Search results

  1. 78Kuku

    Sawa tumebebwa je wangeliwa ninyi mgeweza?

    Shuti la mzee mpili ni kali kuliko la Djuma Shban
  2. 78Kuku

    Jeremiah Kisubi amshauri Diarra arudi kwao week moja kujiweka sawa "mambo yetu yale ya Kiafrika"

    ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mafi yako
  3. 78Kuku

    Nachukia sana kuona wahindi na waarabu wanakaa Upanga wazawa tunalala Mbagala

    Mbna hata huku uswahilini Kanyenye Tabora tunaishi na waarabu na wahindi kibao
  4. 78Kuku

    RC Chalamila: Kujifanya wanasheria pamoja na kupenda kiingereza kunakwamisha maendeleo ya mkoa wa Kagera

    We anzisha duka lako fungua hata sa kumi alfajiri usianze kuleta ujuaji kwenye biashara za watu.
  5. 78Kuku

    Buriani Hassan Chikusa msomi mkimya

    Ah wapi alimwingiza mwenzie mkengeafu ye akala kona
  6. 78Kuku

    Tuwe wakweli kwa hali ya kimpira tuliyo nayo Tanzania, kuajiri kocha MGENI ni kumzawadia mihela ya bure tu

    Kwani Taifa stars iliwahi kufanya nini hata kabla ya Karia?
  7. 78Kuku

    Narudia tena, CHAMA ni mchezaji wa mechi ndogo

    Umemaliza ubishi wa hili topolo
  8. 78Kuku

    Fiston Mayele na Litombo Bangala walichomfanyia Inonga ni kumkosea Heshima na kukiuka haki za Binadamu, TFF iingilie kukomesha hii tabia

    Mkuu tutulie tumefungwa wale ni wacongo wanataniana. Tu deal na mambo yetu kama kocha asiye na mbinu n.k
  9. 78Kuku

    Mchango wa mganga umeshakamilika

    Sasa kama uganga unawasaidia kwanini mnasajili wachezaji kwa gharama kubwa hadi mnafirisika. Kwann msiwasajili hao waganga.
  10. 78Kuku

    Hii Super League Ina Mapungufu Makubwa

    Kisu kimegonga mufupaaaaa
  11. 78Kuku

    Shughuli yote nzuri ya kilele Cha Simba day imetiwa dosari na uletaji wa jeneza uwanjani

    Wana utopolo wamekuja kwenye huu uzi kujipoza na machungu ya juzi.
  12. 78Kuku

    Huyu mchezaji toka Serbia tumepigwa

    Ulichangia sh. Ngapi kwenye usajili.
  13. 78Kuku

    Hersi usiende kwenye Kamati ya Maadili hawatakugusa, Nchi haitakalika

    Umenikumbusha kipindi tunasoma kuna jamaa aliitwa ofisini kwa HM sa wadau wakampampu kwamba usiende usiende akikuzingua tunakinusha, baada ya mda mwalimu wa nidham akamfata jamaa akambeba msobe msobe jamaa akala mbata za kufa mtu na susp ya siku 21 na hakuna hata mmoja alisimama kumtetea ndo...
  14. 78Kuku

    Je, wajua Mayele ni sawa na kikosi kizima cha Simba?

    Ni kama viazi vilivyoshindwa kuiva
  15. 78Kuku

    Chukua Hii: Ishu ya Jezi za Simba Kuchelewa

    We jamaa unajua kutengeneza matukio ili kuwakamata wajinga wajinga
  16. 78Kuku

    Hii ndio tofauti kubwa kati ya mkataba wa "sportpesa" kwa Yanga na "m-bet" kwa simba

    Kwa hiyo hiyo hundi ndo mkataba wa yanga na sportpesa wa bil 12. Ama kweli kichwa chako ni kabati la meno.
Back
Top Bottom