Search results

  1. M

    Wadau huko kwenu hali ya mafuta ya kupikia ikoje?

    Heshima kwenu wakuu sana! Niliwahi sikia kuna meli zilizo na shehena ya mafuta ya kupikia zimeingia na siku si nyingi bei ya mafuta ya kupikia itashuka kwa maana ya kurudi kama ilivyokuwa mwanzo. Baada ya kusubiri kwa miezi karibia miwili leo nimeenda kununua mafuta na cha ajabu bei imepanda...
  2. M

    Upo sehemu gani kati ya hizi?

    Hakuna kundi la nne ambalo linachanganya baadhi ya tabia kutoka katika hayo yote matatu mkuu? Maana nimetest kundi langu naona kama nimechota characteristics karibia kila kundi. Ila yote kwa yote andiko lako ni zuri maana limenipa mwanzo mzuri wa kuanza kujitathmini kupitia hayo makundi matatu.
Back
Top Bottom