Wasalaam Mkuu,
Binafsi naona post yako imejaa majungu. Mimi kama mkazi wa Kinondoni nampongeza sana Mkuu wa Wilaya Mh. Saad kwa namna anavyoongoza. Tangu amehamia hapa ame-perfom vizuri sana tena bila mbwembwe tofauti na watangulizi wake.
Mh. Saad amejitengea siku ya Alhamisi kusikiliza kero...
Habari zenu wakuu,
Napenda kuweka kumbukumbu sawa kwamba mnamo majira ya jioni jana tarehe 25/12/2019, tweets za ZZK zilisambaa zikisema CAG Assad ametekwa. Tweet nyingine ikishukuru wananchi kupaza sauti zao hatimaye wamemuachia Assad.
Hii si mara ya kwanza ZZK kupotosha umma lakini vyombo vya...
Kamati ya Bunge ya Hesabu ya Serikali ya Mitaa imeagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo kukatwa asilimia kumi ya mshahara wake kwa kushindwa kujibu hoja mbalimbali za LAAC. Itakumbukwa kwamba mwaka jana kamati hii ilimfukuza kutokana na kitabu cha LAAC alichokiwasilisha kuwa na...
Sio nia yangu kumpangia majukumu mtukufu raisi, lakini nimeona ni vyema kumshauri jambo hili. Mheshimiwa Kippi Warioba ambaye ni mkuu wa wilaya ya Moshi ni miongoni mwa vijana wachache waliojaliwa hekima. Kippi Warioba ni kijana mtulivu na asiyekuwa na majivuno.
Nafahamu Kippi hanijui, lakini...
Katika hali ya kustaajabisha, madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo wamesusia vikao mbalimbali wakilalamika kwamba posho ya mahudhurio ya vikao (Sitting allowance) imepunguzwa.
Madiwani hao wasema hawatahudhuria vikao mpaka hapo posho itakapopandishwa.
Ikumbukwe kwamba stahili hizo za...
Katika teuzi ambayo Mh JPM hakukosea ni kumteua Bi Agness Elias Hokororo kuwa mkuu wa wilaya ya Rombo.
Mh Agness anaendesha wilaya kisomi na amekuwa mfuatiliaji na mfumbuzi wa kero mbalimbali za wananchi. Mfano amevalia njuga suala la mimba za utoto na unywaji wa pombe haramu. Vilevile...
Kutokana na ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali, madudu na ufisadi mkubwa umegundulika katika Halmashauri yetu ya Serengeti. Hamashauri yetu imewekwa katika orodha ya Halmashauri zenye makosa katika uandaaji wa taarifa za hesabu. Halmashauri imetoa malipo yasiyothibitishwa...
CHADEMA jimbo la Serengeti yaanza kupasuka, hii
ni baada ya uteuzi wa wagombea wa udiwani viti
maalumu kutawaliwa na rushwa, ukabila na
hujuma nyinginezo. Kumetokea hali tete baada ya
uteuzi wa madiwani viti maalumu. Ikumbukwe
kwamba kulikuwa na uchaguzi wa madiwani viti
maalumu hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.