Search results

  1. Poppy Hatonn

    Mfahamu Babaji

    Babaji ni Himalayan yogi ambaye ameishi kwa muda mrefu sana. Kila mtu anapaswa kumfahamu Babaji ni nani. Inasemekana Babaji amezaliwa Madras, India, AD 200. Mpaka leo yuko hai. Nilitamani kuweka picha moja ya Babaji hapa, lakini hii simu ina matatizo gani sijui mbili hizi. Nilitamani kuweka...
  2. Poppy Hatonn

    Siyo kosa kama mtu anataka kumuondoa Samia 2025

    Kweli upo wa CCM kuhusu jambo hilo, lakini hakuna sababu ya kugombana na watu wanaoutaka urais. Achilles heel ya Rais Samia ni kwamba anakopa sana hela, watu wanaishi beyond their means. Hizi hela zote zinazokopwa, utafika wakati wa malipo. Hiki ndicho chanzo cha vita. Pesa zote zinamilikiwa...
  3. Poppy Hatonn

    Nyumba yangu imegeuzwa kuwa pango la wezi

    Yesu alisema,"Vipi Hekalu limegeuzwa kuwa pango la wezi na wanyang'anyi?" Kwa wale ambao sio Wakristu tuseme kwamba Yesu akawaona wati wanafanya dili nyingi za pesa. Akasema,"Baba yangu aliamuru hii iwe nyumba ya sala, lakini mmeibadili kuwa pango la wezi" Ndio tunajiuliza serikali imekuwa...
  4. Poppy Hatonn

    Wakati Makonda anakwenda Arusha kuwa Mkuu wa Mkoa tunauliza kuhusu CV yake.

    Kuna yeyote anaweza kutukumbusha kuhusu CV ya Makonda? Alikwenda UDSM ,alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi,and what else? Tunaweza kuipata CV yake apart from his illustrious political career?
  5. Poppy Hatonn

    Ukiposti barua kwenda UK inachukua muda gani kufika kule?

    Jana nimekwenda posta kununua stempu na kuposti barua kwenda UK(United Kingdom). Baada ya kuiweka stempu nikamuuliza yule mdada barua itasafiri vipi? Akasema, ile barua itapelekwa Dar es Salaam kwanza. Nikasema,"Oh! kwa hiyo itaondoka ya ndege jioni?" Akasema,"Hapana. Haitandoka leo. The...
  6. Poppy Hatonn

    The Biden White House has forbiden M23 to use its anti-aircraft guns

    The White House has instructed the M 23 rebels to use only light weapons when engaging in the figthing,and also to get out of DRC. This is very humane for The White House to say such a thing. But it is time now to bring this war to an end. What should happen is this: The side which is...
  7. Poppy Hatonn

    Netanyahu anasema akishawakomboa Wayahudi atakwenda Afrika kuwakomboa Waafrika

    Netanyahu alikuwa anaongea na viongozi wa Afrika miaka michache iliyopita. Actually alikuwa anamnukuu Theodor Herzl, kiongozi wa Wayahudi aliyesema: "After I have freed the Jews,I will go to Africa to save the Africans." Netanyahu anasema:"I believe in Africa. Here we have the Black Jews...
  8. Poppy Hatonn

    Tshisekedi hakushinda kura. Alipewa urais na Joseph Kabila

    Ule Uchaguzi uliotokea kwanza miaka mitano iliyopita Tshisekedi hakushinda. Alipata urais kwa hisani ya Joseph Kabila. Kanisa Katoliki lilisema "kesho tutamtangaza mshindi wa Uchaguzi.' Halafu hilo tangazo halikufanyika kwa sababu Papa Francis alitoa maagizo Kanisa lisiingilie mambo ya siasa...
  9. Poppy Hatonn

    Paul Kagame aliwahi kusema anataka kumpiga Kikwete

    Kwa hiyo nashangaa kuona Jakaya Kikwete anataka kuwa AU Chairperson. Mtu kama Kikwete hawezi kusuhulisha mzozo Kama ule wa DRC. Unakumbuka wakati wengi walifukuzwa mkoa gani sijui,baada ya kuitwa "Warundi". Kagame alichukizwa sana, akasema wale watu walionewa tu. Raila Odinga ingekuwa vizuri...
  10. Poppy Hatonn

    Rais Samia anasifiwa kupita kiasi

    Kila siku utasikia,"Rais kajenga barabara hapa:Rais katujengea zahanati." Watu wanamwabudu Rais,na yeye hafanyi kitu chochote kuwazuia. Haya ndiyo mambo yanayomchukiza Mungu. Kwa ajili Uchaguzi Mkuu unakaribia,acha watu wanisifie zaidi na zaidi. Magufuli hakuwa anasifiwa namna hii; ingawa watu...
  11. Poppy Hatonn

