Search results

  1. Z

    Kwa wenye utaalamu na soccer naomba kufahamu haya

    Kipa akipewa Kadi nyekundu, anatoka nje, then inafanyika sub, anatoka mchezaji WA ndani anaingia kipa mwingine . Kuhusu linesman kumshinikiza refa. mpira ni mchezo WA nidhamu,kitendo chochote cha utovu WA nidhamu refa inatakiwa atoe adhabu,bila hata kushinikizwa, na hilo tukio unalolizungumzia...
  2. Z

    Umekosea Prof. Adolf Mkenda: Utendaji mzuri popote sio haki

    bro, msikilize tena Kwa uzuri. Maelezo ya prof yamenyooka mno,
  3. Z

    Mo Dewji ulikosea sana 'Kumsifu' vile hadharani Kocha Mgunda

    Gentamycin, kama tu hamuwezi kukubali kwamba kufungwa ni sehemu ya mchezo, mtaendelea kutafuna uchawi. Kuna shida sana upande wa mashabiki upande wa hizi timu mbili. fahamu Azam pia anataka matokeo. Azam sio timu ya kubeza, ,ametoka kupoteza shirikisho, amepoteza kwenye ligi, so ameingia akiwa...
  4. Z

    Dewji: Ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi MeTL

    niliwahi kwenda kiwandani vingunguti, watu Wana fanya kazi mazingira hatarishi, Wana vaa mayebo yebo,joto kwenye machine,hakuna kabisa usalama wa wafanyakazi, Yani kama upo sokoni kariakoo
  5. Z

    Kwenu Wizara ya Ujenzi

    Na amini mnapita humu, natumai ujumbe mtaupata na mtaufanyia kazi. na hii ni mahusi kwa katibu mkuu. Ipo hivi, CRB (Contractors Registration Board ndio wanaohusika kufanya assessment ya kampuni zinazotaka kusajiliwa na kufanya kazi ya ukandarasi, halafu board board members wanakuja kuidhinisha...
  6. Z

    DOKEZO Tuhuma za Siasa chafu "Law School of Tanzania" wahusika wajitokeze kuzijibu

    Mimi binafsi sijaona umuhimu kabisa wa hii shule, ulicho ongea ni kweli Kwa asilimia Mia, Nina mengi ya kuchangia, ngoja niishie hapa, Nita amka na huu Uzi asubuhi
  7. Z

    Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

    Qur an ni kitabu kisicho na Shaka ndani yake. tafuta tafsiri sahihi, nenda YouTube utakutana na wanazuoni, kitabu kimeshushwa Karne ya 7,hakukua na hiyo elimu. hii pekee inatosha kukutoa huko uliko na kuifata njia ilio sahihi
  8. Z

    Mikoa yote tusilazimishwe kuingia stand za serikali, watanzania hawaishi Dar Es Salaam pekee

    yani serikali ipo radhi utumie 10,000 huko ulipo ili uje stand wachukie 500 yako
  9. Z

    Uelewa wa mashabiki wa Yanga ni mdogo sana

    kajamaa kapumbavu kweli, katafute neno lingine,sio treble,
  10. Z

    Uelewa wa mashabiki wa Yanga ni mdogo sana

    wewe ndio mjinga, umejibu comment ya mdau, kupitia Ile picha ya lile fuso, limeandikwa treble. ukasema hiyo treble ni kuchukua kombe mara 3 mfululizo. ndio nakufahamisha, ni kuchukua makombe matatu katika msimu mmoja.acha uboya mbumbumbu fc
  11. Z

    Uelewa wa mashabiki wa Yanga ni mdogo sana

    acha upumbavu,na umbumbumbu. treble ni ku win 3 trophies in a single season.ficha upumbavu wako bwege we
  12. Z

    Nimeua nyoka mkubwa Mikumi

    huu uliifanya ni upumbavu, unafanya mambo ya kipumbavu unakuja kujisifu.shenz
  13. Z

    Tamko kutoka shirika la ndege Tanzania ATCL baada ya picha za tairi za moja ya ndege zake kusambaa zikionekana kuchakaa...

    soma Kwa umakini na kutulia.huo ni mruko mmoja baada ya nyuzi za tairi kuonekana. Yani Kwa mfano ndege imeruka mara Mia 2, bila tairi kuonekana na shida yeyote.mruko WA 201 ikaonekana tairi Lina hitilafu, nyuzi zimeonekana. then toka nyuzi kuonekana ndege inaweza ruka miruko 8 Tu, then tyre...
  14. Z

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Rwekaxa mambo vipi, ulipata tiba juu suala lako, kama ndio tafadhali naomba tuwasilianae.ninatatizo kama Hilo, na nimehangaika mno kupata tiba nimependa hospitali zote, na hata kutumia ma Dr WA India na USA,lakini sijapona, 0713 33 6998.
  15. Z

    Uchaguzi 2020 Halima Mdee aache kumnenea mabaya Askofu Josephat Gwajima, akikaidi atapata laana!

    John,Hadi akutafune wewe ndio uamini kwamba jamaa ni mzinzi,anatumia muamvuli wa dini kutimiza uzinzi wake, Gwaji ni mzinzi
  16. Z

    Uchaguzi 2020 Ilikuwaje Deo Mwanyika wa ACACIA aliyehukumiwa kwa Uhujumu Uchumi achaguliwe na CCM kugombea Ubunge Njombe Mjini?

    Personally namfahamu Deo, sijui huko kwenye makashfa ya Acacia Kama Kuna ukweli au lah, Ila ni mmoja wa watu nilio enjoy nao kufanya kazi nae, ana utu na ana vinasaba vyote vya kutosha kua kiongozi, nimefurahi kuona anasimama Njombe, na ni mtu anaekubalika mno, Hilo Jimbo tayari Deo ni mbunge...
  17. Z

    Aliyekiri kumuua mpenzi wake aachiwa huru

    Kwa kweli sijaelewa, ushahidi upi hakimu anataka, na mtuhumiwa amekiri kuua,
Back
Top Bottom