Search results

  1. F

    Dada yenu nawaomba sana ndugu zangu Msaada wenu kupata kazi Nje ya Nchi

    ALLAAHUMA AMIIIIINA Mkuu🙏 Nashukuru sana kwa comment yenye faraja, nami naamini hivyo kua hawataniacha
  2. F

    Dada yenu nawaomba sana ndugu zangu Msaada wenu kupata kazi Nje ya Nchi

    Shukran sana Mkuu naamini wenye nazo watakuja kutupa hizo fursa na sote kwa pamoja tuweze kunyanyuana na kushikama mkono
  3. F

    Dada yenu nawaomba sana ndugu zangu Msaada wenu kupata kazi Nje ya Nchi

    Barikiwa saana Mkuu Barikiwa mnoo🙏 nashukuru sana kwa muongozo wako na mawazo yako ya busara na yakinifu🙏
  4. F

    Dada yenu nawaomba sana ndugu zangu Msaada wenu kupata kazi Nje ya Nchi

    Shukran sana kwa kujali kwako Ubarikiwe sana jaman🙏 nashukuru kwa maelezo yako yakinifu yaliyonipa mwangaza halisi juu ya Visa nitapitia websites mbali mbali kuweza kupata hizo nafasi za kusoma kwaajili ya Masters iwe kama njia ya kutimiza lengo langu. Nikipata tu chance ya kwenda huko najua...
  5. F

    Dada yenu nawaomba sana ndugu zangu Msaada wenu kupata kazi Nje ya Nchi

    Habarini Wapendwa, mpaka sasa sijafanikiwa kupata kazi Nchini mwenye kuweza kuwa sehem ya msaada kwangu naomba anisaidie hali inazidi kua mbaya Marnah nakushukuru kwa Msaada wako wa Pesa taslimu Shilingi Laki 1 ilinisaidia saana nakosa nisemeje sikujui na haunijui lakin hukutaka kuhoji chochote...
  6. F

    Dada yenu nawaomba sana ndugu zangu Msaada wenu kupata kazi Nje ya Nchi

    Sijui ata niandike nini kuweza kuonyesha shukran zangu za dhati kwako, najaribu kutafuta maneno mazuri nakosa naona yote hayatoshelezi wema wako kwangu, Shukran sana kwa support yako uliyonipatia, MUNGU akulipe na akutimizie mahitaji yako na kwakila uliombalo akukamilishie nashukuru sana ndugu...
  7. F

    Dada yenu nawaomba sana ndugu zangu Msaada wenu kupata kazi Nje ya Nchi

    Shukrani sana kwa faraja🙏 nitafuata ushauri wako kuhusiana na Passport Ubarikiwe sana
  8. F

    Je, unaweza kufanya kazi kama Personal Assistant?

    Ubarikiwe sana Kiongozi kwa kushare nasisi tayari nishafanya Application tangu jana, Shukran sana
  9. F

    Dada yenu nawaomba sana ndugu zangu Msaada wenu kupata kazi Nje ya Nchi

    Ahsante sana kwa mawazo yako yaliyonishibisha Ubongo wangu Kiongozi🙏 Niko tayari kama nitampata mtu wa kunisaidia basi niandikishiane nae kwa maandishi na mashahidi na Mwanasheria wake juu ya gharama atakazozitumia, na nitakapofika huko nifanye kazi na kumlipa gharama zake zote Naamini katika...
  10. F

    Dada yenu nawaomba sana ndugu zangu Msaada wenu kupata kazi Nje ya Nchi

    Nashukuru sana kwa mawazo yako Kiongozi Ninashida sana yaan saana mpaka kujitosa kuandika hapa Mtoto wakike sio jambo dogo, kutokana na tafiti ndogo nilizozifanya mitandaoni Asia wanasema Waarabu wanyanyasaji sana na malipo yao ni finyu kupita kiasi, hizo ni tafiti nilizoziona mitandaoni...
  11. F

    Dada yenu nawaomba sana ndugu zangu Msaada wenu kupata kazi Nje ya Nchi

    Shukran sana Kiongozi niko tayari kwa ajili ya hizo fursa ata kwa kuja huko huko Geita niko tayari Kiongozi..niko flexible enough working in any hardship environment na kuishi popote na Mkoa wowote ule ata kama mazingira yake ni magumu kiasi gani naweza kuvumilia Kikubwa niweze kuwasimamia hawa...
  12. F

    Dada yenu nawaomba sana ndugu zangu Msaada wenu kupata kazi Nje ya Nchi

    Ahsante sana na Ubarikiwe sana Kiongozi nimeshakucheki inbox tayari
  13. F

    Dada yenu nawaomba sana ndugu zangu Msaada wenu kupata kazi Nje ya Nchi

    Amiiiiin nashukuru sana kwa maombi na faraja🙏
  14. F

    Dada yenu nawaomba sana ndugu zangu Msaada wenu kupata kazi Nje ya Nchi

    Ahsante kwa mawazo yako, nimekua interested na Nje kutokana na fursa nyingi zilizopo huko nasio kwa Ubaya, na hapa nimeshafanya Application sana bila mafanikio yoyote yale
Back
Top Bottom