Search results

  1. Poppy Hatonn

    The Path of Meditation: Controlling the Mind and Senses

    Immersed in yoga, he would abandon all things, rapt in meditation. Possessed of great energy of mind, he has no desire for anything that excites the five senses. The wise man, withdrawing his five senses into the mind, should then fix the unstable mind with the five senses (into the...
  2. Poppy Hatonn

    Anthony Mavunde: Watu 34 wamehodhi eneo lenye ukubwa mara 12 ya Dar es Salaam

    Yule Nabii wa Arusha alitabiri Gwajima atakuwa rais. Halafu sijui litatokea jambo gani sasa. Mungu amebadili mawazo Yake. Kwa sababu yule Nabii anatabiri sasa kwamba Jeshi litapindua serikali.
  3. Poppy Hatonn

    Boniface Jackob afika kituo cha Polisi cha Oysterbay ili akamatwe kama alivyoagiza RPC

    Malisa naye amekatwa au vipi? Yule Malisa nadhani ni mwandishi was habari. Yule ni experienced reporter. Sijui sasa ameingia katika matatizo gani. Always nimeona yule Malisa ni very self - controlled katika kila taarifa anayoandika( isipokuwa tu anapomsema Paul Makonda). Malisa nilikuwa naziona...
  4. Poppy Hatonn

    Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Watu hawawezi kuwa na afya mpaka wawe wembamba kama Profesa Janabi.
  5. Poppy Hatonn

    Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Nilikwenda kwenye mkutano mkubwa wa CCM Dodoma. Nilikuwa napiga miayo mpaka Salum Karume aliposema,"Huyu aliyetupita hapa sasa ni Jacob Zuma"
  6. Poppy Hatonn

    Biashara zinazolipa mipakani Tanzania na Zambia

    Namanga kuna biashara gani?
  7. Poppy Hatonn

    Huu uvaaji wa Millard Ayo kwenye msiba wa Gardner umenishangaza sana

    Hapo Millard Ayo ni yupi? And this really happened. Tulikuwa Loitokitok tumekwenda kupanda mlima ( Kilimanjaro) Mtu mmoja pale akaonyeshwa album ya waimbaji Nina and Frederick. Akauliza,"Which one is Nina and which one is Frederick?'
  8. Poppy Hatonn

    Kukamatwa kwa Malisa na Boniface Jacob kutatoa fursa ya kuujua ukweli maana Magufuli alisingiziwa mengi na wapinzani wake

    Ben Malisa inabidi ahesabu meno yake yako mangapi ili ajue baadaye jinsi ya kufungua kesi ya madai.
  9. Poppy Hatonn

    CHADEMA yaahirisha Maandamano ya Karatu kwa sababu ya Mafuriko

    Ndio tulikuwa tunasema jana kwamba we note with great concern kwamba Makonda amekwenda Dodoma kuhojiwa na Kamati ya Maadili na mkoa umebaki bila uongozi. Sasa hawa watu kwa bahati nzuri hakuna mtu aliyekufa; hawa watu wana bahati katika vijiji vyao wanasafiri kwa mitumbwi?
  10. Poppy Hatonn

    Serikali ya Tanzania inapaswa kuilinda sana nch ya Burundi

    Mambo kule(DRC) yanaenda kwa kupiga dili. Unapeleka majeshi kulinda amani kule,lakini wakifika kule wanapiga dili tu. MONUSCO ndio hawa wanafukuzwa. Jeshi la EAC lilipelekwa kule likafukuzwa. Hili jeshi la SADC nalo pia litafukuzwa. Kwa sababu hawa wakienda kule wanapiga dili tu. Hawafanyi...
  11. Poppy Hatonn

    Paul Makonda kuzungumza na waandishi wa habari muda wowote kuanzia sasa

    Ana mpango gani Makonda? Umeona alivyokuwa anawasonya watendaji wake? Yule Mkurugenzi anayetengeneza barabara labda ni Civil Engineer,lakini Makonda anamsonya. Makonda anaongea na crowds wanampongeza halafu akienda kuongea na subordinates wake anakuwa domineering kupita kiasi,baada ya kusema...
  12. Poppy Hatonn

    Paul Makonda kuzungumza na waandishi wa habari muda wowote kuanzia sasa

    Yeye siyo Katibu Mwenezi. Kwa nini anataka kuzungumza na waandishi wa habari? Huyu ana ajenda.
  13. Poppy Hatonn

    Nimeenda Chanika. Ni mbali sana, mnaokaa huko mpewe maua yenu

    Mi nakaa Chanika Taliani. Ukifika kule niulizie.
  14. Poppy Hatonn

    Nancy Mitikisiko rudi

    Anatingisha minyama tu!
  15. Poppy Hatonn

    Jina 'Machinga' chimbuko lake ni nini?

    Hawa machinga sijui wameanza lini maana nakumbuka 1970 Mulokozi ananiambia machinga maana yake, "marching guy".
  16. Poppy Hatonn

    Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

    Hii video niliiona juzi. Huyu anasema alimuuliza Mungu ana mpango gani kuhusu hawa walimwengu ambao hawaishi kwa kufuata maadili? Mungu akamwambia,"Wewe niambie. Unataka nifanye nini? Utakalosema,nitafanya." Kwa hiyo anayesema Gwajima atakuwa rais ni huyu nabii,siyo Mungu. Na hapa Mungu...
  17. Poppy Hatonn

    CCM inamdhalilisha Rais Samia

    Ndalichako kafukuzwa kazi. Yule si ana PhD ya hesabu? Sasa kwa nini afukuzwe kazi? Badala yake tunaona rais juzi kapata PhD ya heshima. Kabisa mimi sina Imani na rais huyu. Ukilala usingizi,siyo kila kitu kinalala; moyo unadunda,kwa hiyo moyo haulali; mapafu yanapumua, kwa hiyo mapafu hayalali...
  18. Poppy Hatonn

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Kuna utata gani? Naunga mkono swali.
  19. Poppy Hatonn

    Nimeng'atwa na nyoka ndotoni

    Nfoto hazina maana yoyote. Jana Jokate atapata matatizo. Na tarehe nikapewa,tarehe 10,watu watakapokuwa wanatoka kazini. Sasa sijui kama Ile tarehe inahusiana na matatizo ya Jokate. Na mimi sina habari kuhusu kosa lolote la Jokate mpaka apate matatizo. Lakini nimeota natazama gazeti...
  20. Poppy Hatonn

    Kwa mara ya kwanza nathubutu kugombea Ubunge

    You are very wordy.
Back
Top Bottom