Search results

  1. T

    Ni Taasisi ipi ya fedha inaweza kutoa mkopo haraka?

    taasisi ninayoifahamu inakopesha kuanzia milion Moja Hadi thelathini tu kama ukiwa na vigezo na inachukua siku mbili tu. Kama mkopo ni zaidi ya hapo bank ndo suluhisho
  2. T

    Ni Taasisi ipi ya fedha inaweza kutoa mkopo haraka?

    Kama upo tayari na vigezo nilivyokuwekea tunaweza anzia pale,, nitakusaidia process zote hadi unapata mkopo
  3. T

    House4Sale Nyumba inauzwa

    Nyumba inauzwa Mahali: Goba(Lilian kibo) karibu na njia nne, Nyumba ipo barabaran kabisa. *Vyumba sita, *Hati miliki, *Umeme upo *Maji yapo *Bei 60millions N.b Maelewano yapo Mhusika ni mimi mwenyewe Simu:0787357219.
  4. T

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Kwa hiyo ungefaulu wewe ndo ungekua ujanja?kwa namna yoyote ile tusingefaulu wote
  5. T

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    binafsi nakuunga mkono chief,,Nina uhakika vigezo vyote vimetumika na Kwa umakini wa hali ya juu Mfano mzuri ni mimi binafsi O level nikipata div 3 ya point 23 shule ya kata O level nikapangwa hge nikapasua one Kali Chuo nimesoma ICT na nimepasua Jkt nilienda umri 27 na pepa nilipiga fresh...
  6. T

    Naomba ushauri ndugu zangu

    Nimekuwa na google Kila taarifa walionitumia naona haipo na haihusian na hii kampuni ya shell,,Hadi Sasa nimeshapata majibu,,asanteni sana ndugu zangu
  7. T

    Naomba ushauri ndugu zangu

    Poleni na majukumu ndugu zangu, Nianze Kwa kumshukuru Mungu muumba wa mbingu,nchi na vilivyomo. Kuna habari njema nimeipokea ila imekua na walakini Kwa moja ya washauri wangu,Kwa muda sasa yapata miaka miwili nimekuwa natafuta kazi/ajira na sikuweza kufanikiwa kupata kazi ya matamanio yangu ila...
  8. T

    TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M

    dollar million thelathin unazijua wewe?? science priest gan unayojiita na unataka kutetea vitu vya hovyo.
  9. T

    Natafuta wasafirishaji wa mizigo

    Hello wakuu habari zenu Natafuta wasafirishaji wa mizigo wenye uhakika na kazi kama ifuatavyo; 1.Kutoka bandarini kwenda Congo(hii ni tender ya mwaka mzima) 2.Kusafirisha mazao kutoka kusini mwa Tanzania kwenda bandarini(dar) Kwa yoyote mwenye mawasiliano namuomba pm tujadili pia ni kazi ambazo...
  10. T

    Natafuta sehemu ya kujitolea, nina Shahada ya Teknolojia Habari na Mawasiliano

    taesa nimeshajisajili,,nimepewa namba asante kwa kuguswa#kipozi
  11. T

    Natafuta sehemu ya kujitolea, nina Shahada ya Teknolojia Habari na Mawasiliano

    Kujitolea kwangu kutanipa fursa ya kuyakumbuka na kujifunza changamoto zote nitakazokutana nazo eneo la kazi hivyo basi,kuhusu kusahau nikuondoe shaka mkuu,, kama kuna namna unaweza nishika mkono naomba msaada
Back
Top Bottom