    What is happening now in DRC

    1 Samuel 3: 11 And the LORD said to Samuel: “See, I am about to do something in Israel that will make the ears of everyone who hears about it tingle. I am reminded of that verse in The Holy Bible because I was listening to things today which were making my ears tingle. The Wazalendo( these are...
  12. Poppy Hatonn

    Ama M23 wataiteka Goma au majeshi ya SADC yataingia Ikulu Kigali

    Hapa itatokea moja kati ya hayo mawili. M 23 wakishindwa kuiteka Sake na Goma,jeshi la SADC litakwenda Ikulu Kigali. Mpaka sasa jeshi la SADC ndio lina nafasi nzuri ya kushinda. Lina uwezo mkubwa,pia linasaidiwa na Urusi. Mambo wanayofanya M 23 siyo Democratic,kwa hiyo nadhani Warusi...
  13. Poppy Hatonn

    Matapeli wa simu wamekuja na mbinu mpya

    Unatumiwa msg unaambiwa kama unahitaji mkopo jibu MAX kwenye hii msg halafu utapata mkopo was sh 3000. Ukijibu MAX unapata msg ambayo inasema umefanikiwa kupata mkopo. Halafu ukijaribu kuingia katika internet unashindwa. Line yangu ni ya TIGO. HII ni mara ya pili napata matatizo na TIGO...
  14. Poppy Hatonn

    M 23 waambiwa wasahau kuiteka Goma au Sake

    Kamanda wa Monusco Goma anasema m 23 wakijaribu kuiteka Goma Monusco italisaidia Jeshi la Kongo. Hii ni mara ya Kwanza Monusco wamesikika wakiongea namna hii. Pia Kamanda wa Tanzania Goma anasema watawalinda raia Goma na wanaahidi kwamba adui akifika pale hawatakimbia na kuwaacha raia wateseke...
  15. Poppy Hatonn

    Polisi wanaporuhusu maandamano saa 48 kabla ya kuanza inaonyesha hakuna demokrasia Tanzania

    Ni ushahidi kwamba hakuna demokrasia katika nchi hii. Inaonyesha kwamba nchi hii haithsmini demokrasia. People are laughing at democracy. Watu wanataka wakodi mabasi waende Mwanza lakini siyo Polisi,sio Mkuu wa Mkoa wanaonekana kuwa na taarifa yoyote ya maandamano. Kiongozi wa serikali...
  16. Poppy Hatonn

    Viongozi wa serikali wanatukanana kama wahuni wa Kariakoo

    Labda ipo njia ya kistaarabu zaidi ya kuandika haya mambo. Tunashangazwa wote nadhani katika haya maneno yanayosemwa kati ya Katibu Mwenezi Makonda na Waziri Bashe. Na pia wapo wengine. Haya ni mambo mabaya. Kama Mbunge Gwajima alivyokuwa anasema jana kwamba mtoto wa tajiri wa Unguja alitoweka...
  17. Poppy Hatonn

    Makonda analeta mashaka

    Anazunguka nchi nzima kusikiliza kero za wananchi,na inaelekea kwamba hapa na pale anafanikiwa kumsaidia mtu. Lakini jambo muhimu kwake yeye ni kuwa na heshima kwa viongzi wastaafu, ambao umeona wengine wanalalamoka, kama kwa mfano nimeona Mzee Mizengo Pinda anamlalamika Makonda. Kama watu...
  18. Poppy Hatonn

    Sasa hapa tunafanyaje kuhusu M23?

    M23 mambo hayawaendei vizuri. Wamepata pigo kubwa sana siku za karibuni. Wamepoteza wapiganaji 80. Lakini wao wanasema they were observing a ceasefire,kwa hiyo wameshambuliwa bila sababu na hizo drones za jeshi la DRC. Swali langu ni kwamba AU iko wapi? Sasa Tshitsekedi wiki iliyopita...
  19. Poppy Hatonn

    DC wa Bagamoyo akifungia kituo cha kulea watoto

    Zamani,wakati wa Awamu ya Kwanza vijana wa Kiislamu walimshambulia Mama Sophia Kawawa,wanamwambia ajihadhari. Mama Sophia Kawawa alikuwa amesema dini ya Kiislamu inawaonea wanawake. Wale vijana walikua wanaitetea dini. Sijui ilivyokuwa,yale mambo yalitokea zamani sana. Wale vijana sijui...
  20. Poppy Hatonn

    Habari za Intelijensia zinaonyesha Rwanda na DRC ziinaweza kupigana.

    Rwanda na DRC zinaweza kwenda vitani wakati wowote kuanzia hivi sasa. Ndivyo wanavyosema CIA. Ndio maana Williams Burns alifika hapa wiki mbili zilizopita kuongea na Rais Ruto. Williams Burns huyu ni Director wa CIA. Lakini sisi tupo hapa hatujaona chochote bado,wanakuja watu toka nje...
Back
Top Bottom