Naona wazee wa JF mmerejea, salamu zenu nyingi: Tindo Missile of the Nation Mzee Mwanakijiji SAGAI GALGANO Ngongo Nguruvi3 MTAZAMO Kichuguu etc. JF ilikuwa imepoa sasa itachangamka.
Wapangaji miji si ndio hao ambao wanafanyiana mitihani, utategemea miji kupangwa na kupangika kwa wataalamu kufanyiana mitihani!! Wataalamu wa ARU wanaliaibisha Taifa. Nchi hai
Nimekaa pembeni naaangalia haya mambo! Haya maandamano yanaenda kuimaliza CHADEMA. Mimi si mtabiri wala msoma nyota au Sharrif lakini huo ndio ukweli na ukweli mtupu. Ipo hivi: CHADEMA wataitisha maandamano na yatakuwa na mwitikio mdogo, hapo ndipo relevance ya Chama itakuwa hoi! Tusubiri tuone.
Kwenye Ukatibu sitii neno kwa kuwa siwafahamu vizuri ila kwenye Umakamu naona Dr Bashiru hapana. Huyu staili yake ilikuwa inaendana na Kamanda Magu. Hapo watu wawili wanaweza kuwa sahihi nao ni Bulembo ama Wasira.
HAKUNA TAASISI YENYE WIVU KAMA TAASISI YA URAIS. Mwenye masikio na asikie neno hili toka kwa Nabii huyu. Kuonya, kukemea, kuagiza, umaarufu, nk. ni mambo ambayo Taasisi ya Urais inayalinda kwa wivu mkubwa.
Ikulu gani tena? Hapa tunasema msemaji mkuu wa serikali, siyo msemaji wa Ikulu! Tofautisha kwanza kati ya Msemaji Mkuu wa Serikali na Msemaji wa Ikulu kisha rudi tujadili.
Tofautisha utangazaji na usemaji wa serikali! Kutangaza hata mtu asiye mwandishi anaweza. Kutangaza habari maana yake ni kusoma habari ambayo imeandikwa!
Sas
sasa kama wana hati halali unawatoaje. Pia na kama hao wanaodai kuwa ni ardhi tao nao hawana hati sasa wanadai kwa kutumia nini? Hata kama wangekuwa na hati, unaruhusu vipi trespassing ya muda wote huu?? Ceteris peribus, watashinda hata kabla ya kengele ya ibada ya kwanza kupigwa
As regards an Article by Emeritus Prof. Issa Shivji titled Abolition of Public Interest Litigation, we do agree with the Respondent that, much as we respect the views of our highly respected Prof. Issa Shivji, though distinctly argued, the same have no binding effect before this Court. Indeed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.