Search results

  1. stoplight

    Fundi umeme wa magari natafuta kazi

    Habari zenu humu, Mimi ni kijana wa kiume umri wangu 24 ni fundi umeme wa magari nimejiajiri ila game ni ngumu sana huku mtaani hvyo natafuta kampuni au taasisi yoyote yenye uhitaji na fundi umeme wa magari pia nipo tayari kufanya kazi popote na pia kwa mwenye kazi hata nje ya taaluma yangu pia...
  2. stoplight

    High pressure washer 2000W

    Habari zenu poleni na mihangaiko ya kila siku niende moja kwa moja kwenye Lengo nauza hiyo mashine ya kuoshea magari ☆Sifa zake: 》Inatumia umeme tu 》Ni mpya kabisa ipo kwenye box lake 》Pump yake ina nguvu ya pressure 150 Bars 》 PSI ya 2,300 Kwa nguvu ya hio pump. 》Inaweza kupump lita 400 za...
  3. stoplight

    Wapi naweza kupata launch scanner bluetooth easy diag ya diagnosis machine ya magari kwa bei nafuu hapa Dar es Salaam

    Kichwa kimemaliza maelezo yote kla hiyo easy diag au ikiwa full box diagnosis machine ya kupima magar madogo ya aina yote nicheki: WhatsApp: 0653271318. Au nipigie kawaida 0653271318. Karibuniii wanazengo wataalam wa mambo hapashindikani kitu humu.
  4. stoplight

    Nahitaji mwenye diagram ya IST 1NZ FE na 2nz FE

    Kama kichwa cha habari hapo kinavyoeleza maombeni msaada wa DIAGRAM ya ist yenye engine ya 1nz fe na ile ya 2nz fe kwa mwenye nazo anisaidie wakuu nina shida nazo kwa mwenye nazo naomba me na kwa faida ya wengine Karibuni stoplight
Back
Top Bottom