Search results

  1. amkawewe

    Safari za Rais John Magufuli nje ya nchi tangu aingie madarakani 2015

    Nimecheka sana. You made my day.
  2. amkawewe

    Tatizo la CCM ni Mfumo-UKAWA!

    Pamoja na kwamba swali limeulizwa kishabiki, nakushukuru umejibu vizuri kiasi. Kwangu ni vizuri UKAWA wanapokosoa waeleze kwa ufasaha mbadala wa tatizo la CCM. Kwani ukiacha majina ya vyama kwa kiasi fulani misingi yetu/tabia zetu kama binadamu zinaendana. Mfano wengi kama siyo wote tunapenda...
  3. amkawewe

    Wanamtandao wa Maombi Tanzania (WAMATA)

    A Prayer for our Nation's ElectionO God, we acknowledge You today as Lord, Not only of individuals, but of nations and governments. We thank You for the privilege Of being able to organize ourselves politically And of knowing that political loyalty Does not have to mean disloyalty to You...
  4. amkawewe

    Goli la mkono: Maandalizi yanakwenda vizuri

    Nimefurahi mzee alivyowasilisha mada yake. Kwanza kakiri kwamba haya siyo nzuri, na kuwa chuo cha fitina ina maana hawajaanza leo. Sijui kama mwaka huu watafanikiwa ila kuna kila dalili ya kufaulu mtihani huu wa mwisho. Mkichomoka mwaka ni last chance ya kuacha maigizo makubwa kama ulivyokiri.
  5. amkawewe

    Wanamtandao wa Maombi Tanzania (WAMATA)

    :A S 41: Good luck. Mungu awaongoze
  6. amkawewe

    Tulionao tumekosea, michepuko ndio chaguo halisi

    We mkali. Nilifikiri if mchepuko akawa renamed kuwa mke na mke kuwa mchepuko. Na transfer stahiki ikafanyika. Mambo pia yatageuka?
  7. amkawewe

    Mgombea Urais wa CHADEMA avunja sheria ya Uchaguzi, NEC yampa onyo

    Viongozi wa dini wasitumike kufanya kampeni
  8. amkawewe

    Mikakati dhidi ya Dr. Slaa: UKAWA mnaona hii ni sawa?

    Tatizo la ccm ni mfumo lakini nani walikuwa architects wa huo mfumo? Kama baadhi yao wamehamia ukawa Je, hawawezi kudesign a similar system ukawa?
  9. amkawewe

    Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    Kila moja anatoa tuhuma then anasema aje nimbomoe tena. Movi linaendelea. Wapiga kura tuna kazi mwaka huu
  10. amkawewe

    Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    Ee Mungu tusaidie kuwatambua na kuwachagua wenye nia njema na nchi hii.
  11. amkawewe

    CHADEMA msijidanganye, Dr. Slaa hayuko peke yake

    Tunahitaji haya ilituendelee according to Hayati Mwl. Nyerere - Watu - Ardhi - Uongozi bora - Siasa safi
  12. amkawewe

    Walishindwa CHADEMA chama kubwa, kazi ni kwenu CUF

    Hizi fitina za Ubara vs uZnz Ukristo vs Uislamu
  13. amkawewe

    Ushahidi kuwa Lowassa hakupata wadhamini milioni moja laki sita

    Ni jambo jema tukajua ni njia ipi ilitumika kupata wadhamini zaidi milioni ndani ya siku 2. Napenda mabadiliko lakini lazima tutumie njia zinazoeleweka. Tukizidisha ushabiki tutajuta ndani ya muda mfupi baada ya kuyapata.
  14. amkawewe

    Ukweli kuhusu Dr. Slaa

    well said
  15. amkawewe

    Ukweli kuhusu Dr. Slaa

    Anaweza kuwa na option ya kupumzika, kuachana na siasa.
  16. amkawewe

    Barua kwa Dr. Slaa: Mageuzi/Mapinduzi ni kubwa kuliko agenda ya Ufisadi

    Tunahitaji viongozi wazalendo wa kweli. Wanaochukiwa kuwaonewa kwa mtanzania yeyote kwa kukosa haki za msingi. Mageuzi bila kuwa na watu waadalifu ni sawa na bure. Viongozi waadilifu ndio watakaosaidia kubadili mifumo na sheria kandamizi. Tofauti yake ni kutafuta zamu ya kula.
Back
Top Bottom