Search results

  1. Hardlife

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Barca alishinda 6-1 aisee
  2. Hardlife

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Una hali gani huko ulipo? [emoji1787][emoji1787]
  3. Hardlife

    TANESCO Hamko serious hata kidogo

    Kuna siku utalia tu wewe jifanye kiburi. Kwanini usingeenda kwa meneja?
  4. Hardlife

    Napenda hili litokee. Je, Yanga mtakuwa upande gani?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila Yanga mmepigwa tukio moja matata sana. Naona Mamelody huko Insta hawapumui kabisa
  5. Hardlife

    Napenda hili litokee. Je, Yanga mtakuwa upande gani?

    Ukiisha penda football hata ukute watoto wanacheza lazima u support upande mmoja tu.
  6. Hardlife

    Napenda hili litokee. Je, Yanga mtakuwa upande gani?

    Ikatokea Simba na Mamelodi Sundowns wamepangwa group 1 au wanakutana robo fainali au vyovyote vile. Je, Yanga mtamshangilia nani?
  7. Hardlife

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nilikuja kuandika hapa. Garnacho anasababisha Liverpool wapunguze kupanda. Hakuna majeruhi na unaingoza unafanya sub ya nini?
  8. Hardlife

    FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

    Mwaka jana Wydad walitutoa kwa matuta tukasema tumetoka kiume wakatucheka sana. Afadhali watoke.. timu zenyewe wanasiasa sasa wanachukua misifa acha zitolewe tu [emoji28]
  9. Hardlife

    FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

    Pole sana. Ile kauli ya kufa kiume vipi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. Hardlife

    FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...
  11. Hardlife

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  12. Hardlife

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Onana kaanzisha shambulizi vizuri sana
  13. Hardlife

    Mbona malalamiko mengi kwenye nyumba za kuficha Bati (Hidden Roof), Mafundi wanakosea nini hadi zinavuja?

    Kuna fundi namfahamu na namkubali sana na alishanifanyia kazi kadhaa ila za kawaida, sasa home kwangu nilijenga chumba kimoja self kwaajili ya wageni wangu na ni Hidden roof, najuta aisee, ni chumba kimoja tu lakini ngoma inavuja hatari. Mpaka sasa nimemaliza zaidi ya 200k kurekebisha ila bado...
  14. Hardlife

    Leo ni furaha baada ya kulipwa na niliyekuwa ninamdai

    Anajua kupitia wewe.. kwa akili hiyo ndio maana kitambaa cheupe kinakuwa cheusi hela yote haionekani.
  15. Hardlife

    Video: Angalia Bodaboda alivyogongwa na Mwendokasi

    Nimewahi kukoswa na Rav 4 moja pale mataa ya External ilikuwa mida ya saa 6 mchana sitosahau na ndio mwisho wangu kupanda Boda. Ilikuwa 2018. Hapo natokea Ubungo naenda Airport, taa zilikuwa nyekundu na ziliruhusiwa gari zinatokea kushoto kwa maana ya Mabibo, kama kawaida Boda akapenya kwenda...
  16. Hardlife

    Clear Offside kabisa

    Sawa Angalia vizuri
  17. Hardlife

    FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

    Siwezi kuwa Utopolo hata kidogo but let's talk truth
  18. Hardlife

    FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

    Ila goli la kwanza ni Offside kwa Chama kabla ya kupiga cross
Back
Top Bottom