Search results

  1. PD_Magumba

    Taratibu zote za Kuchoma mkaa na kuusafirisha kwa ajiri ya biashara

    Mkuu unataka nikose mazao ya chakula ila nitunze miti??
  2. PD_Magumba

    Taratibu zote za Kuchoma mkaa na kuusafirisha kwa ajiri ya biashara

    Sasa wapendwa nifanyeje ikiwa shamba nalihitaji kwa ajiri ya kilimo? Hata chakula ni mhimu. Au shamba langu ndo liwe pori tengefu?
  3. PD_Magumba

    Taratibu zote za Kuchoma mkaa na kuusafirisha kwa ajiri ya biashara

    Nahitaji palimike mkuu. No way kilimo kitakua efficient kama miti hiyo itabaki ilivyo. Natambua uhifadhi wa mazingira na nitaiacha baadhi.
  4. PD_Magumba

    Taratibu zote za Kuchoma mkaa na kuusafirisha kwa ajiri ya biashara

    Siyo completely pori. Ila lina miti mingi sana ya asili. Siyo artificial mkuu. Nataka takribani asilimia 85 lilimike mahindi, tofauti na sasa linalimika asilimia 40
  5. PD_Magumba

    Taratibu zote za Kuchoma mkaa na kuusafirisha kwa ajiri ya biashara

    Habari Wana JF. Nina shamba langu wilayani Biharamulo mkoa wa Kagera lenye ukubwa wa ekari 34 na lina miti mingi ya asili kama vile mibanga, minazi, misindo n.k. Nahitaji kuivuna na kuichoma mkaa na kwa makadirio zitapatikana takribani junia(gunia) 400. Sasa naomba mwenyekujua gharama zote za...
  6. PD_Magumba

    Naingia kwenye maombi ya kumzuia Putin asiiangamize Dunia, maana amekasirika Sana!

    Kwa hiyo wewe unazani ukiitaja Marekani basi unaona Russia ni taifa la kawaida tu mbele ya Marekani? Wewe sifia tu wanaupinde wenzako.
  7. PD_Magumba

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Maelezo mengi sana alafu uongo tu. Tuambie ni maeneo(umesema maeneo kadhaa) gani Ukraine kayakomboa toka kwa Russia.
  8. PD_Magumba

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwa hiyo kilio chote kile cha Zelensk ni mabomu mawili tu? Tena yamepiga sehemu za wazi? Kuharibiwa kwa miundombinu ya umeme, kumbe ni mabomu yaliyodakwa na mifumo ya NATO?
  9. PD_Magumba

    Phone4Sale Simu zinauzwa

    iPhone 6?? Simu ya 2014!!! Mh!
  10. PD_Magumba

    Serikali yaanzisha Tahasusi (Combination) mpya 49, sasa zitakuwa 65

    Ongeza maelezo ili tuelewe kwenye mitaala kunashida gani. Kwa ulivyo andika huja bainisha tatizo lolote.
  11. PD_Magumba

    Value ya 0.2 radian ni ngapi kwenye scientific calculator?

    (ln((logx)^4)+e^(5x)Sin(3x))^(1/x) CALC as x=0.2 Jibu linakuja 0.0000112 Waliopata hivyo wapo sawa kabisa. FANYA HIVI 1. Weka calculator kwenye RAD 2. FIX kwenye 7dplaces 3. (ln((logx)^4)+e^(5x)Sin(3x))^(1/x) Then CALC as x=0.2 Nijulishe unapata ngapi. Hii ni learning process Kumbuka; for...
  12. PD_Magumba

    Value ya 0.2 radian ni ngapi kwenye scientific calculator?

    Sorry nilikua offline. Ngoja ni-review
  13. PD_Magumba

    Value ya 0.2 radian ni ngapi kwenye scientific calculator?

    Ok, I just consider the whole question.
  14. PD_Magumba

    Value ya 0.2 radian ni ngapi kwenye scientific calculator?

    If the question could be just converting radian to degree, you're ok. But unfortunately the question goes far away. Just use calculating devices, no need of using formulae.
  15. PD_Magumba

    Value ya 0.2 radian ni ngapi kwenye scientific calculator?

    Which is totally wrong as you will need to perform multiple approximations yielding to wrong precision limit given as well as wrong answer
  16. PD_Magumba

    Value ya 0.2 radian ni ngapi kwenye scientific calculator?

    Hapo utakosea. Mfano kwenye logX utaweka hiyo degree au rad? Jibu linalotakiwa kukadiriwa ni lile la mwisho na siyo kila hatua. Kumbuka uko limited kutumia SC eg. Fx991 na siyo kichwa. Ni wapi hapo? Hata na mimi nasubiri jibu lake
Back
Top Bottom