Search results

  1. M

    Jamani familia imeparaganyika ushauri tafadhali!!!!!!!!!!

    Habari zenu wakuu! Tumezaliwa wanne kwa mama mmoja,baba tofauti.Wavulana wawili,wasichana wawili.Mama amefariki,ameacha pesa na nyumba pamoja na kiwanja.Pesa imegawanywa kwa kufuata sheria za mirathi mahakamani,mvulanammoja na msichana mmoja kati ya watoto hao wametapeliwa na sasa...
  2. M

    Wafanyakazi wa serikali balaaaaaa

    Hadi leo baadhi ya watumishi wa serikali hawajapokea mishahara yao ya mwezi Octoba.Tatizo ni nn?
  3. M

    natafuta kiwanja - njiri arusha

    Hakuna mkoa wenye ardhi ghali nchini Tanzania kama Arusha,asee! kipande tu,bei yake utashangaa
  4. M

    Sumaye amgwaya Lowassa!

    Ondoa boliti yako kwanza kwenye jicho lako,then ndo uone ya mwenzako! Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!
  5. M

    Rasilimali zetu,wanyamapori wetu,umasikini wetu!

    Wadau Habari zenu! Open Areas ambazo ziko chini ya Halmashauri zetu hutumika kama njia ya utorosheaji wa wanyamapori,kuua pasipo taratibu za uwindaji kufuatwa rejea Wilaya za Monduli na Simanjiro.Vile vile kumekuwapo na watendaji wabovu na wapenda rushwa wanaodili (kufanya dili) na waarabu...
  6. M

    Mh.kagasheki open areas huchangia upotevu wa wanyamapori.

    Wakuu habari za leo! Napenda kumjulisha Mh.Waziri wetu wa Maliasili kuwa Open Areas ambazo ziko chini ya Halmashauri zetu hutumika kama njia ya utorosheaji wa wanyamapori,kuua pasipo taratibu za uwindaji kufuatwa rejea Wilaya za Monduli na Simanjiro.Vile vile kumekuwapo na watendaji wabovu na...
  7. M

    Nyumba pamoja kiwanja vinauzwa tegeta ma site,kinondoni - dsm.

    House for Sale in Block G, Plot na.1417 Tegeta (Ma site) Kinondoni Municipality DSM Size:1291M2 Guide Price: Tshs.350,000,000 ( milioni mia tatu na hamsini) Description: It is very private and attractive site, planned drive ways surrounded by bunglows,maissonate and single storey residential...
  8. M

    Mawaziri wapya na azimio la arusha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    Wakuu Heshimu kwenu! Nimekaa na kutafakari sana kuhusu Azimio la Arusha,ingawa kulikuwa na baadhi ya vipengele ambavyo havikuwa sahihi kwa wakati tulio nao vingeondolewa ila vile vinavyohusu uongozi na utawala bora vingeachwa maana hapa tulipo sasa hali ni mbaya serikalini hasa kwenye masuala...
  9. M

    Serikali yavumbua jina jipya la semina elekezi, Sasa kuitwa "MTIHANI"

    Dah! Wakivurunda tutasema kuwa WAMEFELI MITIHANI
  10. M

    Baraza la mawaziri na watoto wa vigogo

    Subiri dingi aigawe Wilaya yetu ile ya Bagamoyo upate ukuu wa wilaya,kaka.Usihofu,hawatakusahau hata mzee akitoka.
  11. M

    Kikwete apokelewa na wanachama CUF badala ya CCM airport Tanga

    Nyie semeni tu,ila mnajua ni nini kitatokea kwa viongozi wa ccm mkoa? Maonyo kwa kwenda mbele kwani wamemtia aibu mkuu wa kaya,hawajajipanga kwa kumkaribisha rais
  12. M

    Mtoto wa mkulima atarudi kwenye baraza jipya tarajiwa?

    Sawa sijui sheria,sheria inasemaje ktk hili? Ndio tatizo la watz badala ya kutoa njia au solution wanaishia kulaumu tu.
  13. M

    Mtoto wa mkulima atarudi kwenye baraza jipya tarajiwa?

    Wakuu heshima kwenu! Huku mtaani kwetu watu wanajiuliza baada ya CC ya CCM kuridhia na kusukwa upya baraza la mawaziri. Je,PM Mizengo Pinda atarudishwa na akirudishwa wananchi tutafsiri vipi ilihali ameshindwa kuwasimamia mawaziri waliofuja mali ya umma? Nawasilisha.
  14. M

    Picha ya leo! Ingekuwa tanzania ingekuwaje?

    Mkuu huu ni uhalisia wa viongozi wengi wa kiafrika ndani ya mioyo yao.Kama umefuatilia hapa Mombasa kuna kikundi cha watu wanaoaka Mombasa ijitenge,na je Tanzania viongozi si kama wanyama tu ndani ya mioyo yao wasiopenda kufuatilia matatizo ya wananchi wao!
  15. M

    Je, JK Gorbachev part II?

    Hadi sasa Real Madrid 2 na Bayern Munich 1 mpira ni half time saa 4:43 Ucku saa za Afrika Mashariki
  16. M

    Serikali inasabisha walimu watie aibu.

    Sasa sikia atakapo kamatwa na kupelekwa mahakamani na kisha hiyo hukumu yake,utafurahi! Wakati wapo waliokwiba mabilioni wanatanua au kuachiwa pasipo kuguswa
  17. M

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    Mkuu hukufuatilia vizuri,yupo kijana mmoja.Jina limenitoka,kama unayo ile list iweke hapa nikukwambie ni yupi,ila kijana yupo,usihofu
  18. M

    Mh Mbunge Ahmed Shabiby ni mkwepa kodi!

    Kuliwa na wenye MENO,ha ha ha ha ha!
Back
Top Bottom