Search results

  1. Sonship

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Goba Mageti

    Kiwanja kina sqm 584, Bei milioni 14 maongezi kidogo yapo. Kiwanja kipo mtaa mzuri uliojengeka, barabara inafika mpaka kwenye kiwanja Kimepimwa kina hati ya wizara 0675 065906
  2. Sonship

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbezi mwisho Msigani

    VIWANJA VIPO MBEZI MWISHO MSIGANI ✳️ VINA SQM 700 KILA KIMOJA ✳️ VIMEPIMWA VINA HATI YA WIZARA ✳️ PUNGUZO LA BEI MLN 15 TU ✳️ VIPO ENEO ZURI LENYE HUDUMA ZOTE WAHI FASTA UCHUKUE CHAKO VIMEBAKI VIWANJA VIWILI 2 TU 0675065906
  3. Sonship

    Kiwanja kinauzwa kibaha loliondo

    KIWANJA KINAUZWA KIBAHA LOLIONDO ✳️LOCATION :: KIBAHA LOLIONDO ✳️Kutoka Loliondo stendi mpaka site boda Tsh.1,000 ✳️Ukubwa 60x43 bei mln 25 maongezi kidogo yapo ❇️Huduma zote za kijamii zinapatikana ✳️Umeme, Maji vyote vipo ✳️Kiwanja kipo mtaa mzuri opposite na bandari kavu ❇️Kupelekwa site...
  4. Sonship

    House4Rent Nyumba Inapangishwa kimara korogwe kwa mkua

    Nyumba inapangishwa kimara Korogwe Kwa mkua njia ya kuelekea Tabata, Ina vyumba 2 vyote master maji yana flow ndani Ina sebule kubwa na jiko Gypsum na tiles mpaka chooni Kodi 200,000 kwa mwezi 0675065906
  5. Sonship

    Plot4Sale Nauza viwanja maeneo mbalimbali Dar

    Nunua kiwanja kwa bei chee. Mbezi Msakuzi Makabe 18×22 kiwanja kina nyumba kuu kuu ya vyumba 3 bei mln 20 Kiluvya Gogoni 22×25 bei mln 9 Kiluvya kwa Komba 20×20 mln 6 Kiluvya kwa Sumaye 40×40mln 18 Kiluvya kwa Sumaye 20×20 bei mln 6 Viwanja vyote umeme na maji yapo jirani
  6. Sonship

    Nyumba inahitajika

    Nyumba inahitajika maeneo ya Goba isiwe ndani sana mbali na barabara ya lami,Ofa iliyopo ni Milioni 40 - 50.Mazingira yawe mazuri.
  7. Sonship

    Orodha ya Wakurugenzi wa Usalama wa Taifa Tanzania "TISS" Tangu uhuru

    Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20 mwezi Januari mwaka 1997. Sheria hiyo ndio inayoipa mamlaka Idara hiyo kufanya kazi zake ndani na nje...
  8. Sonship

    Uzamiaji Afrika Kusini: Mikasa katika harakati za kuzamia Afrika Kusini kwa njia za panya

    SAFARI YA KUZAMIA AFRIKA YA KUSINI KWA NJIA ZA PANYA Sehemu ya kwanza. Utangulizi Mimi ni mtanzania mzaliwa wa Mbeya. Kwa sasa umri wangu ni wa kutosha kidogo kwa sababu nipo duniani tangu miaka ya 1980. Wakati nasoma shule ya msingi kwenye miaka ya 1990 hivi tulikuwa tunaimba nyimbo maarufu...
  9. Sonship

    Je, wafanyakazi wa NMB hawajalipwa mshahara?

    Wakubwa nisaidie hapa hivi ni kweli mpaka leo tarehe 26/4/2021 Wafanyakazi wa Benki ya NMB hawajalipwa mishahara yao au Napigwa sound. Maana kuna Mtu namdai sh.200,000/= anafanya kazi kwenye hiyo benki Karibu mwezi ananizungusha kunilipa deni na Mara ya mwisho nimembana juzi alhamisi akasema...
  10. Sonship

    Huyu mwanamke wa Kitswana kutoka Afrika Kusini anaupendo wa kweli au ni tapeli wa mtandaoni?

    Salamu zenu wakubwa, Mimi ni kijana mwenzenu wa Kitanzania mwenye miaka 29, sina mtoto wala mke, nina Diploma ya Ualimu na kwasasa nafanya kazi katika moja ya shule binafsi hapa Dar. Kilichonifanya nije kwenu wandugu kuomba ushauri, ni takriban mwezi mmoja sasa katika pitapita huko kwenye...
Back
Top Bottom