Search results

  1. T

    Baraza Kuu Taifa CWT mpo wapi? Zungumzeni watu wajue mbivu na mbichi

    BARAZA KUU TAIFA CWT MPO WAPI? ZUNGUMZENI WATU WAJUE MBIVU NA MBICHI Na Thadei Ole Mushi. Inashangaza Misalaba anapata wapi nguvu ya kuzuia account za CWT zisifanye kazi wakati chombo cha juu kabisa cha chama Baraza kuu likiwepo. Hiyo Nguvu Misalaba aliyonayo inatoka wapi ndio ya kudili nayo...
  2. T

    Madarasa ya Uongozi yaliruka baadhi ya Mada?

    Na Thadei Ole Mushi Uganda ipo mbioni kupoteza umiliki wa Uwanja wake wa ndege wa Entebe baada ya wakopeshaji nchini China kukataa ombi lao la kujadili tena mkopo wa Dola za Marekani 200 milioni uliochukuliwa miaka sita iliyopita ili kupanua Uwanja huo wa Entebe. Gazeti la Mwananchi Leo...
  3. T

    Nani anayefundishwa uongozi na Humphrey Polepole?

    Na Thadei Ole Mushi. Mwenezi wetu wa Chama Mstaafu ameanzisha kipindi chake Cha kufundisha watu uongozi. Kwanza sijajua ANAYEFUNDISHWA hapa ni yupi ni wale waliopo kwenye Madaraka tayari au ni sisi ambao hatuna hayo Madaraka. Naangalia Kazi kubwa ya Polepole anayoifanya Kwa jamii Kwa Sasa ni...
  4. T

    Kama Polepole atajisalimisha Kwa wananchi na kuanza kuongelea Tena Katiba Mpya, anaweza kurudi Tena kusikika

    Na Thadei Ole Mushi. 1. Polepole ni Mwana CCM Masalia ya Magufuli. Yeye anaamini katika Magufuli na sio katika Chama Wala Misimamo ya Chama. 2. Polepole kiasilia si mwanasiasa Bali ni Mwanaharakati (Personal Struggle). Mwangalie Polepole wakati wa katiba Mpya Midahalo yake kabla ya kujiunga na...
  5. T

    Kwanini Profesa Lumumba alikuwa akimsifia Hayati Rais Magufuli?

    Na Thadei Ole Mushi. Tumekuwa tukiona Mara kwa Mara Prof Lumumba wa Kenya akimsifia Sana Rais Magufuli. Watu wengi hujiuliza kanunuliwa? Au ana interest gani na Rais Magufuli au na Tanzania? Leo nitawapitisha katika eneo Moja tu la kwa Nini huwa wanaona Mh Magufuli ni Rais Bora wa kipindi hiki...
  6. T

    Kazi kubwa ya Rais yeyote aliyepo madarakani…

    1. Ni kusikiliza wananchi wake wanataka nini na kuhakikisha anayafanya. Upinzani wa kwanza Kwa Rais yeyote huanzia Kwa Raia anaowaongoza. Hili ni gumu Kwa Marais wote walio madarakani hawasikilizi wananchi wanataka nini Bali husikiliza nafsi zao zinatakankufanya nini. 2. Kazi ya Pili ni...
  7. T

    UVCCM msilalamike, saidieni taifa kwa njia nyingine

    Na Thadei Ole Mushi. 1. Kuwa Mwigizaji au Msanii Hakukunyimi kuwa na sifa za kuwa Kiongozi. Tena Mwigizaji anaweza kuwa Kiongozi mzuri. Kinachoangalia ni uwezo wake katika kufanya vitu. Nilisema wiki Chache hapa zilizopita ni vigumu Sana kufanya vetting kwa vijana wanaosifia tu kuanzia January...
  8. T

    Nusrat Hanje kaonyesha kwanini vijana wa upinzani wanateulika zaidi

    Na Thadei Ole Mushi. Vijana wengi wa CCM ni vigumu kupimika kwa kuwa hata kwa wateuzi hawajui vijana hawa Wana uwezo Gani kwa kuwa mtindo wao ndani ya Chama hauwapi Fursa ya kuonyesha Wanajua nini. Vijana wa CCM wamekumbwa na jini la kusifia kuanzia asubuhi hadi jioni as long as Kiongozi wake...
  9. T

    Tumuhamishe Wizara Dkt. Ndugulile kwa sababu hakuna innovation yoyote anayoifanya

    Na Thadei Ole Mushi Serikali inaandaa sheria maalumu ya mtu kuwa na laini moja ya simu kutoka kampuni moja ikiwa ni njia ya kulinda faraga za watu inayolenga kudhibiti wahalifu mtandaoni. Bado naona Kuna tatizo kwa Wizara yetu ya Technolojia ambayo ni Wizara Mpya kabisa. Tatizo kubwa hawa...
  10. T

    Tusimwadhibu Diamond Platnumz

    Na Thadei Ole Mushi. Diamond 💎 Platnumz ni Moja ya wasanii wanaowania Tuzo toka BET Awards kwenye kipengele Cha International ACT. Kwenye category yake yupo na wasanii wengine wakubwa tu toka maeneo mbalimbali Duniani. Wasanii wanaoshindania Tuzo hiyo na Diamond ni Aya Nakamura toka France...
  11. T

