Search results

  1. J

    kilio cha wakulima wa korosho nchini Tanzania.

    Baada ya kuweka utaratibu wa stakabadhi gharani kwa lengo la kuboresha hali za wakulima hao. Msimu huu umekuwa tofauti sababu hadi kesho wamekaa na stakabadhi zao na hela hawajapata wakati korosho walishakabidhi tangu mwaka uliop wanashindwa hata kupeleka watoto shuleni. Sasa kweli kilimo...
  2. J

    Uteuzi wa Sioi batili - Wajumbe UVCCM Arusha

    kweli ubunge ni deal. Huyo mtoto wa sumari anatafuta nini tena huko? Badala ya kulia kifo cha baba yake. Au na yeye ndio vile.........?
  3. J

    M-Pesa, Tigopesa n.k. ni utapeli mwingine?

    ndio mambo yenyewe. wizi mtupu!!!!
  4. J

    Two boyfriend wish one girlfriend happy birthday on live show (Radio)

    ukiona hizo njemba zote mbili zimetuma msg ina maana wanampenda. sasa utajisikiaje kama unayempenda ana mwengine?
  5. J

    Usiogope kujenga nyumba Tanzania kwa kuogopa gharama

    wangapi watakuwa wameshaanza kujenga?
  6. J

    Usiogope kujenga nyumba Tanzania kwa kuogopa gharama

    kuna mrembo anaishi kwenye nyumba ya kupanga lakini analo gari la kutembelea. Tatizo hilo gari aliwezi kufika nyumbani coz mwenye nyumba hakuwa na ndoto za gari, kwa hiyo akuandaa miundombinu yakuwezesha gari kufika.
  7. J

    Usiogope kujenga nyumba Tanzania kwa kuogopa gharama

    ndio haswaaaa!!!!! mkuu.
  8. J

    Masoud Kipanya, You just Made My Day

    uko juu, kipanya!
  9. J

    Mtihani kidato cha pili warudishwa

    kama awatabadilisha mawazo yao tena. nawachukia!!!!!!!!!!!
  10. J

    DIAMOND awaomba radhi WATANZANIA

    Bangi mbaya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  11. J

    Dr. Slaa makampuni yasiyorejesha pesa za EPA hadharani

    ccm wana roho mbaya! hawana ata chembe ya huruma kwa wenye nchi yao.
  12. J

    Usiogope kujenga nyumba Tanzania kwa kuogopa gharama

    Ukweli ndio huo mkuu!
  13. J

    Usiogope kujenga nyumba Tanzania kwa kuogopa gharama

    na ukitaka kujua nyumba ndio maisha yako, waangalie wale wastaafu ambao wana guest house na miradi yeyote inayohusiana na nyumba wanavyoendelea kunywa chai. lakini wale wenye shughuli nyingine tofauti na hiyo mfano magari! wana hali mbaya. Na ata vijana kibarua kikiota nyasi kama unapo pakuishi...
  14. J

    Waziri Maige kapata wapi 500M za kumwaga jimboni?

    mwizi huyo! biashara gani zisizojulikama hizo? tatizo mitaji ya biashara za viongozi wa nchi hii, zinatokana na pesa za umma. Pia awalipi kodi kikamilifu na biashara zao azikaguliwi, kwa kuwa wao ni waheshimiwa. Baada ya dhurumat hiyo wanajifanya kutoa msaada kwa wananchi.
  15. J

    ni mwiko pesa za msaada au mkopo kutoka benki ya dunia kujengea kiwanda?

    hiyo barabara watu wanapiga cha juu. utajuaje kama hazikutumiwa kujengea viwanda?
  16. J

    Usiogope kujenga nyumba Tanzania kwa kuogopa gharama

    ungemsaidia kwa kumpatia namba za simu. Au mtajie maeneo wanayoweza kupatikana mafundi hao.
  17. J

    Taarifa za habari za wakenya, waganda mbona hazina habari za tz

    uvivu wa wanahabari wetu ndio sababu wanatangaza habari zisizowahusu na kuacha zinazowahusu. Sijui hawa startimes wamewapa wote ving'amuzi vya bure? wanashinda ndani kuangalia habari za wenzao na wanaacha kuingia mtaani kutafuta zao. unadhani wataonesha nini saa mzima, kama sio ku-copy na...
Back
Top Bottom