Search results

  1. Pseudomonas

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Anga la Kyiv limekua linalindwa na Air Defence systems za west lakini bado hazijaweza kudhibiti Kyiv isishambuliwe. Anga la Kyiv ni moja ya anga ambazo zinalindwa na advanced air defence systems katika bara la ulaya. Kyiv kuna American Patriot systems ikiwa na state-of-art missiles kama...
  2. Pseudomonas

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hii ni sababu nyingine ya kwa nini ni vigumu kwa Ukraine kuweza kushinda, kushinda vita kwa kutegemea silaha za msaada ni changamoto labda kama huo msaada ungekua unakuja vile ambavyo wewe unataka. Mf Ukraine akitaka 300 F-16 basi zije kwa wakati, akitaka 500 tanks zije kwa wakati, na ni kitu...
  3. Pseudomonas

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    mkuu sio man power tu inayoibeba Russia, lakini military industrial complex ya Russia kiujumla iko superior kwa Ukraine. Inahitajika muujiza wa karne kwa Ukraine "kupindua meza" maana odds ziko against nae. Binafsi nafikiri solution kwa Ukraine ni kukaa mezani na Russia wajadiliane...
  4. Pseudomonas

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    mkuu F-16 ni mojawapo ya ndege nzuri za kivita ingawa ukweli utabaki pale pale kwamba F-16s hazitakua na uwezo wa kubadilisha balance of power kwenye vita hii, ni kama ambavyo western weapons nyingine zilizopita lakini zinaweza kusababisha uharibifu kwa Russia. Kwa mda sasa Ukraine imekua...
  5. Pseudomonas

    Ehud Olmert: Lazima vita isitishwe na kumuondoa Netanyahu madarakani

    Hiyo habari kuna blog moja nimeona wameandika. https://www.aa.com.tr/en/middle-east/former-israeli-premier-says-no-possibility-of-achieving-israeli-goal-of-eliminating-hamas/3090276# Lakini pia sio mara ya kwanza kwa huyu Former Israeli prime minister Ehud Olmert kuongelea juu ya mgogoro wa...
  6. Pseudomonas

    Sehemu za Massage ziangaliwe kwa umakini mkubwa

    Sio kila kitu serikali iangalie, kama mtu mzima na timamu kaamua kwenda masaji rooms ni utashi wake umehitimisha hivyo provided hamna mtu aliyelazimishwa kwenda huko. Hatuwezi wote kuishi kwenye tamaduni sawa, au kuishi kwenye system ya maisha inayofanana.
  7. Pseudomonas

    Msaada juu ya ufafanuzi wa sheria ya ardhi

    Salam wakuu, Juzi kuna mdau alianzisha uzi juu ya watu wenye kuhitaji ufafanuzi na usaidizi katika sheria ya ardhi sasa naona mods wamefuta/wamehamisha na siuoni tena ule uzi na niliuliza swali la msingi lenye kuhitaji ufafanuzi na kuna mdau alinijibu wakati nafungua uzi nikaambiwa invalid topic...
  8. Pseudomonas

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, akanusha uvumi wa kutenguliwa kwa Gambo

    Ukiwaleta kwenye mada hizi lazima wakae kimya.
  9. Pseudomonas

    Lowassa anaumwa Parkinson's disease, urais atauwezaje?

    umetoa wapi source ya taarifa yako hapo watu wakakataa kukubaliana nayo? kutokana na taarifa yako una maoni gani kwa mgombea uraisi huyo na wafuasi wa chama chake? Naamini wewe umekuja kutoa taarifa sio mshabiki wa chama flani
  10. Pseudomonas

    Lowassa anaumwa Parkinson's disease, urais atauwezaje?

    tupe chanzo cha taarifa yako
  11. Pseudomonas

    Lowassa anaumwa Parkinson's disease, urais atauwezaje?

    hawezi kupatiwa majukumu ya nafasi ya uraisi wa nchi na nani? na ccm au wananchi?
  12. Pseudomonas

    Lowassa anaumwa Parkinson's disease, urais atauwezaje?

    great thinkers ni wanaoikubali ccm?
  13. Pseudomonas

    Magufuli na mradi wa laptop kwa kila mwalimu,hivi tatizo ni ukosefu wa laptops?

    eti ahadi ya laptop inakuingia akilini? hizo fedha za kununulia laptop kwa walimu wote nchini kazitoa wapi? au na yeye ana wafadhili wanaompa hizo fedha akiingia ikulu azirudishe? ingekua lowasa mngesema kazitolea wapi. walimu wana malimbikizo yao hawajalipwa bado, mazingira mabovu ya kufanyia...
  14. Pseudomonas

    Iran: Israel itafutwa kwenye ramani ya dunia

    unaposema kipindi cha pharaoh waisraeli hawakua na nchi inamaana walizaliwa misri au walijikuta tu ni watumwa misri wenyewe hawakujua wametokea wapi? soma hostoria ujue walitokea wapi
  15. Pseudomonas

    Somalia Average IQ is 68, "AMONG THE LOWEST IN AFRICA"

    wewe kasome Yohana 3:16 kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamtoa Mwanawe pekee ,ili kila mtu amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele.Na Yohana 3:18 Amwaminiye yeye hahukumiwi ;asiyemwamini yeye AMEKWISHA kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu...
Back
Top Bottom