    Wasichokijua walimu kuhusu t-shirt zao za CWT

    Na Thadei Ole Mushi. Ununuzi wa T-shirt. ___________________ Tarehe 13/10/2020 kwenye makao makuu ya Chama kilifanyika kikao kwa ajili ya kuingia Mkataba wa kununua T-shirt za walimu kwa ajili ya Mei Mosi. Kikao Hicho kilihudhuriwa na wajumbe watano ambao ni Mwl Leah Ulaya (Mwenyekiti) Mwl...
  12. T

    Mambo matano ya awali niliyoyaona kwa Rais Samia

    Na Thadei Ole Mushi. 1. Mpaka saa Hakuna Mvujo wa Taarifa za Serikali. Hakuna anayeweza kunusa kabisa nini kinaweza kutokea. Zimebaki kuwa confidential kwa asilimia 💯. 2. Viongozi waliopo kwenye Utumishi wa Umma wawe makini Sana. Kwa muda mfupi niliomsoma Mama anataka viongozi wenye Discipline...
  13. T

    SUA badilikeni, achaneni na Panya imetosha

    Na Thadei Ole Mushi. SUA wamekuja na panya wa Kupima Corona... Mimi nshaanza kuchoka na hawa panya wa SUA. Sayansi hii ya kufundisha wanyama kunusa (Sniffing) kwa wenzetu ilianza muda mrefu sana. Ni mojawapo ya Technolojia ya kizamani kabisa. Huko Cuba Panya wameanza kutumika toka 1954 kunusa...
  14. T

    Tunaweza kupunguza gharama za mwenge

    Na Thadei Ole Mushi. Tukiweza tuangalie upya utaratibu wa Mbio za Mwenge. Sio kila kitu kilichoanzishwa na wazee wetu kinakuwa na tija wakati wote. Katika kipindi hiki Corona ikiwa inatikisa Dunia ni vyema tukapunguza Mikusanyiko. Fikiria Mwenge huu utapita kila Mkoa na kila Wilaya na kutakuwa...
  15. T

    Tanzania ukiwa Kiongozi unaweza kuwafanya Raia chochote

    Na Thadei Ole Mushi. Wizara imetoa taarifa kwa Umma kuhusu kuahirishwa kwa match ya Simba na Yanga. Kwenye taarifa hiyo wameorodhesha mambo waliyojadili na kukubaliana. 1. Match hiyo irudiwe muda, Siku na Tarehe itakayopangwa. 2. Fedha za kiingilio hazitarudishwa Bali utatumia ticket ile ile...
  16. T

    Faida ya kuzungukwa na watu wenye akili

    Na Thadei Ole Mushi. Elon Musk ni Mtu maarufu Sana Duniani na Tajiri mkubwa Sana. Anamiliki kampuni la SpaceX ambalo huunda vifaa vya kuhama Orbit Moja kwenda nyingine au kwa Lugha rahisi huunda engine za Rocket zinazoweza kwenda anga za juu na kutua katika Sayari nyingine (aerospace). Kampuni...
  17. T

    Msimharibie Rais Samia Suluhu

    Na Thadei Ole Mushi. Siku zote Marais wanapoingia madarakani huingia wakiwa Safi kabisa ni sawa na mtu anayepewa Karatasi jeupe achore au aandike yale aliyonayo kichwani. Magufuli alipoingia madarakani Naye Alipewa Karatasi task Nyeupe. Kilichofanyika waliokuwa wamemzunguka walifanikiwa...
  18. T

    Mjadala wa elimu: Watoto wa viongozi wanasoma shule hizi za umma?

    Na Thadei Ole Mushi. Wiki Moja iliyopita kupitia Ukurasa mtandao wa kijamii Facebook ITV iliripoti kuwa huko Geita kwenye shule ya Sekondari Magema ina walimu wawili tu. Habari hii haikupewa kipaumbele Sana kwa kuwa Tanzania tupo selective kwenye habari. Tunapenda Sana Scandal kuliko mambo...
  19. T

    Dkt. Ndumbaru kumkemea Prof. Assad ni sahihi kabisa kisheria

    Na Thadei Ole Mushi. Katibu wa Wizara ya Utumishi amewataka Watanzania kumpuuza Prof Assad kwenye taarifa alizotoa karibuni kuwa Watumishi wa umma hawana uwezo na wenye uwezo ni Kidogo Sana asimia 40. Dr Ndumbaru amemtaka Prof Assad aseme katika hao Watumishi wa umma yeye alikuwa ana uwezo...
  20. T

    Rais Samia kabla ya kubadili Wakuu wa Mikoa/Wilaya na Wakurugenzi mulika hili chaka

    Na Thadei Ole Mushi. _______________________________ January mwaka (2020) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof Palamagamba Kabudi alisema bila juhudi za Rais John Magufuli, fursa za kufundisha lugha ya Kiswahili Afrika Kusini ingetupita… “Fursa hiyo ingepita si...
Back
Top Bottom