Ndugu zangu, naombeni kazi yoyote iwe ya kwenda na kurudi, elimu Kidato cha Nne, naweza upishi, kufua. Pia, duka aina yoyote na uwakala
Niko Kilimanjaro/Mwanga
Habarini ndugu wana jf,
Niko hapa nina shida natafuta kazi yeyote usafi, kufua , upishi, kazi ya duka aina yeyote Nina uzoefu nazo, elimu yangu kidato cha nne.
Napatikana Moshi/Mwanga nisaidieni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.