa miji mikubwa ya nchi hiyo na sasa kungia kwenye baadhi ya viunga va mjimkuu wa nchi hiyo KABUL. Sasa hivi marekani na nchi nyingine zinahaha na harakati za kuwahamisha wandiplomasi...
  10. chivala

    Mbinu halali ya kupunguza makato kwenye miamala ya simu

    Wakuu siendi mbali sana ila nimegundua njia halali ya kupunguza pesa tunazotozwa sisi wanyonge kwenye miamala ya simu. Mbinu inayotakiwa kuifanya ukitaka kutuma pesa au kutoa pesa kwa wakala fanya hivi: 1-kutuma, tuma shilingi 990, 9990, 19990, na kuendelea. 2- kutoa pesa kwa wakala: toa...
  11. chivala

    Nyama ya Nguruwe: Ni kweli ina vimelea hatari vinavyosababisha ugonjwa wa ini?

    Wana JF nawasalimu, Wakuu nikiachana kwa upande wa dini zetu ISLAMIC na SABATO-CHRISTIAN uhalali na haramu wa NGURUWE, kuna mambo mengine yanayosemwa kuhusu nyama ya nguruwe. Mimi sijui kama ni uzushi au ni kweli kwa hivyo nawaomba wana jamvi watufafanulie sifa hizi nzuri na mbaya zinazo...
  12. chivala

    Ushuzi unaonuka na usionuka, ni dalili ya afya au magonjwa?

    Wana JF, pengine baadhi ya wezangu suali langu wanaweza wakalichukulia kuwa mzaha, lakini ni muhimu kujuwa vitu vinavo sababishwa na afya au maradhi mwilini mwetu ukiwemo "USHUZI" kitendo hiki cha kujamba kila binadamu na baadhi ya wanyama wanacho, tafauti ni uchuzi unaonuka na unaonuka. Suali...
  13. chivala

    Gharama za kupima Covid-19

    Wakuu tafadhalini Naomba munijuze bei gani kupima Covid-19 kwa raia wa kawaida na maeneo yanayotoa huduma ya upimaji ya Coronavirus
  14. chivala

    Miamala ya simu, ni vibubu va walalahoi

    Ni utafiti niloufanya mapema tu baada ya mzigo huu wa kodi ya muamala wasimu na ikapachikwa jina hasimu la UZALENDO, nimegundua kwamba asilimia 90 ya watumiaji wa miamala ya simu ni wale walala hoi waliokua wakihifadhi pesa zao ndogondogo kweye vibubu au kwenye vibuyu na vyungu tu. Hivyo basi...
  15. chivala

    kumbe Basi jibya la yanga ni YUTONG!

    Wakuu najuwa tu, huenda baadhi yetu mkaona uzi huu hapa nimeuvuta kiushabiki, la hasha! ila ni kwa kuzingatia usalama wa wachezaji na viongozi wa yanga, kutokana na jinsi Gari za kichina zinavokosolewa kwa usalama wake mdoga, haswa Mabasi haya ya YUTONG yanatabia ya ubovu wa kuwaka moto...
  16. chivala

    TTCL kuna unafuu wa tozo ya miamala ukilinganisha na kwingine

    kutokana na tozo za kodi ya miamala, kampuni ya ttcl tozo yao, ni tafauti na makampuni menginine ya simu.
  17. chivala

    Tozo mpya ya Miamala ya TIGO-PESA na M-PESA, hii hapa

    Kutokana na miamala ya kutuma pesa na kupokea pesa Serikali kutoza kodi, kuanzaia tarehe 15/07/2021 hali itakua kama hivi:
  18. chivala

    Dhahabu hupunguza nguvu za kiume?

    Wakuu asalam Allaykum. Amani iwe juu yenu. Baada ya salamu nawaletea uzi huu unaohusu athari ya uvaaji dhahabu kwa mwanaume. Wanajamvi niliwahi kusikia kwa wahadhiri wa dini ya kiislam wakitahadharisha kuwa uvaaji wa dhahabu kwa mwanaume ni khatari!, husababisha upungufu wa nguvu za kiume...
  19. chivala

    Wasifu wa hayati Pombe Magufuli kwenye wikipedia wapotosha

    wanajamvi bila shaka mpo salama bukheril afya. mimi naona niingiye moja kwa moja kwenye jambo lilionisibu hadi kuwaletea hapa. Kama tunavojua serikali ilivotangaza msiba wa rais hayati magufuli na ikaeleza kuwa sababu ya kifo chake ni ugonjwa wa moyo wa mfumo wa umeme, chaajabu wasifu uliondikwa...
  20. chivala

    Mpya! Kuuza pilau nyumba za ibada

    Wakuu leo nimekutana na jambo la ajabu sijawahi kuliona maishani mwangu, nadhani hata baadhi yenu hamjalishudia. Leo nilihudhuria sala dhuhri katika msikiti mkubwa fulani, baada ya kumaliza sala kwenye lango kuu la msikiti nikamkuta muumini muuza pilau kwa style ya takeaways. Basi hapo ndio...
Back
Top Bottom